Wamewaiga Masheikh wa bidaa, wamefanya sana hizo mambo.....Shri anachanganya Aya za Qur'an na uchawi....ndo mara wanaandika makombe, mara hii kafukie, hii kapake uchawi mtupu.Mamy K siku hizi washirikina wakubwa ni hawa walokole. Hili ni kundi linaloendekeza ushirikina hakuna mfano. Wachungaji na manabii wengi wanajua kuwa bila kuwajaza waumini wao hofu ya uchawi, hawatanunua mavitu yao ya upako. Kwa kifupi ni kuwa hawa manabii na wachungaji wa kilokole ni waganga wa kienyeji wanaotumia biblia badala ya vibuyu na matunguli wengine.
We mwenyewe utapambana na Mwendokasi🤣🤣🤣 Muhimu mganga ale kuku na atembelee wowowoo🤣Huu mwaka hauishi mganga wangu nampa carina
Wateja wengi wa waganga ni ndugu zako wa Chamani na unaishi nao, u shake hand, huges etc... Kwa kifupi unaishi nao!Binafsi siwezi ishi na mtu ambaye anapenda mambo ya kishirikina, anaenda kwa waganga, au anadalili za uchawi uchawi.
Mwendokasi zipo, treni la mwakyembe hilo hapo...aaaahhh mganga wangu atafrahiiiWe mwenyewe utapambana na Mwendokasi🤣🤣🤣 Muhimu mganga ale kuku na atembelee wowowoo🤣
Bwana Yesu asifiwe 👋Wapo wengi tu ikiwemo mimi.
Wengi hizo chale wamepigwa wakiwa watoto kutokana na shinikizo la wazazi wao na si hiyari zao.
Tumsifu Yesu kristu 👋Kuna wengine walichanjwa wakati wakiwa wadogo lakini baada ya kukua na kusoma, hawana imani hizo tena.
Wateja wengi wa waganga ni ndugu zako wa Chamani na unaishi nao, u shake hand, huges etc... Kwa kifupi unaishi nao!
Yakikukuta yale ya noway out utaanyooka, nyie mnaojiapiza ni wepes kbs kulko wale neutral [emoji1625][emoji1625]
Mpaka kuandika huu uzi teyari umeshalogwa na mdada mzuri na hujui sababu ya kuandika huu uzi.
we ni mura auWatibeli hawalogwi
Upo sahihi mkuu
Uchawi ni nguvu ndogo Sana kiroho na ipo renewable in each single day
That is way MTU anaweza kukuchezea ukafukuzwa kazi Ila hana uwezo wa kukufanya ukose kazi.
Ni vizuri watu wakaishi kitibeli kwa kuipenda HAKI
Maana ukiipenda haki utakuwa innocence na ukiwa innocence huwezi kurogwa.
mtibeli ni kabila?Mimi Mtibeli Mkuu.
Mura nao hawalogwi?
Kwa hiyo kwa mantiki hiyo unamaanisha uchawi unaleta maendeleo?Umaskini kweli ??? Muafrika alijisahau kabisa and in his inept sees himself clever.
Wahindi hawa kabisaa kila uchao ni maudi kila kona akitema ndumba. Na ndio wanaongoza kwa biashara bongo tena kwa umbali sana . Au hujui ule ni ushirikina ??
Krishna umefuatlia ni nani kiundani??
Wazungu ndo kabisa sitaanza kuiongelea, even the royal British family ni publicly known freemasons ,stop putting your head in the sand open your eyes to the world as it is .
Unaweza chaguo kuignore villify it as much unataka it won't change the fact that the world is run by something more than kinaonekana.
Unajua kuwa inclination ya pyramids ipo on the same degrees as the speed of light?? Is it a coincidence , I've only met one set of magic more advanced than ancient Egypt's, which by the way walikuwa waafrika .
Laiti ungejua namna watu wanavyoishi kishirikina, hata wale wanaosali sana jaribu kuwachunguza. Ila watu wanazingatia maisha ni mchezo, cheza vizuri ili ufanikiwe.