Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

naona hauna hoja unaleta mifano haipo kabisa..sijalazimisha ila nimejibu kama hukubali basi haina haja ni free kuamini au kutoamini.


Ila anayejiamini kabisa angebaki na mitazamo yake sio kuleta mada ambayo ukipewa majibu hutaki
Majibu gani umemezeshwa acha kukariri . Unakaza fuvu ukiijua kweli utabadilika
 
Nakupa fact! Nmetoa jibu huna akili ya kunishawishi mimi bado akili yako ndogo sana rudi ukasome
🏎 we kama gari tu kijana nikushawishi we demu au bado uko kwenye zama za kushawishiwa 😁😁😁 we jumalokole
 
Msingi wa neno "Uislam" ni "silm" ambalo linamaanisha "kujisalimisha" au "kusalimu amri." Linamaanisha kujisalimisha kwa Allah (Mwenyezi Mungu).
umejishalimisha sasa wew binafsi tuanzie kwako? Hata una chembe ya adabu. .mnatetea ushoga afu leo eti kujisalimisha
 
Msingi wa neno "Uislam" ni "silm" ambalo linamaanisha "kujisalimisha" au "kusalimu amri." Linamaanisha kujisalimisha kwa Allah (Mwenyezi Mungu).

Asante kwa elimu hii nimepata kitu.

Naomba unifundishe kuhusu dini ya kiislam ilianza lini ?

Pia kuhusu Silm ama kujisalimisha kwa Mungu, nauliza swali je Wakrtiso walio salim amri kwa Mungu. Wanaomuabudu Mungu na kumuheshimu kama walokole nao wanatambulika kama waislam?
 
Ilianza kabla hajaumbwa binaadam, binaadam tumeukuta. Waliokuwepo kabla ya binadam ni viumbe waliojisalimisha kwa Mwenyezi Mungu.

Tofauti ya Uislam na dini zingine, zote, zimebeba majina au sifa za kibinadam.

Uislam pekee ndiyo unamaanisha kujisalimisha kwa Muumba wetu pekee.
 
Mwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo.

Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.

Siku pingi,dini zililetwa kwa lengo la kumtawala mwanadamu kifikra,mana kuna watu akiwatazama jinsi dini inavyowapeleka hadi unawahurumia unabaki kucheka tu,eti mtu anavaa mabomu akajiripue na kuua binadamu wenzi kisa upuuzi wa dini huu si ujinga na ushenzi uliovuka viwango.
 
Usifanye mambo yako kwa kufata watu.

Wewe unaaamini nini?
 
Wewe wa dini ipi?
 

Hata wao wanakushangaa katika hicho unachoamini wanaona upuuzi kama upuuzi mwingine,dini ni upuuzi na wanaozifuata ni wapuuzi hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…