Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

NAKUPA USHAURI
Fuatilia nyuzi zangu...hazina kichwa wala miguu....ni porojo za kusadikika na blah blah....
NI NZURI SANA KWA AFYA YA MUKICHWA.
AU SIO VP BWAN"
 
NAKUPA USHAURI
Fuatilia nyuzi zangu...hazina kichwa wala miguu....ni porojo za kusadikika na blah blah....
NI NZURI SANA KWA AFYA YA MUKICHWA.
AU SIO VP BWAN"
Ngoja tumsogezee kabisa moja ya nyuzi yako bora kabisa,

VAR

 
Mleta mada ni ngumu kukuchukulia serious kwasababu ya mwenendo wako humu.

Hata ukiandika kitu kizuri naona kama unatafuta attention kwa sababu historia yako inaonyesha hivyo

Kama JF haikidhi viwango vyako tena, log out achana nayo, huwezi kufanya members wote waishi kama unavyotaka

Napendekeza uoe au uolewe hii itasaidia kukupa majukumu mengine yatakayo kupunguzia muda unaokaa humu
 
Acha kukwepa mada na kuanza projection za kudhani unayajua maisha yangu binafsi..

Ni nyie ndo mnaoharibu jf, wewe ni millenial ila ndo hivyo huku pata hekima, upo sawa na gen z tu.
Nakusaidia uachane na mawazo ya namna hii utateseka utapata magonjwa ya moyo pasipo msingi una vitu hata wanawake hawana badilika
 
Naunga mkono hoja asilimia 100
zamani jamii forum ilikuwa ni kisima cha maarifa ila kwa sasa ujinga umekuwa mwingi kuliko maarifa. Wahusika wafanye jambo maana hiki kizazi cha AI na ma Geg Z wanaharibu sana hili jukwaa la jamii
 
Haya endelea ku ruminate kuhusu mimi
Wote tuliokuambia ukweli tunataka kuona mawazo yako yakisaidia wnegine na sio kulialia hivi hivi inaboa,hivi unajua jf inafuatiliwa na watu wenye wazito wenye heshima yao kwenye jamii na kwa taifa haya mambo ni ya facebook,kuwa sehemu ya kuisadia jamii kwa mawazo na sio kwa kusema chuki kama hizi wewe unajua Melo kaipigania JF mpaka ifike hapa unajua kaweka uhai na ka take risk mpaka jf imefika hapa, unajua kipindi cha nyuma Melo alikosa hadi usingizi kukipigania hichi chombo na kulinda usiri wa wachangiaji humu kwasbabu tukigusa mambo senstive ya taifa yenye maslahi ya watu wazito hakafu unakuja wewe na sera zako hizi rahisi na zakitoto
 
Naunga mkono hoja asilimia 100
zamani jamii forum ilikuwa ni kisima cha maarifa ila kwa sasa ujinga umekuwa mwingi kuliko maarifa. Wahusika wafanye jambo maana hiki kizazi cha AI na ma Geg Z wanaharibu sana hili jukwaa la jamii
Hakika mkuu.
Hiki jukwaa limekuwa la hovyo sana
 
Usinifananishe na Takataka. Kingine, toka mada imeanza hakuna cha maana umeandika.. Ni aina hii ya watu walio na maisha magumu, kazi yao ni kuja humu na kuleta negative vibes na vijembe tu
We mtoto jishikilie, wewe na Da Vinci nani takataka? Nenda kaangalie nyuzi zake Jamii intelligence kisha ulinganishe na thread zako hizi
 
JF Mimi nasoma sana zile nyuzi zenye madini haswa. Nikimaliza nakuja kuwapipoa mashoga wote wapatikanao humu, yaani napumzika huku nawapopoa tu mashoga.
Sawa sawa, sasa tuangalie na nyuzi husika kuna zingine sio za kupopoa hao watu unachafua mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…