Bilioni 1.6 imeibiwa ndani ya miezi miwili na Waziri wa Fedha Mwigulu yupo!

Bye enzi za kutumbua majibu
Bye enzi za kukamata mafisadi
Bye enzi za vyombo vya ulinzi imara

Viva magufuri
 
Wote ni wanaccm wenzako
 
Wote ni wanaccm wenzako
Tatizo la watu wa insta, hamjui kuelewa hoja. Kama ungelikuwa na akili hata ya kuwaza kuna watoto wako kesho yao inakutegemea, bila shaka usingewekeza uhai wako kwenye ushabiki wa singeli. Unapashwa kuangalia hoja badala ya kuwagroup watu kwenye makunkdi ya vyama bila kuwafahamu. Hoja za msingi zintakusaidia kuliko chuki za kisiasa hata kama kinachosemwa kina maslahi. Ni ujinga kushabikia hoja ama kutokutia manani hoja za msingi eti kwa sababu nani kjasema, badala ya nini kimesemwa. Acheni ujinga kwenye masuala ya muhimu
 
Rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…