Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

Acha utoto basi hizo historia aliandika nani? Na Amerika kusini ni Afrika au ? Jaribu kukuwa basi umepata elimu au ?
Historia hazikuandikwa na mtu hizo, hayo ni mambo yalitokea. Hayo ndo yalikua maisha ya watu wa Amerika ya kusini kabla ya dini ya Cathotlic kuingia miaka ya 1500. Afrika pia tulikua na mila nyingi sana potofu ambazo kati ya hizo, zingine ndo bado zinaishia
 
Ulikuwepo.
 
Mwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo.

Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.
Ungeongezea na dini ya kiyahudi. Dini hizo tatu ni za toka enzi ya mhenga Abraham, hivyo mara nyingine huitwa "Abrahamic religions"
 
Ah kumbe huna uelewa wowote juu ya mjadala ulio uanzisha!🚮 bila shaka nyie ndo wale mnao fkiria mambo juu juu na kukariri huku mkijiamini ni waelewa zaidi kuliko wengine
hayo yote umesema wewe ukirudia kusoma hizo comment zako utaona ulichokiandika ..ziko hapa kubishana.
 
Nimesoma Uzi wako na comments zako zote ni pumba tupu

Ila nimegundua wewe ni mkristo ila umeathilika kisaikolijia Baada ya kugundua ukristo ni dini ya uongo
Mkuu Wazolee, ni kigezo gani ambacho kimekutambulisha kuwa huyu mtoa hoja ni Mkristo? Maana kwenye hoja yake ya msingi amezichambua dini zote mbili kwa mapana yake. Yeye anataka uchambuzi ulio sahihi katika masuala haya ya imani.
 
hayo yote umesema wewe ukirudia kusoma hizo comment zako utaona ulichokiandika ..ziko hapa kubishana.
Majibu uliyotoa kwenye maswala kadhaa niliyo kuuliza yanaonyesha ni kwa kiasi gani huna uelewa na historia ya dunia. Ila upo hapa kujaribu kuikosoa dini ambayo nina hakika pia utakua huijui
 
hayo yote umesema wewe ukirudia kusoma hizo comment zako utaona ulichokiandika ..ziko hapa kubishana.
Kafiri wewe umeuonesha ukafiri wako kwa kuniwekea maneno kwenye post #121 , Mimi sijatamka maneno Yale , kafiri wewe
 
Soma historia uone watu waliishi vipi zamani. Kuna jamii ziliishi kwa kuamini katika kutoa binadam wenzao kafara Amerika ya kusini. Na hata Afrika tu kuna jamii zilikua na mila za ajabu sana za kuumiza binadam wenzao kabla ya dini
Mkuu Saidama, haya mambo ya kuona watu wa zamani walikuwa walikuwa wajinga la hasha, walifanya vile kutokana na nyakati wao. Kila wakati/muhula una ujinga wake; kwa mfano leo, Mrusi na Ukreine wanauana, wanaharibu miundo mbinu yao. Vizazi vijavyo vya miaka mia ijao watawaona hawa hawana akili kwa kupigana kwa sababu za kijinga za kugombania mipaka tu ya ardhi... Hivyo usiwadharau wa zamani.
 
Siwadharau ila najaribu kueleza ni kwa kiasi gani dini zimesaidia kuwatoa watu katika mifumo ile
 
Back
Top Bottom