Threesome3
Member
- Jun 27, 2021
- 74
- 59
Bye enzi za kutumbua majibu
Bye enzi za kukamata mafisadi
Bye enzi za vyombo vya ulinzi imara
Viva magufuri
Bye enzi za kukamata mafisadi
Bye enzi za vyombo vya ulinzi imara
Viva magufuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panya amchunguze paka?Tusubiri ripoti ya Takukuru!
Wote ni wanaccm wenzakoVipi wale wanaofanya usifadi kupitia biashara ya korona? kulazimisha matumizi ya fedha za walipa kodi kununua madawa ya nchajo ya korona ambayo wanajua kabisa si ya muhimu kwa taifa letu kwa namna watu wamekuwa wakiishi nayo kama vile magonjwa mengine ya kawaida?
Vipi wale weanaotaka kuidhinisha mradi wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo mradi ambao unatekeleza kwa masharti ya azma ya china kupata maeneo ya ku ocupy katika bara la Africa?
Vipi yule mtu aliyekwenda China kuokoa mtoto wake asiuawe kwa kukutwa namadawa ya kulevya na badala yake akaweka rehani nchi yetu kwa wachina?
Hao wewe unawasemaje?
Alitaka kuwa ajaye 2015Anataka uraisi 2025?.
Tatizo la watu wa insta, hamjui kuelewa hoja. Kama ungelikuwa na akili hata ya kuwaza kuna watoto wako kesho yao inakutegemea, bila shaka usingewekeza uhai wako kwenye ushabiki wa singeli. Unapashwa kuangalia hoja badala ya kuwagroup watu kwenye makunkdi ya vyama bila kuwafahamu. Hoja za msingi zintakusaidia kuliko chuki za kisiasa hata kama kinachosemwa kina maslahi. Ni ujinga kushabikia hoja ama kutokutia manani hoja za msingi eti kwa sababu nani kjasema, badala ya nini kimesemwa. Acheni ujinga kwenye masuala ya muhimuWote ni wanaccm wenzako
RubbishTatizo la watu wa insta, hamjui kuelewa hoja. Kama ungelikuwa na akili hata ya kuwaza kuna watoto wako kesho yao inakutegemea, bila shaka usingewekeza uhai wako kwenye ushabiki wa singeli. Unapashwa kuangalia hoja badala ya kuwagroup watu kwenye makunkdi ya vyama bila kuwafahamu. Hoja za msingi zintakusaidia kuliko chuki za kisiasa hata kama kinachosemwa kina maslahi. Ni ujinga kushabikia hoja ama kutokutia manani hoja za msingi eti kwa sababu nani kjasema, badala ya nini kimesemwa. Acheni ujinga kwenye masuala ya muhimu
Wewe ni lipumbavu sana kulilko mbwa koko.Rubbish
Mods mbona huyu anatukana?Wewe ni lipumbavu sana kulilko mbwa koko.