Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Unaposema "hakuna" aliyeuweka....Umejuaje haya yote na ukawa na uthibitisho ? tena ukiandika kwa kujiamini ? Tuelezee umejuaje ?Binadamu ni mwanaume na mwanamke.
Utofauti wa binadamu mwanaume na mwanamke hauna aliye uweka.
Upo kama ulivyo.