Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

wanaume tuweni makini ndugu zangu, imagine, kabinti kama haka, kanamwita RC "NAMWANDA", pamojana phd yake, na cheo chake, na walinzi wake, kila kitu, binti anamwona wa kawaida tu kwasababu walishaonana sehemu za siri. tujiheshimu,
Ukishatembea na mwanamke saizi ya watoto wako hapo tegemea heshima hakuna tena. Wapo wachache sana wanaobaki na heshima zao
 
Ila Watanzania ni watu wa ajabu sana! Hivi NEWANDA ni mtu wa kupata wateteaji kweli?? Hata kama huyo mtoto ni Malaya lkn alichokifanya huyo muhuni ni ujinga wa Hali ya juu sana na ni kinyume na maadili ya nchi yetu, hata Sheria zetu zimekataza.

Kwanza inavyoonekana jamaa ana matatizo ya akili, pia hiyo ndio tabia yake kuharibu watoto wa wenzie kwa kuwashawishia kibunda.
Watu kama NEWANDA sio wa kuwapa mtoto wakulelee.
 
Si hivyo tu, hapaswi kabisa kuishi na jamii..
 
Bado natafakari,

Inawezekana ikawa kweli na inawezekana pia ikawa uongo, mahakama itende haki Kwa wote, either kwa RC au kwa Binti Kila mtu apewe kilicho haki yake, RC apewe haki yake na Binti apewe haki yake.
 
Ninamhurumia binti wa watu kwa kuharibu image yake angali mdogo.

Ninapomuonea huruma ni hajui mfumo una watu gani .

Hajiulizi yule aliyewekwa chupa na Gekul kesi ilitelekezwa vipi??

Hajiulizi wezi wa pesa za umma kwanini wanadunda mtaani huko na mnawaita waheshimiwa??

Huyo Nawanda hatofanywa chochote na hata akipewa adhabu itakuwa ni kupoza umma kwa kelele.

Kwa nchi inayojielewa licha ya ushahidi mkali uliokuwepo wa video na matukio ya picha utabaki unashangaa Sabaya na Makonda hawapo gerezani ila aliyechoma picha ya Samia anapewa kifungo gerezani.
 
M
Ila Watanzania ni watu wa ajabu sana! Hivi NEWANDA ni mtu wa kupata wateteaji kweli?? Hata kama huyo mtoto ni Malaya lkn alichokifanya huyo muhuni ni ujinga wa Hali ya juu sana na ni kinyume na maadili ya nchi yetu, hata Sheria zetu zimekataza.

Kwanza inavyoonekana jamaa ana matatizo ya akili, pia hiyo ndio tabia yake kuharibu watoto wa wenzie kwa kuwashawishia kibunda.
Watu kama NEWANDA sio wa kuwapa mtoto wakulelee.
Kwa nini isiwe huyo malaya anaharibu wababa wa wenzie
 
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.

Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Huyu ni malaya mkubwa
Malaya wahed
 
Akihojiwa kupitia UTV, taarifa ya habari saa mbili, 05 July 2024, amemtaka Rais kutomlinda mteule wake wa zamani.

Amedai anashangaa kwanini hadi sasa Yahaya Nawanda hajafikishwa mahakamani.

Source: UTV Habari saa mbili usiku.
 
Tuna mifumo ya Kingese sana ya utoaji haki, kwamba ukisha kuwa levo za juu hushitakiwi? Na kuna mazezeta unakuta wanaaminishwa kwenye mikutano ya hadhara kwamba katiba sio muhimu make hawatakula katiba.
 
Akihojiwa kupitia UTV, taarifa ya habari saa mbili, 05 July 2024, amemtaka Rais kutomlinda mteule wake wa zamani.

Amedai anashangaa kwanini hadi sasa Yahaya Nawanda hajafikishwa mahakamani.

Source: UTV Habari saa mbili usiku.
Maskini binti wa watu marinda hana sasa anatafta huruma ….. hii nchi ngumu sana yani wale unaothani watakusaidia kumbe ndo wanakumaliza
 
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.

Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Tuna viongozi wa ovyo sana unashindwa kwenda liddos Naiobi unabaka vitoto vidogo ama kweli pesa sio akili
 
Back
Top Bottom