Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Mkuu kwa dunia ya sasaivi hakuna mtu wa kkujengea kiwanja cha mpira cha watu 30,000 kwa gharama ya chini ya bilioni 200,Duuuh! aiseee inamaana unajua gharama ya ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu pale London ni sawa na ujenzi wa nyumba aina hiyohiyo pale Arusha?
Aisee...
Eti kituo cha utaliiUlitaka iwe bei gani? Umesikiliza associated features na hadhi ya uwanja wenyewe lakini?
Sikiliza hiyo video hapo,huo sio uwanja tuu lakini ni Kituo Cha Utalii.
Mwisho wewe ulitaka ujengwe Kwa bei gani?
kuna dalili za kupigwa hapo...uwanja wenyewe mdogo bado na mapene wabebe...2005 Mkapa stadium ilijengwa kwa bil 60
Ni dunia nzima chiefHuu mtindo wa kuita majengo, barabara na viwanja kwa majina ya watu, atatokea rais chizi kama jiwe atakuja kujimilikisha na kudai kuwa ni mali yake.
Umepewa hata hiyo boq ukaionakuna dalili za kupigwa hapo...uwanja wenyewe mdogo bado na mapene wabebe...
Ndio vimepanda sana, dollar 1 ilikua 800 at some point leo hii ni almost elfu 3 unatarajia nini?2004,jiulize vitu vimepanda mara 5 tokea mwaka huo hadi sasa?
Tambua uwanja ni mdogo kuliko wa Mkapa.
Tupige hela kwa kiasi wadau,tukifa hatuondoki na chochote,japo mliambiwa mle kulingana na urefu wa kamba.
Inasikitisha sana.
Upigaji uko wapi? Designs umeziona? Hivi bei za viwanja 2004 ni sawa na sasa ambapo population imeongezeka? Pale kuna mpaka lami zitajengewa kuelekea uwanjani.....Mkuu kuna kupanda kwa gharama,lakini siyo kwa kiwango Cha mara nne au tano.Usihalalishe upigaji na siyo kwamba nakuonea wivu kwasababu labda wewe ni mnufaika labda indirectly au directly.Tena uwanja ni mdogo ukilinganisha na WA Mkapa,inamaana gharama zingejifix kidogo.
Fikiria bei ya cement mwaka 2004 imepanda mara nne hadi sasa kwa mfuko?
Kuna vifaa kama nondo ni bei ndogo kwasasa,inamaana vingefidiwa.Pigeni Kwa kiasi wadau.Mtakufa bila chochote kama sisi,tukikutana huko kama kupo,tutawasema sana.
DaaahHuu mtindo wa kuita majengo, barabara na viwanja kwa majina ya watu, atatokea rais chizi kama jiwe atakuja kujimilikisha na kudai kuwa ni mali yake.
Mkuu huwezi kuhalalisha kua bajeti iwe ni mara nne au tano kisa imepitq miaka kadhaa.Sidhani kama bei nondo ni mara nne au tano ya bei iliyokua kipindi cha ujenzi wa uwanja wa Mkapa.Upigaji unaanzia kwenye bajeti.... then watu wa manunuzi wanakuja kuendelea.Hakuna hata Senti moja itakayobaki labda kuongezwa.Upigaji uko wapi? Designs umeziona? Hivi bei za viwanja 2004 ni sawa na sasa ambapo population imeongezeka? Pale kuna mpaka lami zitajengewa kuelekea uwanjani.....
Mimi napinga ufisadi lakini huwa sipendi kuamini kwamba kila kitu expensive ni ufisadi. Kwamba iphone kuuzwa bei kubwa kuliko tecno ni ufisadi?
Mindset ya kimasikini sana. Wizi huwa upo kwenye matumizi/manunuzi sio upangaji bajeti. Bora ungesema matumizi mabaya ya fedha sio WIZI!!
Yesu Anakuja ule uwanja mwingine ulijengwa kwa nguvu za wananchi,lakini CCM wakachukua ndio maana wanashindwa kutunza.akili yangu mimi inanituma kuuliza hivii, kama tunao uwanja pale arusha ule wa michezo uliopo sasaivi, kwanini tutumie bilioni zaidi ya 200 kujenga mpya? badala ya kuchukua hata bilioni 50 au 100 tukakarabati uleule na kuujenga uwe bora? kwahiyo arusha watakuwa na viwanja viwili vya ku take care, wataweza? au mimi nawaza vibaya?
Ule ni wa CCM na kama ujuavyo fedha zao zinaelekezwa kununua fulana na nyingine kuhnga wanainchi, hili ni jukumu la Serikali wakizipeleka kwenye uwanja wa chama chako CCM mtakuja kulalamika tena.akili yangu mimi inanituma kuuliza hivii, kama tunao uwanja pale arusha ule wa michezo uliopo sasaivi, kwanini tutumie bilioni zaidi ya 200 kujenga mpya? badala ya kuchukua hata bilioni 50 au 100 tukakarabati uleule na kuujenga uwe bora? kwahiyo arusha watakuwa na viwanja viwili vya ku take care, wataweza? au mimi nawaza vibaya?
Ndiyo hivyo,eti gharama zimepanda mara nne ya uwanja ule,na ni uwanja mdogo ukilinganisha na Mkapa,aisee watu wanazingua sana,wanaipiga nchi hadi wanapata mshtuko wenzao wakifa wakiacha fahari zote.Siyo vizuri kwakweli.Ule wa mkapa uligharimu billioni 60 mjue.
Hapana; tayari tuna Tanzanite Bridge na hata jina Tanzanite lenyewe linajitangaza. Ninaunga mkono kuuita Uwanja wa Samia Suluhu Hassan, kwani ni chini ya utawala wake ndipo Tanzania imepata hadhi ya kuandaa mashindano makubwa ya kimataifa na vile vile ndicho kipindi timu ya Tanzania (Yanga) iliingia fainali za CAF.Kwanini usiitwe Tazanite Stadium ili kutangaza Tazanite yetu kimataifa?!
Tangu lini Tanzania imeanza kuishi kwa kuendana na dunia nzima??Ni dunia nzima chief
Unless umeshtuka kutoka sayari ya pluto