Bill & Melinda Gates watalikiana

Bill & Melinda Gates watalikiana

Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini...
Sasa wakitalikiana ndio ishakuwa end of the world ,mbona kawaida sana kwa wazungu special mume ukiwa na pesa basi mwanamke anakuacha halafu anakwambia mugawane karata hivo ndivyo walivyo.
 
Baada ya issue ya covid -19, mama ameona akae pembeni. Ila nahofia maisha yake. Tusije tukasikia amefariki ghafla.
Na kweli Bill Gates angeweza kumfanyia experiment maana alikuwa na project ingine ya kuchuja uchafu wa chooni kuwa maji ya kunywa.
 
Yaani hawa jamaa unajuwa tatizo lao wanaowana age moja halafu sasa wanawake zao ni wanakuwa haraka na wanazeeka haraka wewe mtu unakila kitu starehe yenyewe kuwa na mke mzuri unaenda kuowa kibibi cha nini?
Kabisa mzee starehe ni kuwa na wake wazuri sio mke mzuri. Yaani wee nikubadilisha mbususu hela sii zipo.

Alafu mwanaume unachwa achwaje kwanza? Huu uzembe wa hali ya juu.
 
hawa wenye hela ndio huwa hawadumu kabisa na hii ni life style yao, bora sisi tukiingia tumeingia - kifo ndio kitatutenganisha
Hiyo nayo siyo basi tu hatuna platform ila kajamba nani wanaoa nankupigana chini daily nenda ofisi za serikali
 
Bora hata hawa wana cha kugawana.huku kazini ni vituko.mke anataka kagawana kiwanja basi kiko mlimani hata mil 2 hazifiki ila ndo hivyo tena kesi iko mahakamani. Hapo hapo wana watoto😂😂
 
Wanawake huwa wanahisi mwanaume utaanza kufa ili arithi mali.Sasa Belinda anashangaa kibabu hakifi.
Hii huwa inatokea sana pale mnapokuwa na familia.

Wala sio kwa nia mbaya but huwa tunawaza watoto watabakije.
 
Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini.


=====

Bill and Melinda Gates have announced their divorce after 27 years of marriage, saying "we no longer believe we can grow together as a couple".

"After a great deal of thought and a lot of work on our relationship, we have made the decision to end our marriage," the pair tweeted.

They first met in the 1980s when Melinda joined Bill's Microsoft firm.

The billionaire couple have three children and jointly run the Bill & Melinda Gates Foundation.

The organisation has spent billions fighting causes such as infectious diseases and encouraging vaccinations in children.

The Gates - along with investor Warren Buffett - are behind the Giving Pledge, which calls on billionaires to commit to giving away the majority of their wealth to good causes.

Bill Gates is the fourth wealthiest person in the world, according to Forbes, and is worth $124bn (£89bn).

He made his money through the firm he co-founded in the 1970s, Microsoft, the world's biggest software company.

The pair both posted the statement announcing their divorce on Twitter.

"Over the last 27 years, we have raised three incredible children and built a foundation that works all over the world to enable all people to lead healthy, productive lives," it read.

"We continue to share a belief in that mission and will continue our work together at the foundation, but we no longer believe we can grow together as a couple in the next phase of our lives.

"We ask for space and privacy for our family as we begin to navigate this new life."

How did they get together?

Melinda joined Microsoft as a product manager in 1987, and the two sat together at a business dinner that year in New York.

They began dating, but as Bill told a Netflix documentary: "We cared a lot for each other and there were only two possibilities: either, we were going to break up or we were going to get married."

Melinda said she found Bill - methodical it seems even in matters of the heart - writing a list on a whiteboard with the "pros and the cons of getting married".

They got married in 1994 on the Hawaiian island of Lanai, reportedly hiring up all the local helicopters to stop unwanted guests flying over.

Bill Gates stepped down from Microsoft's board last year to focus on his philanthropic activities.

Source: BBC
Wewe ndiyo umeleta habari kamili, ila kwanini ndoa za matajiri mara nyingi mwisho wake ni mbaya what the reason behind all this
 
Bill gatte aje kwangu.nimdange.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa nyie wenye pesa ndoa zenu zinakuwa hazina amani mpaka mnatalikiana,vipi sisi wenye pesa za kudunduliza inakuwaje...!
 
Yaani kananiweka waaaaaaaah.
mwisho kataanza kutembea kutoka pale Buza pale chama, katakuja njia panda ya Mwinyi,. katakuja kwa Abiola, katakuja Makangarawe, katafika mpaka pale round about kwa mama Kibonge, katasogea mbele Buza kanisani , katasogea mbele Machimbo. KATAKULA KUSHOTO. .................
 
Bora hata hawa wana cha kugawana.huku kazini ni vituko.mke anataka kagawana kiwanja basi kiko mlimani hata mil 2 hazifiki ila ndo hivyo tena kesi iko mahakamani. Hapo hapo wana watoto[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Bongo vituko sana, kiwanja 2m[emoji16][emoji16]
 
mapenzi duh....they got kids.....anyway wamekubaliana.....maisha yanasonga....hakuna jipya....just news....
 
mwisho kataanza kutembea kutoka pale Buza pale chama, katakuja njia panda ya Mwinyi,. katakuja kwa Abiola, katakuja Makangarawe, katafika mpaka pale round about kwa mama Kibonge, katasogea mbele Buza kanisani , katasogea mbele Machimbo. KATAKULA KUSHOTO. .................
Hapo umeniweza sikujui sana Buza. Ila kama huyo tudoti ni kwa Mpalange shubamit zake popote kalipo kafangasi hako.
 
Back
Top Bottom