Binafsi Bado nina imani na Rais Samia kutuletea Tanzania iliyo bora zaidi

Lengo ni nini akina Uhuru Kenyatta, Mkapa, Nyerere, Mandela, Museveni n.k wamefanya mambo makubwa lakini hawakupewa PhD fake kama yeye nakuanza kujiita Dkt
Mkuu Benjamini pale UG M7 kafanya nini cha maana?
 
Chief hana akili yakuwa rais imetokea tu kama ajali
 
Rais Samia Suluhu aliahidi kutuweka pamoja na sasa anatekeleza
 
Asante Kwa taarifa.
Ila tambura Hawa walioko Nyuma yake ndio waharibifu!
Kusema deni la Taifa halimgusi mtu yeyote na bado tunakopesheka.
Mwengine anakuja na umeme tumemaliza tatizo! Hii ni laana!!
 
Hilo Hakuna ubishi SSH ndio Rais ataaleta maheuzi makubwa kwenye sekta mbalimba licha ya watu wenye chuki zao nae..

Mfano hii haijawahi tokea toka Uhuru Hospital za Mikoa yote kuwa na CT Scan, hospitali za Kanda kuwa na MRI na Hospital zote za Wilaya kuwa na Digital X Ray machines👇
 
Hii ni hatua nzuri mno
 
Asante Kwa taarifa.
Ila tambura Hawa walioko Nyuma yake ndio waharibifu!
Kusema deni la Taifa halimgusi mtu yeyote na bado tunakopesheka.
Mwengine anakuja na umeme tumemaliza tatizo! Hii ni laana!!
Hai ni waganga njaa tu in Jk's voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…