Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.
Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.
Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.
kwa uzoefu wangu hamna kesi hapo huyo bint kashakubali mwenyewe kuwa ni mpenzi wake na kashafika miaka 18 pili yeye ndio alimfuata RC hivyo hamna kesi hapo matokeo yanajulikana ataachiwa RC ila atakuwa kashachafuliwa tatu huyu bint hana aibu inaonekana anatabia ya kujiuza ndio maana anaongea akiwa macho makavu.