Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Hakika, watu watakuwa radhi kusikiliza hoja za Dr Zakir Naik kuliko kuangalia mpira. Na huko ndiko kufaulu kwa dini. Huyo ni Bingwa mwenye hoja matata. Usithubutu kuangalia Television yake nyumbani kwako. Nyote mtasilimu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Labda wanawake
 
Mpelekeeni kwanza wale wenzenu katika Imani waliokamatwa na NGADA hapa bongo ili akawahubirie wabadilike
 
kuna sehemu tumeongelea ibada?kuna tofauti ya ibada na kuabudu
Dah!!!...kwa hiyo ibada na abudu havihusiani kwa kiswahili chako Cha o level!?..Kama ambavyo kula na cha'kula' visivyohusiana, sivyo!?...shuleni sijui Kuna nini siku hizi!!
 
Dah!!!...kwa hiyo ibada na abudu havihusiani kwa kiswahili chako Cha o level!?..Kama ambavyo kula na cha'kula' visivyohusiana, sivyo!?...shuleni sijui Kuna nini siku hizi!!
Kwenye kula na chakula kuna uhusiano kiasi.Si lazima anayekula ale "chakula"!Anaweza kula hata sumu.
 
Hakika, watu watakuwa radhi kusikiliza hoja za Dr Zakir Naik kuliko kuangalia mpira. Na huko ndiko kufaulu kwa dini. Huyo ni Bingwa mwenye hoja matata. Usithubutu kuangalia Television yake nyumbani kwako. Nyote mtasilimu.

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Waislamu ni wakarimu na ni watu wanaothamini utu wa mwanadamu, na wanaongozwa na Mwenyezi Mungu na Mtume wake katika kufanya mambo yao kwa uadilifu, hisani na huruma.

Ni kwa kuishi kwa wema, na kujenga uhusiano mwema na wasio Waislamu ndipo Waislamu wanapoweza kufanya Daโ€™awah na kuwalingania wasio Waislamu katika njia ya Haki ya Uislamu.
 
Kuna uhusiano gani wa hayo mahubiri na ile kauli mbiu ya "football is a fair play game"?
Baadhi ya wachezaji wa vyama vya soka ni Waislamu, na vilabu vyao vimezoea kanuni zao za uislamu. Football is a fair play game
 
Hakika, watu watakuwa radhi kusikiliza hoja za Dr Zakir Naik kuliko kuangalia mpira. Na huko ndiko kufaulu kwa dini. Huyo ni Bingwa mwenye hoja matata. Usithubutu kuangalia Television yake nyumbani kwako. Nyote mtasilimu.
Nimemfuatilia sana ni mweupe na ni propagandist ukitaka kujua Ni mweupe angalia mdahalo yake na Gwiji David Wood pamoja na Nabeel Qureshi! Utajua kuwa Huyo anapata support kwa maamuma TU! Hope muda KABLA hujanipopoa mana uvumilivu nacho ni kipaji! Ingia YouTube type 17Christian Apologetic au David Wood home Naik alivyokua muongo wa kupitiliza
 
Zakir Naik ni mwinjilisti wa Kiislamu anayeendesha Televisheni ya Peace na anashutumiwa kwa sehemu fulani kuwashawishi washambuliaji wa Dhaka wa Julai 2016 nchini Bangladesh kutekeleza shambulio lao la kigaidi. Jambo ambalo alikanusha vikali kwasababu yeye anapigwa vita kwa kazi yake anayo fanya ya kusilimisha watu. Tuhuma hizo ni za uzushi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ