Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Maweeeee🤣🤣Manual guide unayo ndio maana ukiumia unatafuta dawa kwa sababu hupendi kuumia
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maweeeee🤣🤣Manual guide unayo ndio maana ukiumia unatafuta dawa kwa sababu hupendi kuumia
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Najua umeshang'aa kwa kuwa nilichoandika hutakaa ukieleweMaweeeee[emoji1787][emoji1787]
Sifa mojawapo ya Mungu ni kutokuumbwa.Kama unaamin uwepo wako upo sababu ya kuumbwa basi hata Mungu nae kaumbwa
Unaposema Mwanadamu " hakuumbwa" Lakini hapo hapo unasema kuwa hakuna ajuaye Mwanadamu kawaje yupo duniani, unajichanganya!!
Wanashangaza sana Hawa Atheists!
Wao wanaamini Kuunda ila hawaamini Kuumba [emoji38].
We are the Image of God
Mungu anaumba
Wanaadamu tuna Unda.
You can't Ignore God the Almighty!
Ni ufinyu wa Kufikiri
Kwani Mungu ni nani/Nini???
Ukisema Mungu yupo ama hayupo bila ya kujua Mungu ni nani/Nini utakuwa unapuyanga tu.
Anayezungumziwa hapa ni Mungu muumba wa vyote unavyovijua na Usivyovijua!
Tatizo lako unabisha halafu mvivu wa kutafuta maarifa ya kumjua muumba wako.
Nishasema toka mwanzo watu wakafanye research Juu ya Inner Sound na Spirituality/Elimu roho ......utakuja kukaa kimya mwenyewe na utaacha kubwatuka hovyo Mitandaoni humu!
Kama ulivyojaliwa ufahamu wa kuuliza na kujua lakini gari likanyimwa ufahamu wa kuuliza na kujua.
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Kwanza siyo kweli kwamba Babu zetu walikuwa hawajui kama Mungu yupo.Knowing God should be by default and not by accident of geography and history
Yaani Muumba kaumba dunia hii mamiaka mamilioni lakini babu zako wa majuzi tu vizazi vitatu au vinne walikua hawajui kuhusu Mungu na vitabu vyake hadi wakoloni walipokuja na hivyo vitabu na kuwachukua utumwa......... hivi huwa mnatumia akili gani kuamini huu ujinga mkuu?
Kwanza siyo kweli kwamba Babu zetu walikuwa hawajui kama Mungu yupo.
Halafu kujua ama kutokukujua hakuondoi uwepo wa Mungu.
Kwanza dhana ya Mungu haihusishi majina.Huu ndio ugumu wa dhana ya mungu
Kuna Mungu wangapi kwani?
Yule Mungu Fundi kapenta wa galilaya ndio Allah? Ndio mungu wa mababu zako walikua wanamuamini kwenye mapango?
Hivyo Kuna mtu amelitengeneza,analitumia Na pia anaweza kuliangamiza Sio!?{ Je mtengenezaji yupo Kwa ajili ya Gari ama Gari lipo kwaajili YA mtengenezaji!?)hata magar yakitazamana saiv jinsi yalivyo mengi barabarani yatakuwa yanasema hivi hivi kuwa sisi (magari) hatuna mwanzo wala mwisho tupo tupo tuu hatueleweki na tutaendelea kuwepo barabarani siku zote ...hayo magar hayajui kuwa kuna gari la kwanza lililo vumbuliwa na kiumbe ambaye ni binadamu..... bila shaka haya magari yatakuwa yanajidanganya tuu pasipokujua aliyeyavumbua (binadamu) akitaka anayatoa barabarani muda wowote na kuyaharibu au kuyatengeneza tena kama atakavoona yeye mwenyewe
Bado hujasemaChanzo cha uwepo wa binadamu ni jua.
Kama hakuna jua, basi hakuna uhai/maisha
Kutumia mfano huu Wa gari, kimantiki nadhani hitimisho lake sijui kama litashabihiana na mjadala uliopo.Hivyo Kuna mtu amelitengeneza,analitumia Na pia anaweza kuliangamiza Sio!?{ Je mtengenezaji yupo Kwa ajili ya Gari ama Gari lipo kwaajili YA mtengenezaji!?)
Kwanza Nashukuru kutambua kwamba Mungu ni dhanaKwanza dhana ya Mungu haihusishi majina.
Na kwa maelezo yako inaonesha kuwa unaamini Mungu anatakiwa awe mmoja.
Wewe unasema huamini kama Kuna Mungu. Hii nadharia ya kutaka Mungu awe mmoja unaitoa wapi??
Bila shaka ni Muumba huyu⤵️Mkuu be specific ili tupunguze mjadala...... ni muumba gani exactly unaye MUAMINI wewe ili tujadili uwepo wake
Nashangaa umeshindwaje kuelewa kuwa Mungu ni dhana na dhana siyo kitu bali ni msingi wa falsafa!!Kwanza Nashukuru kutambua kwamba Mungu ni dhana
Kwahiyo huwa creator wapo wengi kumbe?
Kwa hiyo fundi kapenta labda aliumba pua na kucha, Allah labda akaumba tumbo na miguu, miungu ya mababu zako labda ikaumba makalio na vikojoleo nk nk?
Usitoke nje ya swali lako la msingi......
Mkuu be specific ili tupunguze mjadala...... ni muumba gani exactly unaye MUAMINI wewe ili tujadili uwepo wake
hateeb10 nashukuru Kwa ufafanuzi wako.
Nimejaribu kumwelewesha kuwa Mungu ni dhana na siyo kitu au mtu, Lakini Bado haelewi.
Swali la msingi la chanzo cha binadamu ni nini WANALIKWEPA wanaleta mjadala kama Mungu yupo ama hayupo wakati siyo mada ya mjadala huu.