Binti aliyebebeshwa dawa za kulevya na mchumba wake wakati wa safari ya kwenda kutambulishwa ukweni

Kwani Huyo Dada alihukumiwa au alikua rumande tu?
Alitolewa cello za polisi akapelekwa jela kabisa. Anadai kwa upande wa wanawake wafungwa waliohukumiwa na ambao bado ni watuhumiwa wanakaa wote wanachanganyikana, kwa wanaume ndo wanatenganishwa.
 
Hoa wa huko kwenu. Wale wa National Geograohic huwa wanakimbia wakipata upenyo.
Hata mimi nilishangaa ni kitu gani kilimfanya jamaa asiingie mitini! Yani nikae tu wakati najua nimekubebesha mzigo...
 
mwanzoni mwa miaka ya 2000 dada mmoja wa kitz kutoka ktk familia ya kishua aliingia kwenye mtego wa penzi zito na kijana wa kipopo(nigerian).

dada yule alikuwa msimamizi mkuu wa mali alizoachiwa na marehemu baba yake ikiwemo magari na nyumba kadhaa jiji dar.

mpopo akatumia maarifa anayojua yeye, akaiba hati ya nyumba moja wapo ya ghorofa moja. nyumba akaipiga bei na kusepa zake US na mtonyo wote.

dada akapoteza nyumba ya ghorofa moja kimasihala tu kwa kushobokea penzi la kijana wa kinaijeria.

ila dada zetu hawakomi....huwaambii kitu kwa vijana wa kinaijeria na wakongo man.
 
Wanaijeria, wakameroon yani ukiona ana date na mwanamke mtanzania mara nyingi siyo penzi kuna motivr behind.
Sema na madada wa kitz ma mafia, nawafahamu wacameroon kadhaa walijichanganya wakawaoa watz, wakajenga na kununua mali kwa majina yao, kilichowapata hawawezi kusahau
 
Wataingizwa kwenye matatizo mpaka wakome madhara watayaona mpaka data za kutisha zitakapo endelea kutokea kwa mfano sasa hata namba za ma single mother imeongezeka sana shida yao kubwa wanakuambia WANAANGALIA PESA tu na hawatumii AKILI Ku reason bali hisia kuja kushtuka wamesha ingizwa chaka SAA nyingine nawaonea sana huruma hawa viumbe kama wataendelea kutokutumia akili
 
Wadada wa kibongo ndio wanamalizwa kwa tamaa zao,sasa hivi umri 31 ramani ...hakuna mtu wa west africa ambae hafanyi hiyo biashara labda hawa diplomatic
 
Wanatumia ndumba..hakuingii hivi hivi naked!
 
Ni tamaa hata siyo ndumba. Ni wajanja sana na wanajua sana kuigiza mapenzi.
Lakini mara nyingi wana motive zao.
Ila jamani mbona Vanessa mdee kapendwa kweli na bishoo Rotimi, na yule msukuma Elizabeth Gullam mtz wa big brother aliolewa na Kelvin Mnaija kitambo bado wako wote...so sio wapopo wote bana[emoji849]

Ila naona posh Queen kaangukia pua[emoji848]
 
Nyie bishaneni weeeeeeee,zinguaneni weeeeeeeee ila nilichokiokota humu usimsaidie mtu mzigo wake Airport au mpakani au hata bandarini,utaliaaaaa
 
Sema jamaa naye alikuwa mwaminifu, hakumkana alipoulizwa uhusiano wake na mdada. (Ila inawezekanaje jamaa akubali kumfahamu mdada kwa situation kama ile!?!?! Najiuliza).

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Hata mie nimewaza hivyo, sasa si angeenda mwenyewe tyuuh, au alitaka na manstura awe ndani. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…