Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Hakuna asiyeamini kuwa uchawi upo! Ila kuushiriki kwa vitendo ndio tatizo.Tafsiri yake ni kwamba unahitaji mtu asiyeamini ktk Mungu pia,maana uchawi upo ktk vitabu vya imani,na Kuna mstari mdogo baina ya dini na ushirikina,Imani ni kitu kisichoonekana sawa na uchawi vilevile!!
Muombe sana Mungu akusaidie bwana mdogo.Kuna mambo mimi tangu nikiwa mdogo nilishamaliza maneno. Ikiwemo hilo la uchawi na ushirikina, ushoga, madawa ya kulevya, ni mambo ambayo haiwezekaniki kwangu kuyatumia.
i wasiri kweli, mostly ni watu wa karibu tunao wa trust. And when unapowafahamu sasa, dissapointment strikeNi ngumu kumjua mtu huyo...
Wanakuwaga wasiri sana...
NB: Uchawi na uganga ni Siri pia vyote ni sawa...
Muombe sana Mungu akusaidie bwana mdogo.
Ni wasiri mnoNi ngumu kumjua mtu huyo...
Wanakuwaga wasiri sana...
NB: Uchawi na uganga ni Siri pia vyote ni sawa...
Haya tibeliAhsante sana Mkuu kwa kunitakia kheri ya kuzaliwa.
Usiombe ukajikuta kwenye familia za washirikina, hakika utakuwa mtu asiye na bahati. Sio kwa mume au kwa mke. Yeyote kwenye familia akishakuwa na mambo ya kishirikina familia hiyo ipo kwenye shida kubwa.
Watibeli kuoa/kuolewa ni lazima sio hiyari. Labda mtu afariki akiwa mdogo lakini kama amefikisha miaka 40 lazima awe ameshaoa/ olewa
Haya tibeli
Wanaoenda Kwa waganga nikishakujua tu nakufuta kwenye list yangu, labda ufanye kimya kimya nisijue
Hapana kuna kipindi inafika wanakuwa na confidence sana wanaamini waganga ndio kila kitu.Ni ngumu kumjua mtu huyo...
Wanakuwaga wasiri sana...
NB: Uchawi na uganga ni Siri pia vyote ni sawa...
Ni vigumu sana kwa Tanzania hii kupata mwenza asiyeamini hayo mambo!
Hata humu JF tusioamini hayo mambo yawezekana hata watano hatufiki!
Atagundulika hata awe msiri namna gani. Labda aende mara chache sana na asirudie tena. Ila kama ni tabia yake aliyoizoe, basi kuna siku atajigonga na kujulikana. Ni sawa na uchepukaji. Kama ana tabia ya uchepukaji basi ni suala la muda tu atagundulika.Ni ngumu kumjua mtu huyo...
Wanakuwaga wasiri sana...
NB: Uchawi na uganga ni Siri pia vyote ni sawa...
Tena wachungaji wa siku hizi wanatumia mahubiri ya kutishia watu mambo ya uchawi ili waone kwamba bila hao wachungaji, basi hawawezi kuishi kwenye hii dunia iliyojaa uchawi. Kwa kifupi wanaoamini kwenye dini, hasa walokole wamekuwa ndiyo wenye hofu ya uchawi kuliko hata wasioamini.Nyani ngabu huko sahihi. Tunapenda tupate wenza wenye dini ila hatutaki wanaoamini uchawi.
Tunasahau dini ndio inaseme uchawi upo.
Dini na uchawi ni kama simba na yanga
We mwenyewe Kwa sababu upo Marikani huko Vilinge ni vya kutafuta.....Wasukuma mnavyopenda kuchanjana chale nyie.🤣🤣🤣Ni vigumu sana kwa Tanzania hii kupata mwenza asiyeamini hayo mambo!
Hata humu JF tusioamini hayo mambo yawezekana hata watano hatufiki!
Huwezi hata kuwadhania.Na kibaya zaidi wengi wanakuwa wacha Mungu na unaweza shinda nao kanisani kabisa!
Kuna wengine walichanjwa wakati wakiwa wadogo lakini baada ya kukua na kusoma, hawana imani hizo tena.Sasa mbona ndoa nyingi zitavunjika, hivi kuna wanaume ambao sio washirikina bongo hii??
Hawa wenye chale mpk kwenye mstari wa pumbunyo!!! Labda useme mataifa ya magharibi huko
Mamy K siku hizi washirikina wakubwa ni hawa walokole. Hili ni kundi linaloendekeza ushirikina hakuna mfano. Wachungaji na manabii wengi wanajua kuwa bila kuwajaza waumini wao hofu ya uchawi, hawatanunua mavitu yao ya upako. Kwa kifupi ni kuwa hawa manabii na wachungaji wa kilokole ni waganga wa kienyeji wanaotumia biblia badala ya vibuyu na matunguli wengine.Huwezi hata kuwadhania.
Tena ukimsikia mtu anaendekeza maji ya upako siku mafuta, sijui makombe......ogopaaaa.
Tulioolewa tufanyeje sasa? Mi ukweni kwangu kila mtu na mganga wake🤣🤣🤣🤣🤣Nakuunga mkono asilimia mia,kaka epuka dada anayependa ushirikina mara ana tudawa amechanganya na mafuta kimbia,kuna siku atakulisha nyama ya bundi.
Dada chunguza vizuri familia unayotaka kuolewa usije ukaolewa kwa washirikina,wanao wanaweza kufanyiwa kitu siyo.
Namshukuru mama yangu na shangazi yangu nilipowambia nimepata mchumba waliniambia kwa msisitizo niwe makini,niijue familia nakotaka kuingia nisije olewa familia ya wachawi ama washirikina.
N.B
Happy 30 years kaoe sasa