Mmeme
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 700
- 298
Wewe ni mwelevu ndiyo maana umetamtabua hivyo, lakini wapumbavu hawatambui hilo, wako gizani.Wakristo wa mchongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mwelevu ndiyo maana umetamtabua hivyo, lakini wapumbavu hawatambui hilo, wako gizani.Wakristo wa mchongo
😂😂😂😂😂Labda wanawakeHakika, watu watakuwa radhi kusikiliza hoja za Dr Zakir Naik kuliko kuangalia mpira. Na huko ndiko kufaulu kwa dini. Huyo ni Bingwa mwenye hoja matata. Usithubutu kuangalia Television yake nyumbani kwako. Nyote mtasilimu.
Hakika!Alitumia muda mwingi kutumikia timu zake za mpira.Hakujua chochote kuhusu dini.Seedorf hajawahi kujazwa na Roho Mtakatifu. Seerdorf alikuwa Mkristo wa mchongo. Angesilimishwa Kaka tungeamini kwamba mmemsilimisha Mkristo
Mpelekeeni kwanza wale wenzenu katika Imani waliokamatwa na NGADA hapa bongo ili akawahubirie wabadilikeQatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik
Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.
View attachment 2422130
Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.
"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.
View attachment 2422132
.................
Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022
View attachment 2422135
Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.
Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.
View attachment 2422136
Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.
Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.
Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.
View attachment 2422138
Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.
Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Una uelewa gani juu ya concept ya 'ibada'!?..huenda tupo kwenye kurasa tofauti
Kwa hiyo huyo msilimishaji amewalenga wakristu tu?Vipi wakitokea wa dini zingine?Au hajaelekezwa hivyo?🤔🤔🤔
Basi,wallahi ni wenye kuwa na upotofu mwingi.Inshaallah wajaaliwe kufunuliwa wingi wa dini aina kwa aina zinazoipamba dunia hii.Waislamu wengi hawafahamu kama kuna dini nyingine pinzani zaidi ya ukristo
Dah!!!...kwa hiyo ibada na abudu havihusiani kwa kiswahili chako Cha o level!?..Kama ambavyo kula na cha'kula' visivyohusiana, sivyo!?...shuleni sijui Kuna nini siku hizi!!kuna sehemu tumeongelea ibada?kuna tofauti ya ibada na kuabudu
Kwenye kula na chakula kuna uhusiano kiasi.Si lazima anayekula ale "chakula"!Anaweza kula hata sumu.Dah!!!...kwa hiyo ibada na abudu havihusiani kwa kiswahili chako Cha o level!?..Kama ambavyo kula na cha'kula' visivyohusiana, sivyo!?...shuleni sijui Kuna nini siku hizi!!
Dah, pole mkuu...Kila.na chakula ni sawa kweli? Jamaa kweli juha...mtu anaweza kula hata Nyapu, sio lazima chakulaKwenye kula na chakula kuna uhusiano kiasi.Si lazima anayekula ale "chakula"!Anaweza kula hata sumu.
Ila kwenye ibada na kuabudu hakuna uhusiano!?Kwenye kula na chakula kuna uhusiano kiasi.Si lazima anayekula ale "chakula"!Anaweza kula hata sumu.
Umezingatia neno "kiasi" pale nilivyoliandika?Viisimu kama ulivyomalizia huja na kuishi au kuenenda zao.Dah, pole mkuu...Kila.na chakula ni sawa kweli? Jamaa kweli juha...mtu anaweza kula hata Nyapu, sio lazima chakula
Tafuta mzizi wa neno halafu oanisha au pambanua.Ila kwenye ibada na kuabudu hakuna uhusiano!?
Ni ushindi kwa dini ya MUNGUKwahiyo?
Hakika, watu watakuwa radhi kusikiliza hoja za Dr Zakir Naik kuliko kuangalia mpira. Na huko ndiko kufaulu kwa dini. Huyo ni Bingwa mwenye hoja matata. Usithubutu kuangalia Television yake nyumbani kwako. Nyote mtasilimu.
Waislamu ni wakarimu na ni watu wanaothamini utu wa mwanadamu, na wanaongozwa na Mwenyezi Mungu na Mtume wake katika kufanya mambo yao kwa uadilifu, hisani na huruma.😂😂😂😂waslamu bhana ani unapambana kumsilmisha mkristo wakati kuna watu bado wawajui uwepo wa dini hiyo wala dini yoyote kwann msiwapelekee dini hao kama kweli mnahubiri Mungu mmekaaga kimchongo sana mnawaza kupata attention na mungu hana habari hiyo..
Baadhi ya wachezaji wa vyama vya soka ni Waislamu, na vilabu vyao vimezoea kanuni zao za uislamu. Football is a fair play gameKuna uhusiano gani wa hayo mahubiri na ile kauli mbiu ya "football is a fair play game"?
Nimemfuatilia sana ni mweupe na ni propagandist ukitaka kujua Ni mweupe angalia mdahalo yake na Gwiji David Wood pamoja na Nabeel Qureshi! Utajua kuwa Huyo anapata support kwa maamuma TU! Hope muda KABLA hujanipopoa mana uvumilivu nacho ni kipaji! Ingia YouTube type 17Christian Apologetic au David Wood home Naik alivyokua muongo wa kupitilizaHakika, watu watakuwa radhi kusikiliza hoja za Dr Zakir Naik kuliko kuangalia mpira. Na huko ndiko kufaulu kwa dini. Huyo ni Bingwa mwenye hoja matata. Usithubutu kuangalia Television yake nyumbani kwako. Nyote mtasilimu.
Zakir Naik ni mwinjilisti wa Kiislamu anayeendesha Televisheni ya Peace na anashutumiwa kwa sehemu fulani kuwashawishi washambuliaji wa Dhaka wa Julai 2016 nchini Bangladesh kutekeleza shambulio lao la kigaidi. Jambo ambalo alikanusha vikali kwasababu yeye anapigwa vita kwa kazi yake anayo fanya ya kusilimisha watu. Tuhuma hizo ni za uzushi.Tatizo ww unadhani kila mzungu ni mkristu wengi ni watu wasio na dini. Wakikutana na gaidi kama naik wanajiunga naye huku wanaendelea kula bia na kitimoto mradi wapate furaha ya WC.
Kwa mujibu wa India, Bangladesh, Sri Lanka, UK na Canda Zair Naik ni gaidi. Tena amekimbia India ameenda kujificha Malaysia ili asikamatwe