Au sio π€£π€£π€£ hongera mwanetuAm more knowledgeable than anyone in here.. Hakuna mwingine
Kwa hiyo watu wote humu ni takataka, mpaka wale waliokutengenezea hii forumHakuna kama mimi. Usiniliganishe na takatakaπ
Didn't you say you are knowledgeable than anyone in here?Hapana.. π
Usiende extra miles bwana
Mkuu mnajisumbua bure na hii k.enge inayotafuta attention na kuwapotezea muda. Nimemuita hivyo kwasababu nimehisi kuna nati zimelegea kichwani hasa baada ya member mmoja kuleta thread zake mbili za tarehe 2 September, ya kwanza kaaga watu humu kwa mbwembwe, na ya pili akarudi anadai alikuwa anatafuta attention tu. Na thread hii anataka watu wamchukulie seriousπDidn't you say you are knowledgeable than anyone in here?
Na huyo member mmoja aliyeleta hizo thread mbili ni Mimi.Mkuu mnajisumbua bure na hii k.enge inayotafuta attention na kuwapotezea muda. Nimemuita hivyo kwasababu nimehisi kuna nati zimelegea kichwani hasa baada ya member mmoja kuleta thread zake mbili za tarehe 2 September, ya kwanza kaaga watu humu kwa mbwembwe, na ya pili akarudi anadai alikuwa anatafuta attention tu. Na thread hii anataka watu wamchukulie seriousπ
Acha ku recall vitu visivyo na manufaa katika huu uziMkuu mnajisumbua bure na hii k.enge inayotafuta attention na kuwapotezea muda. Nimemuita hivyo kwasababu nimehisi kuna nati zimelegea kichwani hasa baada ya member mmoja kuleta thread zake mbili za tarehe 2 September, ya kwanza kaaga watu humu kwa mbwembwe, na ya pili akarudi anadai alikuwa anatafuta attention tu. Na thread hii anataka watu wamchukulie seriousπ
Hapo kwenye kuchambana kunaweza kujitokeza with time.Comment yako imenifikirisha kama ina ukweli vile π€£π€£ ila Da Vinci energy ya kuchambana hivi hana
π π π Huyu ana OCPD kitu hakitaki ila anakingβangβania.
Baada ya yule Doctor kumkwida na kumgaragaza yule afande nimegundua sitaki ugomvi na wanaume. πSi ulisema tutafute siku tuzichape?
Nita furahi sana Kama utaridhia ili heshima iweze kurudi
ππ Iβm glad.Hii Misamiati yako inanipa taswira fulani kuhusu wewe... π
ππππ Dah !Wewe ni pasua kichwa hufugiki kabisa. Ila ningekupata mm namba ungeisoma. Ningekuchanchana hiyo ego yako uchwara mpaka useme tu... Si unanijua vizuri?
Kwasababu wanakupa kioo ujitazame na huwa unagundua you donβt like yourself?Napenda sana watu wanaodhani the world revolves around them, maana hawajui how fragile they are behind the curtains