Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Kwani mtu anafungwa kwa kusema tu anauza tigo ama anafungwa baada ya kuthibitika kuwa ameliwa tigo?
 
Kwani mtu anafungwa kwa kusema tu anauza tigo ama anafungwa baada ya kuthibitika kuwa ameliwa tigo?
Kwa teknolojia ya sasa ilipofikia unadhani vipimo vya kidaktari haviwezi kuthibitisha kama. huyo dada ni mliwa tigo mzoefu au la?
 
Hakuna uchunguzi wowote wa kimaabara unaoweza kuthibitisha huu utumbo na hata kama kweli amezoea kuliwa tigo huo sio utetezi kwa Dkt Nawanda kwamba hakulawiti bali alipewa kwa hiyari tigo, kwa sheria za Tanzania watafungwa wote wawili.
Kwa teknolojia ya sasa ilipofikia unadhani vipimo vya kidaktari haviwezi kuthibitisha kama. huyo dada ni mliwa tigo mzoefu au la?
 
Tunaomba connection za kama ana wa kike na sisi wanajamii tufanye yetu . Si iliandikwa malipo ni hapa hapa au
 
nilijua platinum members wote wana akili kumbe hata majuha nao wapo
Unajaza comments nyingi ambazo hazina maana, changia mara mbili au tatu Kisha achia wengine nao wachangie, ni ustaarabu tu, sasa kila comment unataka kuchangia halafu unachochangia wewe binafsi huna uhakika nacho huo ni upuuzi hata kama humu hatufahamiani.
 
Kwa maaana unaumia unajua upuuzi wako najua

Bwege wewe
Wewe kwa vile unaingiliwa kinyume cha maumbile basi unafikiri kila mtu ni shoga kama wewe. Na ndugu zake Thadei Ole Mushi wamekuroga uwe unaingiliwa kinyume na maumbile hadi siku unaingia kaburini. Utaliwa sana hizo hela ulizolipwa kumuua Thadei zitaishia kununulia pampas tu hutakaa uzifaidi.
 
Ulawiti ni mbaya. Acheni kutetea mambo kwa kyahusisha na siasa. Asingelawiti yasingemkuta.
 
Śiwezi bisha km ni kweli au la but sometimes wananunuliwa hawa ila kuharibu cv za watu,,kingine possible demu kapigwa chini na mshua sasa anatunga hii kumkokoa. Kuna vitu vingi vimejificha sn hapa ukizingatia huu mchezo umeshika kasi sana kwa sasa
Acheni kutetea maovu, mwambieni RC aache ufiraji. Mengine ni sababu tu.
 
Kwa hiyo huyu binti amefukuliwa mtaro? Wametoa tope. Halafu amevaa jezi ya timu gani?
 
Yes nimesikiliza kwa makini hoja za Bint huyu na ni kweli hiyo story kama ni kweli inasikitisha sana.
Hapa ndiyo umuhimu wa kuwekeza kwenye upelelezi unapoonekana wazi.
Je,Kuwekeza kwenye utaalamu wa kiupelelezi nchi hii imefikia kwa kiwango gani? Hivi kesi rahisi kama hii mpaka leo upelelezi haujakamilika kwa nini? Haya ngoja sisi watu wa kawaida tuanze kuwasaidia wapelelezi nini cha kufanya.
Kwanza hakuna ubishi kwamba binti huyu aliwahi kulawitiwa hivyo PF3 itaacha maswali mengi sana kwamba ni nani kati ya wawili waliofungua njia.wataalamu tunaita old perforation kutatua hilo upelelezi wa kisayansi ni muhimu sana yaani DNA nk.
Pili je,baada ya kufanyiwa kitendo hicho siku zilizopita hazikumfanya anogewe na kuendeleza biashara hiyo? Je,katika orodha ya wanaojiuza yumo? Itakuwa ajabu sana kama upelelezi hauwezi kubainisha Profile ya huyu bint kama ni miongoni mwa wale wanaouza tigo?
Je,walikutana vipi? na Mh. walikutana kwa kuunganishiwa au alimtafuta tu kama ushahidi uliopo unavyoeleza?
Je,kutokana na kuitaja barua iliyoandikwa ya kufuta kesi kutoa mashaka mengi hasa katika kipengere cha kutumika kisiasa je,kwanini kisiasa? Je,kuna maadui wa kisiasa? Je,katika kazi yake alipata maadui kwasababu kama maadui wanaotokana na kazi ya URC lazima itakuwa Ni MAPAPA kwelikweli hawashindwi kitu na wanaconection kubwa kwenye system bila ya msaada wa upelelezi uliotukuka wataishia kuhoji walalahoi na kuacha mapapa yaendelee kuhujumu nchi.
Tunaweza kuweka nguvu kwenye kesi ya ulawiti kumbe kuna jambo kubwa linaloathiri afya ya nchi yetu.
Hapa naona kuna hoja iliyojificha ya kumuunganisha boss mwingine katika kashfa kama upelelezi utakuwa duni utawaathiri watu wasio na hatia au utawaacha washiriki wa kosa.
Kwa vyovyote vile upelelezi ukilegea utaathiri maisha ya pande zote mbili.
Ni mengi ya kufanya lakini ngoja nirudi kwenye baadhi ya fact za kesi ya binti siku ya tukio alikwenda kwa mpenzi wake akaingia kwenye gari dogo aina ya crown mtuhumiwa akalock milango!! Labda kama hajui mambo ya magari laki ukiwa ndani ya gari hata kama amelock milango haikuzuii kutoka.Pili Binti alipoona jamaa amebadili sura akakimbilia seat ya nyuma! Hii purukushani inanipa shaka sana.Tatu akamfanyia kitendo hicho kukiwa hakuna amani ndani ya gari!! Kama ndivyo jamaa ni bonge ya lijali kwenye kagari kadogo alimuinamisha?alimkalia au ilikuwaje? Naamini kama alikuwa na dhamira ya kukataa basi isingekuwa rahisi kihivyo japo inawezekana kabisa lakini inatakiwa ufafanuzi usio acha shaka yoyote.Hawa wapenzi ambao mahusiano yao yamedumu zaidi ya miezi mitano ile ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kukutana kimwili! Pamoja na kwamba alikuwa anatumiwa pesa mala kwa mala na bado Mh.akaona wakutane kwenye gari? Hivi mwanaume unapomtongoza binti na nia yako ni kumlawiti na tayari ameonesha kwamba hataki kulawitiwa ni kweli utang'ang'ania kulazimisha maneno hayo au kuna mbinu mbadala? Hapo labda wazoefu wanaweza kuwa na majibu sahihi.
Yote haya pamoja na mengine mengi yanatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa kina ili kama kweli Mtuhumiwa Amsterdam kosa na ushahidi ukathibitisha bila kuacha shaka yoyote ahukumiwe kwa mujibu wa Sheria ili iwe fundisho kwake na kwa wale wote wenye tabia kama hizo.
Lakini pia kwa hali ilivyo makosa ya namna hii yamekuwa yakitumika kuwamaliza watu wanaofanyakazi kwa haki ili kulinda maslahi ya waovu hii isipo angaliwa kwa makini tutwapoteza wazalendo wachache wenye nia ya kutenda haki katika nchi.
Katika clip nimeona kuna maneno ya kujitetea ambayo yamebeba shinikizo linalotoka moyoni mwao wanasahau kwamba hata huyu mtuhumiwa ni binadamu na anazo haki zake na ikumbukwe kwamba ukomo wa haki zenu unaishia pale mnapo anza kuingilia haki za mtu mwingine.
 
hajafanyiwa huko nyuma,ilikuwa mara ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…