Bill & Melinda Gates watalikiana

Niliwahi kujiuliza siku moja,hivi huyu Billgate mbona ana mapesa mengi lakini ukimuangalia ni kama mtu asiye na furaha,inawezekana ndani ya nyumba yake kulikuwa kunawaka moto na akawa anashindwa kuuzima...
 
Hiyo nayo siyo basi tu hatuna platform ila kajamba nani wanaoa nankupigana chini daily nenda ofisi za serikali
hiyo hutokana na mmoja kati yao kutomtimizia mahitaji mwenzake. Ila hawa wenye pesa huoana wakijua ya kuwa wataachana tuu
 
Dah, ukiipata nami ni PM mkuu 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Because more often than not wanaume ndo wanakuwaga breadwinners na wenye kuendesha familia.

We often wonder how we will survive without them but this is taken so negatively by some people.
Umenena vyema sana mamaa mpaka umenikosha. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila hata dini zinachangia sana ktk hiyo negativity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…