Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Hakika, watu watakuwa radhi kusikiliza hoja za Dr Zakir Naik kuliko kuangalia mpira. Na huko ndiko kufaulu kwa dini. Huyo ni Bingwa mwenye hoja matata. Usithubutu kuangalia Television yake nyumbani kwako. Nyote mtasilimu.
😂😂😂😂😂Labda wanawake
 
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik
tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

View attachment 2422130

Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.

"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.

View attachment 2422132
.................

Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

View attachment 2422135

Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.

Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.

View attachment 2422136

Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.

Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.

Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.

View attachment 2422138

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.

Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Mpelekeeni kwanza wale wenzenu katika Imani waliokamatwa na NGADA hapa bongo ili akawahubirie wabadilike
 
kuna sehemu tumeongelea ibada?kuna tofauti ya ibada na kuabudu
Dah!!!...kwa hiyo ibada na abudu havihusiani kwa kiswahili chako Cha o level!?..Kama ambavyo kula na cha'kula' visivyohusiana, sivyo!?...shuleni sijui Kuna nini siku hizi!!
 
Hakika, watu watakuwa radhi kusikiliza hoja za Dr Zakir Naik kuliko kuangalia mpira. Na huko ndiko kufaulu kwa dini. Huyo ni Bingwa mwenye hoja matata. Usithubutu kuangalia Television yake nyumbani kwako. Nyote mtasilimu.


😀😀😀😀
 
😂😂😂😂waslamu bhana ani unapambana kumsilmisha mkristo wakati kuna watu bado wawajui uwepo wa dini hiyo wala dini yoyote kwann msiwapelekee dini hao kama kweli mnahubiri Mungu mmekaaga kimchongo sana mnawaza kupata attention na mungu hana habari hiyo..
Waislamu ni wakarimu na ni watu wanaothamini utu wa mwanadamu, na wanaongozwa na Mwenyezi Mungu na Mtume wake katika kufanya mambo yao kwa uadilifu, hisani na huruma.

Ni kwa kuishi kwa wema, na kujenga uhusiano mwema na wasio Waislamu ndipo Waislamu wanapoweza kufanya Da’awah na kuwalingania wasio Waislamu katika njia ya Haki ya Uislamu.
 
Kuna uhusiano gani wa hayo mahubiri na ile kauli mbiu ya "football is a fair play game"?
Baadhi ya wachezaji wa vyama vya soka ni Waislamu, na vilabu vyao vimezoea kanuni zao za uislamu. Football is a fair play game
 
Hakika, watu watakuwa radhi kusikiliza hoja za Dr Zakir Naik kuliko kuangalia mpira. Na huko ndiko kufaulu kwa dini. Huyo ni Bingwa mwenye hoja matata. Usithubutu kuangalia Television yake nyumbani kwako. Nyote mtasilimu.
Nimemfuatilia sana ni mweupe na ni propagandist ukitaka kujua Ni mweupe angalia mdahalo yake na Gwiji David Wood pamoja na Nabeel Qureshi! Utajua kuwa Huyo anapata support kwa maamuma TU! Hope muda KABLA hujanipopoa mana uvumilivu nacho ni kipaji! Ingia YouTube type 17Christian Apologetic au David Wood home Naik alivyokua muongo wa kupitiliza
 
Tatizo ww unadhani kila mzungu ni mkristu wengi ni watu wasio na dini. Wakikutana na gaidi kama naik wanajiunga naye huku wanaendelea kula bia na kitimoto mradi wapate furaha ya WC.

Kwa mujibu wa India, Bangladesh, Sri Lanka, UK na Canda Zair Naik ni gaidi. Tena amekimbia India ameenda kujificha Malaysia ili asikamatwe
Zakir Naik ni mwinjilisti wa Kiislamu anayeendesha Televisheni ya Peace na anashutumiwa kwa sehemu fulani kuwashawishi washambuliaji wa Dhaka wa Julai 2016 nchini Bangladesh kutekeleza shambulio lao la kigaidi. Jambo ambalo alikanusha vikali kwasababu yeye anapigwa vita kwa kazi yake anayo fanya ya kusilimisha watu. Tuhuma hizo ni za uzushi.
 
Back
Top Bottom