Binti amkataa Baba mlezi siku ya Harusi, ampa heshima zaidi Baba mzazi.

Watoto wa kike huwa wana hicho kitu kwenye DNA zao, very bad, hasa kama baba mlezi alijiaminisha watu yeye ndie mzazi halisi wa mtoto.
 
Lakini tumeshawaonya mapema kuhusu single mother
 
Ukiona hivyo ujue shida iko kwa mama na siyo kwa binti.wanaume tuwe makini na akina mama wenye watoto kabla ya kufanya maamuzi ya kuwaoa
 
Kapandikizwa sumu na mama yake huyo sio Bure tena mtoto wa kike ni ngumu sana kumpuuza baba yake
 
Kuna kisa kimoja mtu ukiambiwa unaweza kulia. Jamaa alikuwa anaoa akamtambulisha mama wa bandia kwa sababu tu mama yake ni wa kijijini na amekaa ki-local sana hivyo ''atamwaibisha mbele za watu'' kulinga na maelezo yake.
Ndio wale wanatoboa lakini hawayaboreshi mazingira ya home, mwisho wa siku wanaanza kuona aibu lakini kufikia level ya kufanya hivyo. Siwezi kupatia picha maumivu ya mama mzazi daahh
 
Hivi haya ni mashindano ?

Ukiwa na mtizamo wa kufanya what is right no matter what na sio kufanya kitu ili upate shukrani au urudishiwe nadhani utakuwa na maisha yasiyo na pressure yoyote....

โ€œBlessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed.โ€ Huyo mlezi anahitaji Kudos kwa kufanya what is right kumpa muhitaji mahitaji in her time of need (kazi yake amemaliza) huyo Binti kama atakuwa hana shukrani ni yeye na nafsi yake..., lakini hata asiposema lazima kuna appreciation deep down...

NB ๐Ÿ™By the way the grass is always greener on the other side..., huyu aliyekaa nae anaweza akawa anamuona ni mnoko wakati yule wa mbali ana image fulani ambayo realistically does not exist)
 
Sasa Si alikuwa anamhonga mama mtu?
 
Kuna kisa kimoja mtu ukiambiwa unaweza kulia. Jamaa alikuwa anaoa akamtambulisha mama wa bandia kwa sababu tu mama yake ni wa kijijini na amekaa ki-local sana hivyo ''atamwaibisha mbele za watu'' kulinga na maelezo yake.
Duuh!
 
Nishawahi kusikia kisa kama hiki, na huyo mtoto hata alishaolewa ila baba wa kambo Bado anaomba. Yani watoto walimdharau sana ila hawakumwambia mama yao
 
Huyo alikuwa anamjuwa baba'ke mzazi mud mrafu na ana mawasilianao nae ya karibu.

Uliyekuwa hufahamu ni wewe tu.
Hata mimi nimehisi hivyo kwa sababu

1. Mwanaume hawezi kujishtukiza harusini bila kupewa kadi. Hii ina maanisha alialikwa ndio maana alihudhuria kwa ujasiri wote.

2. Kama mama mzazi aliendelea kuwa kawaida, hiyo ina maana alilitarajia na pengine ana mawasiliano na mzazi mwenzie au la anajua uwepo wa mawasialiano kati ya mwanae na baba yake mzazi. Mwanamke aliyeletelelezewa mtoto kwa miaka 25 hawezi kukenua kenua meno, hicho kitendo kingemkata mood

3. Kukosekana kwa utambulisho wa baba mlezi inaonesha kutokuwepo kwa bond strong kati ya binti na baba yake mlezi maana mtu unaempenda huwezi kumsahau kwa issue kubwa kissi hicho. Hii lia inaashiria kuwepo kwa sintofahamu kubwa kwenye hiyo familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ