Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.

Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

kwa uzoefu wangu hamna kesi hapo huyo bint kashakubali mwenyewe kuwa ni mpenzi wake na kashafika miaka 18 pili yeye ndio alimfuata RC hivyo hamna kesi hapo matokeo yanajulikana ataachiwa RC ila atakuwa kashachafuliwa tatu huyu bint hana aibu inaonekana anatabia ya kujiuza ndio maana anaongea akiwa macho makavu.
 
mimi nilikuwa nashangaa, mkuu wa mkoa wa mwanza naye anaonekana kiburi na haeleweki, kumbe alikuwa anataka kuificha? huyu naye aondolewe akalime tu. huyu mkuu wa mkoa wa mwanza angekuwa amelawitiwa binti yake angekubali?
kwa sisi wazoefu wa sheria hamna kesi hapo na kama unabisha utaniambia,huyu binti ni muongo pili ni vigumu kulithibitisha tukio hili hata kisayansi tatu kashafikisha miaka 18 ndo hamna kesi kabisaa,unaweza kuta huyu bint alim blackmail huyu jamaa labda alimuahidi atamnunulia gari na hakufanya hivyo ndio maana kaamua kumkomoa tuwe makini na wanawake tunaojihusisha nao tuchunguze wanatoka familia zipe ? we mtu mamake labda alishawahi kujiuza unatarajia nini sasa? kwanini wasishirikiane na mwanawe kukupa kesi? changudoa ni changudoa tu hawanaga mshipa wa aibu
 
kwa uzoefu wangu hamna kesi hapo huyo bint kashakubali mwenyewe kuwa ni mpenzi wake na kashafika miaka 18 pili yeye ndio alimfuata RC hivyo hamna kesi hapo matokeo yanajulikana ataachiwa RC ila atakuwa kashachafuliwa tatu huyu bint hana aibu inaonekana anatabia ya kujiuza ndio maana anaongea akiwa macho makavu.
Ulawiti ni kosa au siyo kosa?
 
Mkuu wa mkoa wa Mwanza naye kayakanyaga
Mkuu wa mkoa wa mwanza hua ana mfumo dume. Anadharau wanawake na anaongea wanawake. Anapenda sana michezo ya kudivert haki za watu. Nayasema haya kwa uzoefu, akiwa DC Arusha mjini nilishuhudia akimharibia mama mmoja tena mjane asokuwa na mume shauri lake Ili akose haki yake. Hakufkiria watoto wa yule mama wataishije. Akaandika barua kwa RAS za kumkandamiza na alimwambia yule mama kwamba atahakikisha akienda mbele anakwama, alimwambia haya niliskia kwa masikio yangu. Na aliandika barua kwa RAS huyu somebody Musa na akatengeneza mazingira ya kumuumiza yule mama. Mtandao kwanini yupo ofisini mpaka Sasa?? Hata kama ana MAHUSIANO ya karibu na viongozi, Said Mtanda hafai
 
Mtego wa maokoto na teuzi!
Hicho kiruka njia kitakuwa ni mwana uvccm. Kama honeypots wenzake wapo kwa ajili ya kugeuzwa geuzwa kukamilisha verifications na teuzi/tenguzi.
Hakuna kitu km hicho, yeye RC kajitega mwenyewe ni mlawiti mzoefu..msipindishe mambo!
 
Toto unalipeleka shule linaacha kusoma linafanya mapenzi nawatu wazima🤣acha yafirwre tuu😕😕😕
Alafu mtu mshipa wa shingo unamtoa ety kalawitiwa..

Hivi tumuite mtoto kwani yupo below 18...

Chuo kuna mambo mengi wazazi hawajui tuu ila wangekua wanafatilia wangeona

Mtoto wa kike boom peke yake halitoshi anahitaji more more money
 
kwa sisi wazoefu wa sheria hamna kesi hapo na kama unabisha utaniambia,huyu binti ni muongo pili ni vigumu kulithibitisha tukio hili hata kisayansi tatu kashafikisha miaka 18 ndo hamna kesi kabisaa,unaweza kuta huyu bint alim blackmail huyu jamaa labda alimuahidi atamnunulia gari na hakufanya hivyo ndio maana kaamua kumkomoa tuwe makini na wanawake tunaojihusisha nao tuchunguze wanatoka familia zipe ? we mtu mamake labda alishawahi kujiuza unatarajia nini sasa? kwanini wasishirikiane na mwanawe kukupa kesi? changudoa ni changudoa tu hawanaga mshipa wa aibu
Kimaadili ni sahihi RC kufanya zinaa na changudoa??? hivi nyinyi uongozi mnauchukuliaje?? nchi ina watu wshenzi sijawahi kuona!
 
Alafu mtu mshipa wa shingo unamtoa ety kalawitiwa..

Hivi tumuite mtoto kwani yupo below 18...

Chuo kuna mambo mengi wazazi hawajui tuu ila wangekua wanafatilia wangeona

Mtoto wa kike boom peke yake halitoshi anahitaji more more money
wanao litetea hilo Toto nawaona washenzi.jamaa itakua aliona nilimalaya tuu linamlia hela zake akaamua kulifirer

mtoto mwema hafanyi mapenzi shuleni anawatunzia heshima wazazi wake.

imagine wewe ndio baba wahuyo mtoto na unasikia amefirwer namzee mzima😕😕😕😕sinitalikata hilo Toto kichwachake kama kuku maamaee nimekulipia ada ukafirwer shule?
 
Ahahahahah ndo mana nasema walishindwana hao...... Kwenye suala la maokto....

Huo mchezo ukute wanafanyaga sana tuuu...
Kingine watanzania wana ile hali ya kumchukua mtu tuu natural kisa cheo chake .
Unazani angekua ni mwananfunzi mwenzake haya mambo yangefika huku
 
Unajaza comments nyingi ambazo hazina maana, changia mara mbili au tatu Kisha achia wengine nao wachangie, ni ustaarabu tu, sasa kila comment unataka kuchangia halafu unachochangia wewe binafsi huna uhakika nacho huo ni upuuzi hata kama humu hatufahamiani.
vipi nimemgusa mumeo nini ndiyo maana labda umehamaki hivi?
 
mnao litetea hilo toto hamna akili jamáa asifungwe Wala nini.

kwani alipelekwa shule akafanye mapenzi?
huyomtoto inabidi afungwe jela inakuaje anaacha kusoma anakimbilia mapenzi?

ame wadhalilisha wazazi wake nasijui kama watamsamehe
 
Back
Top Bottom