Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama msimamo. Msimamo ndio huleta uwajibikaji
Kama kweli kuna ufufuko wa wafu na waliofufuka wanaweza kuongea wakaelewana basi nakuomba ukikutana na JPM muulize maoni yake kuhusu hiki ulichosema.
 
Hata kama tunawaona kama Watoto wa Kambo, au watoto wa hawara lakini wanamazuri yao mengi tu.
Hajir Hakuwa Hawara , bali mke kamili wa Ibrahim ambaye Sarai limpa Ibrahim Mumewe ili awe mkewe.
Naye Ismail na Uzao wake wamebarikiwa wote.

Biblia kitabu cha Mwanzo MLANGO 16​


Basi Sarai mkewe Abramu hakumzalia mwana, naye alikuwa na mjakazi, Mmisri, jina lake Hajiri.
2 Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, Bwana amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
3 Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.
4 Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.
5 Sarai akamwambia Abramu, Ubaya ulionipata na uwe juu yako; nimekupa mjakazi wangu kifuani mwako, naye alipoona kwamba amepata mimba, mimi nimekuwa duni machoni pake. Bwana na ahukumu kati ya mimi na wewe.
6 Naye Abramu akamwambia Sarai, Tazama, mjakazi wako yu mkononi mwako, mtendee lililo jema machoni pako. Sarai akamtesa, naye akakimbia kutoka mbele yake.
7 Malaika wa Bwana akamwona kwenye chemchemi ya maji katika jangwa, chemchemi iliyoko katika njia ya kuendea Shuri.
8 Akamwambia, Hajiri, wewe mjakazi wa Sarai, unatoka wapi, nawe unakwenda wapi? Akanena, Nakimbia mimi kutoka mbele ya bibi yangu Sarai.
9 Malaika wa Bwana akamwambia, Rudi kwa bibi yako, ukanyenyekee chini ya mikono yake.
10 Malaika wa Bwana akamwambia, Hakika nitauzidisha uzao wako, wala hautahesabika kwa jinsi utakavyokuwa mwingi.
11 Malaika wa Bwana akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana Bwana amesikia kilio cha mateso yako.
 
mbona wenzio huko juu washakiri kua yesu ndio mungu. au wewe muumini wamchongo? mwabudu yesu bhana mwana wa bikira Maria..
🙄🙄🙄🙄😎😎😎😎😎
Aabudiwe aliyetundikwa msalabani kwa kukosa nguvu za kujitetea?
Hiki ni kioja kumuabudu kiumbe
wakati aliye muuba yupo.
Mmi Namuabudu Mungu wa Bw.Yesu
 
🙄🙄🙄🙄😎😎😎😎😎
Aabudiwe aliyetundikwa msalabani kwa kukosa nguvu za kujitetea?
Hiki ni kioja kumuabudu kiumbe
wakati aliye muuba yupo.
Mmi Namuabudu Mungu wa Bw.Yesu
mbona unawasaliti wenzio mkuu mwabudu bwana yesu. huyo ndie mungu.
 
Yohana 17.
3 Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfah amu Yesu Kristo ambaye umemtuma. 4 Baba nime kutukuza hapa duniani kwa kutimiza kazi uliyonipa niifanye.
Kama una akili timamu naomba chambua maneno ya yesu hapo juu niliyo BOLD utajua ukweli
 

Hajiri hajawahi kuwa Mke wa Ibrahimu, na hatakuja awahi!

Umeishia kusoma mwanzo 16 tuu endelea mbele uone Kigeugeu cha Sarah.
Mwanzo 21:9
Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka.

Mwanzo 21:10
Kwa hiyo akamwambia Ibrahimu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.

Mwanzo 21:12
Mungu akamwambia Ibrahimu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana, na huyo mjakazi wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake, kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa.

Mwanzo 21:13
Naye mwana wa mjakazi nitamfanya kuwa taifa, maana huyu naye ni uzao wako.

Hapo kuna Kauli za wahusika wawili.
Sarah anasema Hajiri ni mjakazi.

Mungu pia anasema Hajiri ni Mjakazi,

Sasa Kati ya HAO wawili yaani Sarah na Mungu Wewe utashika Kauli ya Nani?
 
mbona wenzio huko juu washakiri kua yesu ndio mungu. au wewe muumini wamchongo? mwabudu yesu bhana mwana wa bikira Maria..

Kwa hiyo Wewe waislam wengine wakisema uislam ni ugaidi nawe utasema hivyohivyo?

Tunaongozwa na vitabu sio maneno ya watu kukiri au kukataa. Sawa Mzee
 

Hata Kwa Ukristo na uyahudi kila kitu ni Ibada, Ila kuna siku ya kuabudu.
Wewe unazungumzia Jambo dogo Kama hilo alafu unasema watu hawafahamu😂😂

Kwa mujibu wa dini yako siku gani ni ya kuabudu?
 

Hapo umenena maana Mimi nimetoka Mada moja watu wanaleta Mada zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…