Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Huyo kiboko, hataki kumuudhi mganga🤣🤣Kuna mmoja anasemaga sisi tuendelee kutoamink waganga ila yeye mganga akitaka mbuzi anampa ng’ombe kabisa afanye kazi yake kwa furaha.
Ni mrembo ila bado anaroga vibaya kabisa. Nadhani ushirikina ni addiction
Huyo kiboko, hataki kumuudhi mganga[emoji1787][emoji1787]
Kuzoea ushirikina ni ovyo sana, hata ukijikwaa tu utakimbilia kwa mganga kuangalia shida niniHataki kabisa
Mungu naye ni stori tu! Hayupo.Tafsiri yake ni kwamba unahitaji mtu asiyeamini ktk Mungu pia,maana uchawi upo ktk vitabu vya imani,na Kuna mstari mdogo baina ya dini na ushirikina,Imani ni kitu kisichoonekana sawa na uchawi vilevile!!
Umaskini kweli ??? Muafrika alijisahau kabisa and in his inept sees himself clever.Mtu anayewaza ushirikina au waganga ni kipimo namba moja cha Umasikini.
Tupo mbali sana kwa sasa kimaendeleo ya kiteknolojia kuwaza mambo kama hayo
Rahisi sana kuwajua hawa wa level za chini ila wale ma masta wenyewe kuwajua ngumu sana , tena wapo vizuri kwenye kuficha mambo yao,,,.....na wengi wanapendaga kutumia kichaka cha dini kuficha mambo yao, wengi utawakuta hata ni wazee wa kanisa au mtu mkubwa msikitini ila ndo masta na watu kuwashtukia ngumuKwenye matatizo ni rahisi kuwajua.
Mchawi na mshirikina hafichiki. Kama sio kwa kuona basi kwa kunusa kwa sababu ni kama mavi. Lazima usikie harufu
Doh kumbe mpare.....hakwepi hayoMtibeli uko sahihi, lakini sasa mbona huko upareni ndo mnaongoza kwenda kwa waganga na imani za kishirikina?
Nimezaliwa same ,na kusoma primary huko napafaham vizuri ,Ule mlima shengena una mambo mengi sana
Kuzoea ushirikina ni ovyo sana, hata ukijikwaa tu utakimbilia kwa mganga kuangalia shida nini
Rahisi sana kuwajua hawa wa level za chini ila wale ma masta wenyewe kuwajua ngumu sana , tena wapo vizuri kwenye kuficha mambo yao,,,.....na wengi wanapendaga kutumia kichaka cha dini kuficha mambo yao, wengi utawakuta hata ni wazee wa kanisa au mtu mkubwa msikitini ila ndo masta na watu kuwashtukia ngumu
Mtibeli uko sahihi, lakini sasa mbona huko upareni ndo mnaongoza kwenda kwa waganga na imani za kishirikina?
Nimezaliwa same ,na kusoma primary huko napafaham vizuri ,Ule mlima shengena una mambo mengi sana
Ngoja tumuulize binti kimoso kama we hujachanjwa "chale kwenye makalio" eti ni mvuto wa kuuza nakala nyingi za vitabu vyako.
Kwanini kanisa na sio msikiti?Kweli kabisa, tena ni viongozi wa kanisa, wanakaa viti vya mbele kanisani...
Usimalize maneno bwana mdogo, sijui una umri gani ila usimalize maneno.
Wapo watu kibao hawaamini masuala ya waganga na ushirikialna kwa ujumla wake. Tatizo huwezi kuwapata katika mikutano ya vyama vya siasa, ushabiki wa mipira na kumbi mbalimbali za starehe. Hao watu utawakuta /utaonana nao sana katika nyumba za ibada.Ni vigumu sana kwa Tanzania hii kupata mwenza asiyeamini hayo mambo!
Hata humu JF tusioamini hayo mambo yawezekana hata watano hatufiki!
Tafsiri yake ni kwamba unahitaji mtu asiyeamini ktk Mungu pia,maana uchawi upo ktk vitabu vya imani,na Kuna mstari mdogo baina ya dini na ushirikina,Imani ni kitu kisichoonekana sawa na uchawi vilevile!!
Wapo wengi tu ikiwemo mimi.Sasa mbona ndoa nyingi zitavunjika, hivi kuna wanaume ambao sio washirikina bongo hii??
Hawa wenye chale mpk kwenye mstari wa pumbunyo!!! Labda useme mataifa ya magharibi huko