Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayu hiii hoja yako kwamba hakuna historia ya vizazi kumi vilivyotangulia. Inaniwazisha sana.
Najaribu kutafuta Mantiki uliyotumia kufikia hitimisho Hilo.
Ukiweza kufahamu chanzo cha mawazo yako na ukafahamu kuwa kuna wakati unapata usingizi, uchovu,mawazo mazuri na mabaya, njaa , ugonjwa na mengine mengi bila hiari yako na bila kujua chanzo chake basi ufahamu yupo aliyeyapanga hayo yatokee kwa utaratinu ulioratibiwa kwa ustadi usiowezekana kufanywa na kiumbe chochote isipokuwa yeye tu.Kwa nini Hakiwezi?
Unatakiwa ueleze chanzo hicho kimewezaje kuwepo bila chanzo chochote kile?
Kabla ya chanzo kulikuwepo nini?
Ina maana chanzo kilitokea tu, from nothing kikawa chanzo?
Utafiti upi ulifanyika kugundua kwamba Mungu huyo ndio chanzo?
Mungu ni nini?
Unathibitisha vipi kwamba Mungu huyo ndio chanzo cha ulimwengu?
Na si mawazo na imani yako ya kufikirika tu.
Wewe mwenye bongo iliyo na akili,
Eleza Mungu ni nini?
Ulifahamu vipi Mungu huyo ndio chanzo?
Utafiti upi ulifanyika na kuthibitisha Mungu huyo yupo?
Kwa nini Mungu huyo hana chanzo?
Kabla ya Mungu huyo kuwa chanzo, alikuwa wapi?
Huko alikokuwa kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?
Thibitisha Mungu huyo ndio chanzo cha ulimwengu na si mawazo yako ya kufikirika tu.
Ukiweza kufahamu chanzo cha mawazo yako na ukafahamu kuwa kuna wakati unapata usingizi, uchovu,mawazo mazuri na mabaya, njaa , ugonjwa na mengine mengi bila hiari yako na bila kujua chanzo chake basi ufahamu yupo aliyeyapanga hayo yatokee kwa utaratinu ulioratibiwa kwa ustadi usiowezekana kufanywa na kiumbe chochote isipokuwa yeye tu.
Ukiona uwezo wako wa kuelewa mambo umegota basi ujue wewe umeumbwa na hapo ndiyo ukomo wa wewe kufahamu ni kama ambavyo binadamu tunaunda gari ipite barabarani ukiipeleka kwenye maji inazama.
Unadhani binadamu anaishi Kwa slika bila ya kuwa na utashi kama Tembo??
Huko kilipotokea kabla ya kujitokeza ndipo chanzo chake,na hats kama kabla ya kujitokeza kilikuwepo mahaia fulani hapaondoshwi maana ya kuwepo chanzo chake.Kabla ya "kujitokeza chenyewe" kilikuwa wapi?
Au kilikuwa sehemu gani kabla ya kujitokeza?
Sehemu hiyo kilichokuwepo kabla ya kujitokeza chenyewe kulitoka wapi?
Kama Kuna Miungu Basi Kuna Mungu pia soma vizuri mzeeKwani hao miungu wa Egypt ndio tafsiri sahihi ya uwepo wa mungu mkuu?
Ukiitafuta tafsiri ya uhakika na ukweli juu ya mizimu bila kupindishwa utaelewa mini maana ya mababu na kumbukumbu ya yaliyopita.Mkuu unavyo jiona wewe ulivyo umezaliwa utazaa utakufa..... PERIOD
Hivyo ndivyo ilivyo kwa binadamu wote
Mababu zako 10 nyuma huwajui kabisaaa yaani hujui lolote kuhusu wao, na wewe utakufa utasahaulika baada ya vizazi kadhaa mbele, vitu utabaki navyo kwa hao mababu zako labda majina yao ya ukoo na kabila na utamaduni
Kinacho saidia kwa sasa ni teknolojia ya kutunza kumbukumbu angalau itasaidia kujua SISI wa kizazi cha ujuzi wa kutunza kumbukumbu tuliishije na sio TUMETOKEAJE DUNIANI
Kama Kuna Miungu Basi Kuna Mungu pia soma vizuri mzee
Mungu ni RohoMiungu wapo toka enzi na enzi dunia nzima
Je ni yupi kati hao ndio creator wa ulimwengu?
Na anathibitishikaje?
Maana kama yupo kweli basi huu mjadala wa binadamu katokea wapi utakua umefungwa rasmi
Ukiitafuta tafsiri ya uhakika na ukweli juu ya mizimu bila kupindishwa utaelewa mini maana ya mababu na kumbukumbu ya yaliyopita.
Mungu ni Roho
Na hicho "chanzo chake" chanzo chake ni kipi?Huko kilipotokea kabla ya kujitokeza ndipo chanzo chake,
Sawa, Chanzo cha "chanzo chake" ni kipi?na hats kama kabla ya kujitokeza kilikuwepo mahaia fulani hapaondoshwi maana ya kuwepo chanzo chake.
Adamu Wakati anaumbwa The Unique thing about him was "Spell"/"Naming".
Study deeply about your Voice .
Unajua Sauti inatoka Wapi mwilini mwako mpaka unaumba maneno ya kueleweka ?
Ile Sauti Sasa ndiye wewe.
Ndio maana kasema study deeply...Acha hizi elimu mlizopewa nusu nusuAdamu kaumbwa nani mkuu?
Sauti kisayansi nikitu simple na kinaelezeka vizuri
Ndio maana watu wametengeneza hadi sauti bandia
Ndio maana kasema study deeply...Acha hizi elimu mlizopewa nusu nusu
Ntajibu kwa hoja kutokana na Uelewa wangu mdogo!
Binadamu Yuko na Phase 3 duniani .
Phase 1 : Kuzaliwa
Phase 2 : Kuzaa
Phase 3 : Kufa
Ambazo phase hizi zinatokea katika Kila kiitwacho kiumbe hai . In short sisi ni Wanyama kama walivyo Wanyama wengine.
Ila Tofauti yetu na viumbe vingine ni "Utashi"
Kwa Mimi Unaposema Neno Binaadam linatokana na state ya ubinaadamu/Utu ni Ile hali ya ku possess Utashi "Will-being" logical beings(Akili ya Uchanganuzi na mipango). Na Unaposema Unyama ni Ile hali ya kinyume Cha Utashi ....
Organ iitwayo Ubongo karibia Wanyama wote wako nayo, ambapo ndani ya Ubongo huo Kuna Kitu kinaitwa "Mind" ni kama Software ambayo inafanya Kazi katika hali ya Umeme.
Mind imegawanyika Pande kuu mbili .... Conscious Mind (Centre of Logics/rational/programming zone) na Subconscious Mind(Irrational/Store of Programs).
Sasa tusizunguke sana hapa kwenye Conscious Mind ndipo Binaadam alipo na anaishi katika mfumo wa mawimbi-Sauti !
Kabla hujazungumza chochote mdomoni Kwako Conscious Mind ilishazungumza before!
Ndio maana wahenga walisema Mtu akifa tunasema "Amekata Kauli"....maiti haiongei!
Chimbuko la Binadamu liko Ndani ya Mwili wa binaadam ambalo kiimani Spirit na kisayansi ni Energy .
Sayansi pekee haitoweza kujibu Chimbuko la Binaadam ndio maana Kuna Fields za kiimani ambazo Mungu ndio Source ya Kila Kitu umlimwenguni.
"Na tumewaumba kutokana na mfano wetu"
Science is so weak to Answer the Origin of Human life but Spirituality can [emoji106]!
Simply Binaadam ni hiyo Logical-Sound inayounguruma vichwani mwetu !Science never claim can solve everything
Sayansi haijawahi kusemwa ina majibu ya kila kitu mkuu
Kwenye huu ulimwengu sayansi inajua vitu vichache sana ambavyo vinatusaidia kurahisisha maisha yetu na bado inaendelea kutafuta
Hiyo hoja yako ya sauti ni tenge
Wewe unaye ongea na bubu hamna tofauti yoyote ya kufikiri tofauti yenu ni kwenye kuwasiliana tu
Sauti is just a means of communication
Kwakuwa umesema chanzo cha binadamu....... basi tunaomba ukithibitishe hicho chanzo kuwa kipo na sio blah blah za kuhoji sayansi
Sayansi haina majibu ya kila kitu