Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.

Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

RC alipata wapi namba yako wewe binti?
 
Nagfahamu umekosa hoja inabidi utukane ndiyo usongo wako utoke.

Huyo binti ni malaya na mzoefu, sikumsikia akiongelea kilainishi, wewe ukiliwa hutumii kilainishi?
hayo ni mambo yenu mama faiza, si unaona hadi zana unazijua, vilainishi. inasikitisha sana kwamba mtu unayejiitaga mshika dini, unaamini ilikuwa sahihi binti kulawitiwa kwasababu alikubali kurubuniwa kuwa mpenzi wa RC. Inasikitisha tena sana, na hii inadhihirisha unafiki wa watu wanaojifanya wanavaa ushungi kama wewe, na wengine wanaofanana na hao. kwa kifupi, alhaji kimemramba. labda samia amwokoe.
 
FaizaFoxy najua shida hapo sio binti, shida ni kwamba, unaumia kwamba aliyelawiti ni alhaji. pia, kwako wewe kulawitiwa sio kitu kigeni, ni kawaida tu kwasababu nyie wapwani na wazanzibari marinda mlishauza zamani sana. hadi huwa mnatushangaa kwanini tunapinga ulawiti.

kwa kukusaidia ni kwamba, binti ni mwanafunzi tu, sio malaya wa kujiuza ndio maana mtu mwenye heshima kama RC alimchukua akawa mpenzi wake. alishaeleza awali kwamba RC alichukua namba yake walipokuwa kwenye birthday ya rafiki yake ambako RC alienda kutafuta mabinti wa kurubuni. hivyo huyo sio kama wewe, sio malaya kama wewe. alirubuniwa, akarubunika kama wanawake wengine tu.

pia, kitendo cha kukubali kuwa na RC sio ticket ya kulawiti. kwa sheria za Tanzania hata ukichukua malaya barabarani ukamlawiti, unakosa. kulawiti ni kosa, msione ni kitu cha kawaida.
Umrmpiga za uso huyo mjukuu wa allah.
 
kama hujaingia CAT, huna legitimacy ya kongea hapa, wewe ni wakili mdogo hata hujui unaongea nini, maana yake hata miaka 4 haujafika. unaongea na watu tuna miaka 14 hapa. ndio maan animekuuliza swali moja tu, kesi ya SELEMANI MAKUMBA VS REPUBLIC ilisemaje? ukiweza hilo pengine nitaendelea kupoteza muda na wewe. relate hiyo kesi na ushahidi wa binti hata ukiondoa corroborations zingine.
Hasira za nini kana una uhakika binti hana makosa?

Unadai sina kegitimacy ya kujadili hapa kwa sheria za wapi kama sio umechanganyikiwa kwa chuki dhidi ya RC?

Mimi sijakwambia ni wakili na kwa taarifa sio wakili ila nina uzoefu mkubwa na kesi na nimewahi kuwabwaga nawakili wenye majina hapa Dar kwa kusimama nwenyewe mbele ya majaji wanaoheshimika tena bila wakili.
Kiumri nakuzidi mbali sana unatambia miaka 14 ya kazi mimi tangu 1984 niko katika ajira linganisha na hiyo miaka yako. Kesi yangu ya kwanza nilifanya nwaka 1994 ulikuwa hata umeanza chekechea?

Kesi ikiwa mahakama kuu jaji halazimiki kufuata hukumu ya jaji mwenzie wa mahakama kuu na kesi ikifika court of apoeal majaji hawalazimiki kufuata hukumu ya majaji wengine wa CA.

Kesi za ubakaji za kucite ni hiyo moja tu uliyoitaja? Ungekuwa competent ungeelewa ziko kesi nyingi mawakili wanaweza kucite.

Subiri tuone outcome ya hii case.
 
kama sio wakili, uliongeleaje leave kuappear CAT. mtihani mmoja tu umekimbia. hujui kitu wewe.
 
Duuuu.... hata mfumo tawala, RPC, Jaji Mfawidhi, DPP, Rais insensitive, wakimlinda huyu jamaa, wananchi washampa punishment ya kudumu. Watoto wake watasoma mitandao inayosema
baba yao anapenda harufu ya kinyesi cha watoto wa chuo.

Watasoma wengine wameandika baba yao atakuwa na yeye anapenda kufokolewa.

Kuanzia leo baba hatakuwa na moral standing ya kuwakanya watoto wake hata kuwaambia ingieni ndani msicheze kwenye mvua. Watamwambia bana weee baba weee, unatueleza nini, we mbona unachezea watoto wa watu makalio barabarani....
 
hayo ni mambo yenu mama faiza, si unaona hadi zana unazijua, vilainishi. inasikitisha sana kwamba mtu unayejiitaga mshika dini, unaamini ilikuwa sahihi binti kulawitiwa kwasababu alikubali kurubuniwa kuwa mpenzi wa RC. Inasikitisha tena sana, na hii inadhihirisha unafiki wa watu wanaojifanya wanavaa ushungi kama wewe, na wengine wanaofanana na hao. kwa kifupi, alhaji kimemramba. labda samia amwokoe.
Hapa mnafiki ni wewe tena eti unatumia jina tukufu la Yesu!

Sheria za mikataba zinaruhusu huyo malaya mwenye miaka ishirini na moja kuingia mkataba. Suala la kurubuniwa unalitengeneza wewe kwa umbumbumbu wa sheria.
 
W
kama sio wakili, uliongeleaje leave kuappear CAT. mtihani mmoja tu umekimbia. hujui kitu wewe.
Kama wewe ni wakili basi ni wale mbumbumbu ambao hata kudraft affidavit hawajui.

Mahakama haizuii ntu kusimama binafsi mbele ya jaji/ hakimu kufanya kesi yake mwenyewe, rejea Mtikila kesi kibao alikuwa anasimama mwenyewe bila wakili.
 
Hapa mnafiki ni wewe tena eti unatumia jina tukufu la Yesu!

Sheria za mikataba zinaruhusu huyo malaya mwenye miaka ishirini na moja kuingia mkataba. Suala la kurubuniwa unalitengeneza wewe kwa umbumbumbu wa sheria.
dah, mbona akili ndogo hii. nenda google hapo sasaivi, google "PENAL CODE TANZANIA", download, halafu nenda kifungu cha 154. soma icho kifungu, kulawiti ni kosa linalokatazwa nchini Tanzania, hata kama binti angekuwa ni malaya, au binti angekuwa aliridhia, ni kosa kwa anayelawiti na anayelawitiwa.

BINTI SIO MALAYA, ni msichawa wa miaka 21 tena mwanafunzi toka familia masikini aliyerubuniwa na RC mwenye miaka 46. kwa lugha nyingine, RC amemzidi binti miaka 25.

sheria ya mikataba haiingiliani na ridhaa ya tendo, ingehusu kwenye ridhaa ya ndoa. ridhaa ya tendo la ulawiti hata kama ni mkeo, ukimlawiti ni kosa.

shida ninyi wengi mmelawitiwa sana kiasi kwamba kichwani mwako hata unapoongea unafikiri kwasababu binti alishazidi miaka 18 ana maamuzi yake basi ukimlawiti hutashitakiwa, na hii ni kwasababu ulawiti umejaa mioyoni mwenu na mmeharibi miili ambayo Mungu aliwapa ili muitinzena muitumie kwa heshima. mwogopeni Mungu.
 
Dah mara paaarc mwanza nae mtegoni tenaaaa.
Kweli hapa nimekumbuka yale maneno ya mkubwa wangu flan aliwah sema .
"Mtu akimfanyia mwanangu mambo ya kifirauni namalizana nae moja kwa moja kama mbaya acha iwe mbaya yan bora kugawana majengo ya seri na kali"

Nimemsikiliza binti mwanzo tu mwisho,kwakuwa na mm nilishashughulika na issue znafanana na hzo najua namna zinakuwa.

Dah hata shetani ni katili ila kunakipindi nae anahuruma anaweza shawishi wenzake wasifanye ubaya flan dhidi ya jambo flan au watu.

Its so pain, dah bro kweli yale maneno yako ya kugawana majengo nmeyawaza sanaaaa
 
Back
Top Bottom