Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Si yeye tu..dhambi ya aina hii huweza kuleta laana kwa nchi!
Mungu hadi alipiga kiberiti sodoma na gomora kwasababu ya matendo kama haya.

wanakuja leo ati RC anatafutwa na wabaya wake, as if hajafanya. hivi kweli kama haujafanya, umesingiziwa, utatoa milioni 13 kwa usawa huu ili issue inyamazishwe? kama maadui wanakisanua si wamepata pa kusanulia, wew eumefanya uovu wakaona hapo ndio pa kukukamatia wakashikilia hapohapo.

ukifanya kosa ndio usingizie kwamba mbona wanaofichua kosa ni maadui zangu? tuchukulie kweli anatafutwa, SAMIA angemsimamisha? pia, RC kwa ukubwa wa cheo alio nao, akisingiziwa patatosha kweli? aonyeshe basi evidence kwamba yeye siku hiyo hakuwa pale rock city kama binti anavyosema, alikuwa sehemu nyingine, wenyewe si wamesema cctv footage imekusanywa wataipeleka kama kielelezo. kama hakutenda mbona anatumia nguvu kubwa sana kuinyamazisha, kwa akili ya kawaida tu utasema hajafanya kweli?
 
Ila huyu jamaa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu ni kiboko...

Na kwa maelezo ya binti huyu, ni wazi kuwa huyu Nawanda na mwenzake RC wa Mwanza ndugu Mtanda, kumbe kulawiti na kubaka vibinti vya chuo ni tabia yao komavu...

Ona tu RC Mtanda anavyojaribu kumtetea na kumlinda mwenzake. Huu ni ushahidi na uthibitisho tosha kuwa hawa ni washirika wa uhalifu huu wa kimaadili toka kwao wanaopaswa kulinda maadili mema....

Na nchi ikiwa na viongozi wasagaji (tunaambiwa bi mkubwa ana tabia hii) na wafiraji kama huyu RC Nawanda, Mtanda na yule aliyekuwa DC wa Hai - Kilimanjaro enzi za giza aliyehenyeshwa sana mahakamani hadi kwenda jela Sabaya Ole Lengai , basi tusitegemee kuwa kuna siku viongozi wa namna hii wanaweza kufanya maamuzi yoyote ya maana kuipeleka nchi mbele kwa sababu ya laana na mikosi iliyobebwa na roho ya shetani iliyomo ndani yao...

Ndiyo maana roho ya ushoga na usagaji kwa sasa iko wazi mno. Kumbe mambo haya yanaanzia ikulu na kushuka mpaka kwenye viofisi vya Wakuu wa mikoa, mawaziri, wakuu wa wilaya na sasa inaharibu jamii nzima...

Jamani tukatae na tuombe sana ili roho ya Jezebel iliyokalia kiti cha Ikulu ya nchi yetu ishindwe na kurudi kuzimu...!

Hebu jaribu tu kufikiri kwamba;👇🏻

Kumbe tendo hili alilifanyia palepale nje parking ya viwanja vya Rock City Malls - Mwanza mchana kweupe kwa ku - lock milango ya gari tu...!!???

Alikuwa na tamaa gani mbaya hivi isiyo na staha? Si wangeenda hotelini huko ampeti - peti na kumpa maneno matamu ya kimahaba? Si ajabu huyu binti angemtimizia kwa hiari yake na mambo yasingetoka nje na kumwangamiza kiasi hiki...!

Tuikatae roho ya Jezebel, roho ya ukahaba iliyokalia kiti cha ikulu ya taifa letu. Mama Samia anahitaji kuombewa sana ili akombolewe na kuokoka kuiepusha nchi yetu na majanga na mapigo toka kwa Mungu..!
 
Ila kweli uzuri upo machoni mwa muonaji. Binti wa kawaida kwa upande wangu.
Suala huwa maumbile ya uke,unakuta uke mnato,mtu fundi,ana joto,wakati wengine uke haueleweki,unagonga huku unawaza madeni,ufundi ziro,mmoja niligonga Mara Tano,mtu akinogewa analia kilio Cha msiba badala ya Cha mahaba,nilimwacha,japo mzuri kweli
 
Mungu hadi alipiga kiberiti sodoma na gomora kwasababu ya matendo kama haya.

wanakuja leo ati RC anatafutwa na wabaya wake, as if hajafanya. hivi kweli kama haujafanya, umesingiziwa, utatoa milioni 13 kwa usawa huu ili issue inyamazishwe? kama maadui wanakisanua si wamepata pa kusanulia, wew eumefanya uovu wakaona hapo ndio pa kukukamatia wakashikilia hapohapo.

ukifanya kosa ndio usingizie kwamba mbona wanaofichua kosa ni maadui zangu? tuchukulie kweli anatafutwa, SAMIA angemsimamisha? pia, RC kwa ukubwa wa cheo alio nao, akisingiziwa patatosha kweli? aonyeshe basi evidence kwamba yeye siku hiyo hakuwa pale rock city kama binti anavyosema, alikuwa sehemu nyingine, wenyewe si wamesema cctv footage imekusanywa wataipeleka kama kielelezo. kama hakutenda mbona anatumia nguvu kubwa sana kuinyamazisha, kwa akili ya kawaida tu utasema hajafanya kweli?
Huhitaji dk zaidi ya 3 kufahamu huyu RC ni mlawiti, the eyes speaks loudly, na wapo wengi tu uongozini, ndio maana unaona utetezi hapa wa kumkejeli huyu mtoto na mama yake, au mara kuna wabaya wa RC...ni mlawiti mzoefu!maneno ya binti kuelezea mahusiano yake na RC yanathibitisha ni mlawiti mzoefu licha ya muonekano wake..
 
Ila huyu jamaa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu ni kiboko...

Na kwa maelezo ya binti huyu, ni wazi kuwa huyu Nawanda na mwenzake RC wa Mwanza ndugu Mtanda, kumbe kulawiti na kubaka vibinti vya chuo ni tabia yao komavu...

Ona tu RC Mtanda anavyojaribu kumtetea na kumlinda mwenzake. Na nchi ikiwa na viongozi wasagaji (tunaambiwa bi mkubwa ana tabia hii) na wafiraji, basi tusitegemee kuwa kuna siku viongozi wa namna hii wanaweza kufanya maamuzi yoyote ya maana kwa sababu ya laana na mikosi iliyobebwa na roho ya shetani iliyomo ndani yao...

Ndiyo maana roho ya ushoga na usagaji kwa sasa iko wazi mno. Kumbe mambo haya yanaanzia ikulu na kushuka mpaka kwenye viofisi vya Wakuu wa mikoa, mawaziri, wakuu wa wilaya na sasa inaharibu jamii nzima...

Jamani tukatae na tuombe sana ili roho ya Jezebel ishindwe na kurudi kuzimu...!

Hebu jaribu tu kufikiri kwamba;👇🏻

Kumbe tendo hili alilifanyia palepale nje parking ya viwanja vya Rock City Malls - Mwanza mchana kweupe kwa ku - lock milango ya gari tu...!!???

Alikuwa na tamaa gani mbaya hivi isiyo na staha? Si wangeenda hotelini huko ampeti - peti na kumpa maneno matamu ya kimahaba? Si ajabu huyu binti angemtimizia kwa hiari yake na mambo yasingetoka nje na kumwangamiza kiasi hiki...!

Tuikatae roho ya Jezebel, roho ya ukahaba iliyokalia kiti cha ikulu ya taifa letu. Mama Samia anahitaji kuombewa sana ili akombolewe na kuokoka kuiepusha nchi yetu na majanga na mapigo toka kwa Mungu..!
cha muhimu wanaume tumwogope Mungu, tuache uzinzi na tujiheshimu. imagine, binti wa 21 years anamwita huyo phd hold "namwanda", anamwona wapo sawa tu kiumri, wakati wewe unahangaika ukienda pale unamwitha "MHESHIMIWA MKUU WA MKOA", kabinti kama haka kanamwona namwanda tu, kwasababu wameshaonana sehemu za siri. imagine binti mdogo kama huyu alikuwa anashida korodani za mtu kama babake, anaona hadi makalio yake, si wapo uchi na kamesema kalikuwa kapenzi kake kitambo tu. kwanini tunapenda kupoteza heshima yetu kirahisi namna hii? kweli binti kama huyu aone korodani zangu, anione nilivyozaliwa? kweli?
 
Hujabakisha kitu! ndivyo sote tunapaswa kuona tukio hili kwa jicho la tatu! na hasa WAMAMA! na wasipochukua hatua, aishivyo MUNGU watakuja kujuta wamama wa Tanzania!
 
Huhitaji dk zaidi ya 3 kufahamu huyu RC ni mlawiti, the eyes speaks loudly, na wapo wengi tu uongozini, ndio maana unaona utetezi hapa wa kumkejeli huyu mtoto na mama yake, au mara kuna wabaya wa RC...ni mlawiti mzoefu!maneno ya binti kuelezea mahusiano yake na RC yanathibitisha ni mlawiti mzoefu licha ya muonekano wake..
inavyoonekana, walikuwa wapenzi, alipomwomba sodoma, binti kagoma na wakasitisha upenzi. siku anamlawiti aliitwa ili wayajenge waendelee bila kulawitiana. kwa mwanamke mwenye kujali mwili wake, naamini kitendo cha kulawitiwa kitamuuma sana, hasa wagalatia.

pia, huyu namwanda alikuwa lecturer Mzumbe university, unafikiri kama ndio tabia zake, phd mzima analawiti, atakuwa amelawiti wanafunzi wangapi ili awape marks? wanawake wangapi tunao maofisini huko waliopitia mikonini mwake ambao hawana marinda ili wasifelishwe? na alivyo pedophine, bado alipokuwa geita akafuata wanafunzi ambao anajua ni easy target, st. augustine. anajua wanafunzi ni easy prey, rahisi kurubuniwa, akautana na mhaya asiyependa kulawitiwa, kimemramba.
 
Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.
Apewe million 35 na yeye basi au hawamuoni anavyoteseka, haki za binadamu wapo au hawapo?
 
cha muhimu wanaume tumwogope Mungu, tuache uzinzi na tujiheshimu. imagine, binti wa 21 years anamwita huyo phd hold "namwanda", anamwona wapo sawa tu kiumri, wakati wewe unahangaika ukienda pale unamwitha "MHESHIMIWA MKUU WA MKOA", kabinti kama haka kanamwona namwanda tu, kwasababu wameshaonana sehemu za siri. imagine binti mdogo kama huyu alikuwa anashida korodani za mtu kama babake, anaona hadi makalio yake, si wapo uchi na kamesema kalikuwa kapenzi kake kitambo tu. kwanini tunapenda kupoteza heshima yetu kirahisi namna hii? kweli binti kama huyu aone korodani zangu, anione nilivyozaliwa? kweli?
Hoja yako ni ya msingi, lakini mkuu, partiners wako wote uliowahi kupita nao mnalingana nao umri?

Maana kutofautiana umri kwenye malavidavi umemind sana.
 
siwezi sema nyege ila RC hakuwa na utulivu kwenye hiyo sekta as if alipata ulimbukeni nazo hzo mambo!!
atakuwa alikuwa na harakaharaka afanye uzinzi chap ili arudi mkoani kwake geita. alifanyia mwanza na yeye alikuwa wa geita. bila kujua shetani kamtegea mtego wake. sasa kimemramba.
 
kuna kesi mbili hapo.

1. Kumuingilia kinyume na maumbile.

2. Kumlazimisha au kutumia nguvu kufanya tendo hilo.

RC anatakiwa kuja na USHAHIDI kwamba hakufanya kitendo hicho.
Mlalamikaji ndiye apasae kuthibitisha hayo pasi na shaka
 
Hoja yako ni ya msingi, lakini mkuu, partiners wako wote uliowahi kupita nao mnalingana nao umri?

Maana kutofautiana umri kwenye malavidavi umemind sana.
umri wangu umeenda kidogo. ila miaka hiyo ya foolish, wapo niliotembea nao nimewazidi hadi 20, ila sijawahi kuwalawiti. namshukuru Mungu niliokoka, na uzinzi kwangu ni historia.
 
Sasa na yeye apewe million 35 au mpaka akaokotwe Katavi?
 
Back
Top Bottom