Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Mayu hiii hoja yako kwamba hakuna historia ya vizazi kumi vilivyotangulia. Inaniwazisha sana.

Najaribu kutafuta Mantiki uliyotumia kufikia hitimisho Hilo.
 
Mayu hiii hoja yako kwamba hakuna historia ya vizazi kumi vilivyotangulia. Inaniwazisha sana.

Najaribu kutafuta Mantiki uliyotumia kufikia hitimisho Hilo.

Huo ndio uhalisia mkuu

Ukifa biashara yako imekwisha, watakukumbuka mkeo na akiolewa imekwisha hiyo
Wanao watadhulu kaburi lako lakini sio wajukuu zako
Vitukuu wako ndio kabisaa

Labda uwe maarufu sana

Kuna wakati baba yangu alikua kila kitu maishani mwangu lakini leo mwaka wa 20 toka amekufa kuna wakati nakimbizana na maisha hadi nasahau kama nilikua na baba, vipi kwa watoto wangu na vijukuu watakua na muda na uwepo wa baba yangu?
 
Kwa nini Hakiwezi?

Unatakiwa ueleze chanzo hicho kimewezaje kuwepo bila chanzo chochote kile?

Kabla ya chanzo kulikuwepo nini?

Ina maana chanzo kilitokea tu, from nothing kikawa chanzo?

Utafiti upi ulifanyika kugundua kwamba Mungu huyo ndio chanzo?

Mungu ni nini?

Unathibitisha vipi kwamba Mungu huyo ndio chanzo cha ulimwengu?

Na si mawazo na imani yako ya kufikirika tu.

Wewe mwenye bongo iliyo na akili,

Eleza Mungu ni nini?

Ulifahamu vipi Mungu huyo ndio chanzo?

Utafiti upi ulifanyika na kuthibitisha Mungu huyo yupo?

Kwa nini Mungu huyo hana chanzo?

Kabla ya Mungu huyo kuwa chanzo, alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?

Thibitisha Mungu huyo ndio chanzo cha ulimwengu na si mawazo yako ya kufikirika tu.
Ukiweza kufahamu chanzo cha mawazo yako na ukafahamu kuwa kuna wakati unapata usingizi, uchovu,mawazo mazuri na mabaya, njaa , ugonjwa na mengine mengi bila hiari yako na bila kujua chanzo chake basi ufahamu yupo aliyeyapanga hayo yatokee kwa utaratinu ulioratibiwa kwa ustadi usiowezekana kufanywa na kiumbe chochote isipokuwa yeye tu.
Ukiona uwezo wako wa kuelewa mambo umegota basi ujue wewe umeumbwa na hapo ndiyo ukomo wa wewe kufahamu ni kama ambavyo binadamu tunaunda gari ipite barabarani ukiipeleka kwenye maji inazama.
 
Hii unaweza kuthibitisha mkuu?
 
Kabla ya "kujitokeza chenyewe" kilikuwa wapi?

Au kilikuwa sehemu gani kabla ya kujitokeza?

Sehemu hiyo kilichokuwepo kabla ya kujitokeza chenyewe kulitoka wapi?
Huko kilipotokea kabla ya kujitokeza ndipo chanzo chake,na hats kama kabla ya kujitokeza kilikuwepo mahaia fulani hapaondoshwi maana ya kuwepo chanzo chake.
 
Mkuu unavyo jiona wewe ulivyo umezaliwa utazaa utakufa..... PERIOD
Hivyo ndivyo ilivyo kwa binadamu wote

Mababu zako 10 nyuma huwajui kabisaaa yaani hujui lolote kuhusu wao, na wewe utakufa utasahaulika baada ya vizazi kadhaa mbele, vitu utabaki navyo kwa hao mababu zako labda majina yao ya ukoo na kabila na utamaduni

Kinacho saidia kwa sasa ni teknolojia ya kutunza kumbukumbu angalau itasaidia kujua SISI wa kizazi cha ujuzi wa kutunza kumbukumbu tuliishije na sio TUMETOKEAJE DUNIANI
Ukiitafuta tafsiri ya uhakika na ukweli juu ya mizimu bila kupindishwa utaelewa mini maana ya mababu na kumbukumbu ya yaliyopita.
 
Kama Kuna Miungu Basi Kuna Mungu pia soma vizuri mzee

Miungu wapo toka enzi na enzi dunia nzima

Je ni yupi kati hao ndio creator wa ulimwengu?
Na anathibitishikaje?

Maana kama yupo kweli basi huu mjadala wa binadamu katokea wapi utakua umefungwa rasmi
 
Miungu wapo toka enzi na enzi dunia nzima

Je ni yupi kati hao ndio creator wa ulimwengu?
Na anathibitishikaje?

Maana kama yupo kweli basi huu mjadala wa binadamu katokea wapi utakua umefungwa rasmi
Mungu ni Roho
 
Ukiitafuta tafsiri ya uhakika na ukweli juu ya mizimu bila kupindishwa utaelewa mini maana ya mababu na kumbukumbu ya yaliyopita.

Miaka 1000 mbele wewe na mimi tutakua “mababu” kwenye vizazi vyetu
What’s so special about us kwa kipindi hicho mkuu? Tutakua mizimu?

Ulizaliwa, waliokuzaa watakufa, utazaa na wewe utakufa, na utakao wazaa watakufa..........

Ukiisha kufa ndio imotoka hiyo..... Nothing more Nothing less

Hakuna atakaye kuwa na habari tena na wewe baada vizazi vyako 10 kama ambavyo huna habari zozote kuhusu mambabu zako wa vizazi 10 nyuma

Enjoy life mkuu, ukifa mkeo na wanao wataumia na kukumbuka miezi then miaka kadhaa then you’re DONE

Labda uwe mtu maarufu sana
 
Adamu Wakati anaumbwa The Unique thing about him was "Spell"/"Naming".

Study deeply about your Voice .

Unajua Sauti inatoka Wapi mwilini mwako mpaka unaumba maneno ya kueleweka ?

Ile Sauti Sasa ndiye wewe.
 
Adamu kaumbwa nani mkuu?

Sauti kisayansi nikitu simple na kinaelezeka vizuri
Ndio maana watu wametengeneza hadi sauti bandia
 
Adamu kaumbwa nani mkuu?

Sauti kisayansi nikitu simple na kinaelezeka vizuri
Ndio maana watu wametengeneza hadi sauti bandia
Ndio maana kasema study deeply...Acha hizi elimu mlizopewa nusu nusu
 
Ndio maana kasema study deeply...Acha hizi elimu mlizopewa nusu nusu

Hoja hapa ni chanzo cha binadamu ni nini

Jamaa kasema binadamu “kaumbwa”....... hapa ndio kwenye mjadala , THIBITISHE mjadala uishe

Sasa mnaanza kuleta habari za ku study deeply sauti?
Binadamu amepita siku nyingi sana huko kwenye sauti mkuu ndio maana anatengeneza hadi sauti
 
Ntajibu kwa hoja kutokana na Uelewa wangu mdogo!

Binadamu Yuko na Phase 3 duniani .

Science inasema.....
""Energy can neither be created nor destroyed but can be transformed from one form to another!""

Phase 1 : Kuzaliwa (Energy activation)

Phase 2 : Kuzaa (Energy transmission)

Phase 3 : Kufa (Energy transformation)

Ambazo phase hizi zinatokea katika Kila kiitwacho kiumbe hai . In short sisi ni Wanyama kama walivyo Wanyama wengine.

Ila Tofauti yetu na viumbe vingine ni "Utashi"

Kwa Mimi Unaposema Neno Binaadam linatokana na state ya ubinaadamu/Utu ni Ile hali ya ku possess Utashi "Will-being" logical beings(Akili ya Uchanganuzi na mipango). Na Unaposema Unyama ni Ile hali ya kinyume Cha Utashi ....

Organ iitwayo Ubongo karibia Wanyama wote wako nayo, ambapo ndani ya Ubongo huo Eneo linaitwa Cerebral cortex Kuna Kitu kinaitwa "Mind" ni kama Software ambayo inafanya Kazi katika hali ya Umeme.

Mind imegawanyika Pande kuu mbili .... Conscious Mind (Centre of Logics/rational/programming zone) na Subconscious Mind(Irrational/Store of Programs).

Sasa tusizunguke sana hapa kwenye Conscious Mind ndipo Binaadam(Will-being) alipo na anaishi katika mfumo wa mawimbi-Sauti ! .....na ndipo kwa Wanyama wengine hii advanced level ya Utashi haipo... wako na Cerebral cortex ambayo inafanya tu reactions tu kutokana na instant surroundings then itaprogram subconscious minds zao behaviours husika bila reasoning kinyume kabisa na Binaadam.

Kabla hujazungumza chochote mdomoni Kwako Conscious Mind ilishazungumza before!

Ndio maana wahenga walisema Mtu akifa tunasema "Amekata Kauli"....maiti haiongei!

Chimbuko la Binadamu liko Ndani ya Mwili wa binaadam ambalo kiimani Spirit na kisayansi ni Energy .

Sayansi pekee haitoweza kujibu Chimbuko la Binaadam ndio maana Kuna Fields za kiimani ambazo Mungu ndio Source ya Kila Kitu umlimwenguni.

"Na tumewaumba kutokana na mfano wetu"

Science is so weak to Answer the Origin of Human life but Spirituality can!

Science haiamini mizimu na spirits 8n general.....lakini watu wanaziishi hizo experience na ziko scattered as Energy Zina possess transformations kama vile Sound na electrical energies.[emoji106]!
 
Ntajibu kwa hoja kutokana na Uelewa wangu mdogo!

Binadamu Yuko na Phase 3 duniani .

Phase 1 : Kuzaliwa

Phase 2 : Kuzaa

Phase 3 : Kufa

Ambazo phase hizi zinatokea katika Kila kiitwacho kiumbe hai . In short sisi ni Wanyama kama walivyo Wanyama wengine.

Ila Tofauti yetu na viumbe vingine ni "Utashi"

Kwa Mimi Unaposema Neno Binaadam linatokana na state ya ubinaadamu/Utu ni Ile hali ya ku possess Utashi "Will-being" logical beings(Akili ya Uchanganuzi na mipango). Na Unaposema Unyama ni Ile hali ya kinyume Cha Utashi ....

Organ iitwayo Ubongo karibia Wanyama wote wako nayo, ambapo ndani ya Ubongo huo Kuna Kitu kinaitwa "Mind" ni kama Software ambayo inafanya Kazi katika hali ya Umeme.

Mind imegawanyika Pande kuu mbili .... Conscious Mind (Centre of Logics/rational/programming zone) na Subconscious Mind(Irrational/Store of Programs).

Sasa tusizunguke sana hapa kwenye Conscious Mind ndipo Binaadam alipo na anaishi katika mfumo wa mawimbi-Sauti !

Kabla hujazungumza chochote mdomoni Kwako Conscious Mind ilishazungumza before!

Ndio maana wahenga walisema Mtu akifa tunasema "Amekata Kauli"....maiti haiongei!

Chimbuko la Binadamu liko Ndani ya Mwili wa binaadam ambalo kiimani Spirit na kisayansi ni Energy .

Sayansi pekee haitoweza kujibu Chimbuko la Binaadam ndio maana Kuna Fields za kiimani ambazo Mungu ndio Source ya Kila Kitu umlimwenguni.

"Na tumewaumba kutokana na mfano wetu"

Science is so weak to Answer the Origin of Human life but Spirituality can [emoji106]!

Science never claim can solve everything
Sayansi haijawahi kusemwa ina majibu ya kila kitu mkuu

Kwenye huu ulimwengu sayansi inajua vitu vichache sana ambavyo vinatusaidia kurahisisha maisha yetu na bado inaendelea kutafuta

Hiyo hoja yako ya sauti ni tenge
Wewe unaye ongea na bubu hamna tofauti yoyote ya kufikiri tofauti yenu ni kwenye kuwasiliana tu

Sauti is just a means of communication

Kwakuwa umesema chanzo cha binadamu....... basi tunaomba ukithibitishe hicho chanzo kuwa kipo na sio blah blah za kuhoji sayansi
Sayansi haina majibu ya kila kitu
 
Simply Binaadam ni hiyo Logical-Sound inayounguruma vichwani mwetu !

Na Chimbuko lake ni "Mungu"

Uthibitisho uko kwenye Maandiko matakatifu!

Ushahidi katika Biblia

Mwanzo 1:26 .."Kisha Mungu akasema tumfanye Mtu kwa mfano wetu/kwa sura yetu" , atawale samaki wa baharini ,ndege wa angani ,Wanyama wa kufugwa Dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.

Pia shahidi za kwenye Qur'an Zipo kibao.

So kama Mungu ametumba kwa mfano wake ambao ni Spirit/Nuru/Energy ...basi Chimbuko letu sisi ni huko .
 
Back
Top Bottom