inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Wapi wametajwa wakurdi!!?..we una shida gani!?..mbona unarukiarukia mambo!!..hili lile,hutulii!!!...Siku ya ijumaa Kwa Wakurdi unajua ni siku gani hasa mbali na kuwa ilikuwa siku ya Gulio/mnada?
Unasoma biblia kinyumenyume kama quran!?Hajir Hakuwa Hawara , bali mke kamili wa Ibrahim ambaye Sarai limpa Ibrahim Mumewe ili awe mkewe.
Naye Ismail na Uzao wake wamebarikiwa wote.
Biblia kitabu cha Mwanzo MLANGO 16
Basi Sarai mkewe Abramu hakumzalia mwana, naye alikuwa na mjakazi, Mmisri, jina lake Hajiri.
2 Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, Bwana amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
3 Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.
4 Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.
5 Sarai akamwambia Abramu, Ubaya ulionipata na uwe juu yako; nimekupa mjakazi wangu kifuani mwako, naye alipoona kwamba amepata mimba, mimi nimekuwa duni machoni pake. Bwana na ahukumu kati ya mimi na wewe.
6 Naye Abramu akamwambia Sarai, Tazama, mjakazi wako yu mkononi mwako, mtendee lililo jema machoni pako. Sarai akamtesa, naye akakimbia kutoka mbele yake.
7 Malaika wa Bwana akamwona kwenye chemchemi ya maji katika jangwa, chemchemi iliyoko katika njia ya kuendea Shuri.
8 Akamwambia, Hajiri, wewe mjakazi wa Sarai, unatoka wapi, nawe unakwenda wapi? Akanena, Nakimbia mimi kutoka mbele ya bibi yangu Sarai.
9 Malaika wa Bwana akamwambia, Rudi kwa bibi yako, ukanyenyekee chini ya mikono yake.
10 Malaika wa Bwana akamwambia, Hakika nitauzidisha uzao wako, wala hautahesabika kwa jinsi utakavyokuwa mwingi.
11 Malaika wa Bwana akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana Bwana amesikia kilio cha mateso yako.
Wapi wametajwa wakurdi!!?..we una shida gani!?..mbona unarukiarukia mambo!!..hili lile,hutulii!!!...
Katika vitabu ulivyotaja kimoja aliandika mungu akamkabidhi mtu, je mungu alikopi? Maana umezungumzia vitabu kukopianaHili tulishahadili Mkuu.
Uislam ni Dini ya kiarabu, na kitabu Chao ni Quran, Mungu wao ni Allah, Waandishi wake ni waarabu.
Uyahudi ni Dini ya Wayahudi na waisrael.
Hawa wanavitabu vingi, kitabu chao kikuu ni Torati, ingawaje vipo vitabu vidogo kama Zaburi, waandishi wake ni mayahudi wenyewe. Mungu wao ni Yehova.
Ukristo ni Dini ya kimataifa lakini imejengwa zaidi na Wazungu, ingawaje wao wameiba maandiko ya Kiyahudi na wahusika wa kiyahudi Kama walivyofanya Waarabu. Vitabu vyao wame- combine Torati, Zaburi na Injili.
Mungu wao Yehova mwenye ushirika na Yesu Kristo.
Huo ndio muhtasari wa dini hizo tatu zenye Asili ya Abrahamu.
Ukristo na uislam hauwezi kukataa kuwa haujafanya copy na ku-paste baadhi ya visa vya Mayahudi.
Labda ushabiki uendekezwe Ila huo ndio ukweli
HahaaaaaHivi mpira sio haram kwa waislamu.....maana dini inawahitaji wavae makanzu na pia mwanaume asionekane kwenye magoti, sasa wachezaji wa mpira wanapoonyesha hadi mapaja mbona QATAR hawajaja na aina ya sare kwa wachezaji wa kiume.
Hivi mpira sio haram kwa waislamu.....maana dini inawahitaji wavae makanzu na pia mwanaume asionekane kwenye magoti, sasa wachezaji wa mpira wanapoonyesha hadi mapaja mbona QATAR hawajaja na aina ya sare kwa wachezaji wa kiume.
Katika vitabu ulivyotaja kimoja aliandika mungu akamkabidhi mtu, je mungu alikopi? Maana umezungumzia vitabu kukopiana

ROBERT HERIEL
Huo ni uongo mkubwa kwamba Qur'an ilikopi maandiko ya kiyahudi.
Kwanza yakupasa ujue kwamba Qur'an ni maneno kamili ya Allah mwenyewe (word to word) , kwa upande mwingine Zaburi ya Daudi as,na Injili ya nabii Yesu (Isa as) hayo yalikuwa ni mahubiri ya hao manabii kwa wana wa Israeli, mahubiri hayo yalikuwa ni mafundisho ya sheria mama ya Taurati ya nabii Musa as, Manabii hao Musa, Daudi, Isa (Yesu) Muhammad (saw) nk, wote hao walitumwa na (Allah, Mungu, Yehova, Mnungu) mmoja hivyo mafundisho yao msingi wake ni kutoka kwa huyo Mungu na ndio maana utakuta hakuna tofauti katika sheria za msingi katika mafundisho ya hao manabii kwani mafundisho yao yametoka kwa huyo Mungu mmoja, mfano Taurati inakataza zinaa Qur'an nayo halikadhalika inakataza nk, na hata zinaa imekatazwa kwenye vitabu vya Wahindu je hapo mtu unaweza kudai kwamba Taurati ilikopi sheria ya zinaa kutoka kwa wahindu?? Wahindu walikuwepo kabla ya Nabii Musa.
Kifupi ni kwamba manabii wote ni familia moja kwani wanetumwa na Mungu huyo mmoja na ndio maana utakuta baadhi ya mafundisho yao ya msingi yanafanana.
Katika vitabu ulivyotaja kimoja aliandika mungu akamkabidhi mtu, je mungu alikopi? Maana umezungumzia vitabu kukopiana
Yehova na Allah ni miungu wawili tofauti MKUU. Kwa nini mnapenda kuwafanya kuwa kitu kimoja ilhqli kuna ushahidi wa wazi kuwa ni miungu wawili tofauti?
Unataka tuanze kuwachambua uone utofauti wao?
Hayo ni majina ya kitu kimoja japokuwa jinsi anavyokuwa portrayed ni tofauti kulingana na Sources husika na dhamira kusudiwa, mfano, Yesu wa Biblia ndiye yule yule Isa bin Mariam wa Qur'an, lakini kuna BAADHI ya utofauti wa jinsi anavyokuwa portrayed katika Biblia na Qur'an, au Yona wa Biblia.na Yunus wa Qur'an majina tofauti somehow lakini historia yao inafanana sana na tofauti ni ndogo kiasi kwamba huwezi kusema kwamba huyo sio mtu yule yule, ni hivyo hivyo Allah katika Qur'an ndiye huyo Yehova kwa kiebrania au Mnungu katika lugha za kibantu nk.
Umesoma shule gani weye. Yaana mtu ameacknowledge sources wewe unasema ameiba. Kumbuka pia Ukristo sio separate fromHili tulishahadili Mkuu.
Uislam ni Dini ya kiarabu, na kitabu Chao ni Quran, Mungu wao ni Allah, Waandishi wake ni waarabu.
Uyahudi ni Dini ya Wayahudi na waisrael.
Hawa wanavitabu vingi, kitabu chao kikuu ni Torati, ingawaje vipo vitabu vidogo kama Zaburi, waandishi wake ni mayahudi wenyewe. Mungu wao ni Yehova.
Ukristo ni Dini ya kimataifa lakini imejengwa zaidi na Wazungu, ingawaje wao wameiba maandiko ya Kiyahudi na wahusika wa kiyahudi Kama walivyofanya Waarabu. Vitabu vyao wame- combine Torati, Zaburi na Injili.
Mungu wao Yehova mwenye ushirika na Yesu Kristo.
Huo ndio muhtasari wa dini hizo tatu zenye Asili ya Abrahamu.
Ukristo na uislam hauwezi kukataa kuwa haujafanya copy na ku-paste baadhi ya visa vya Mayahudi.
Labda ushabiki uendekezwe Ila huo ndio ukweli
Hakuna shida huko kwani wachezaji hawatavaa makanzu tu bali pia watavaa majoho kama ya wale maaskofu wa kanisani.
Umesoma shule gani weye. Yaana mtu ameacknowledge sources wewe unasema ameiba. Kumbuka pia Ukristo sio separate from
Kuna mambo ya Msingi bado unapaswa kujifunza kuhusu Miungu.
Yehova kamwe hawezi kuwa Allah.
Embu nitajie sheria za Allah alizompa Musa pale mlimani. Zile amri 10 za Mungu Kwa mujibu wa Quran, kama unazijua au kama zipo.
Mbona sijaona wakivaa hayo makanzu ya waarabu na mtume wenu.