Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Inasikitisha sana
 
Ushatoka huko kwa Mikasi alipokuhufadhi wewe punga ?

Ushoga ni itikadi ya chama chako ndio maana ulikua mbele kupigana na akina makonda
 
Binti inaonekana alikuwa anamweleza sana rc shida zake za kiuchumi labda pia ni raised by single mama ndo maana anatajwa mama yake tu hii pia imepelekea rc kumdharau Binti na rc alijua Binti hatofanya chochote Kwa umasikini wake au pengine angezoea hako kamchezo.. mwisho kabisa mabinti wajue kujilinda na hawa wanaume ndani ya miezi sita yuko nae sidhani kama ni mara ya kwanza kumforce hicho kitu..Binti sijui kama atasoma tena sioni kabisa kama ataendelea na masomo
 
ndio maana alivyomaliza kumlawiti, alimwekea kibunda cha pesa, akasema "ona umasikini unautaka wewe mwenyewe", imagine, unalea mtoto afu RC anamsubiri afike chuo kikuu amlawiti. RC na PHD MZIMA.
 
ndio maana alivyomaliza kumlawiti, alimwekea kibunda cha pesa, akasema "ona umasikini unautaka wewe mwenyewe", imagine, unalea mtoto afu RC anamsubiri afike chuo kikuu amlawiti. RC na PHD MZIMA.
Ndio ni phd holder na RC lkn sio baba wa tumsime.... Tanzania kila mtu atajibeba Binti asipojja kujilinda mbele ya tajiri hata kama ni rika la mjuu huwa hawajali hakuna mwenye huruma
 
Ndio ni phd holder na RC lkn sio baba wa tumsime.... Tanzania kila mtu atajibeba Binti asipojja kujilinda mbele ya tajiri hata kama ni rika la mjuu huwa hawajali hakuna mwenye huruma
OK, kwahiyo hata binti zako watalawitiwa vilevile. pole.
 
OK, kwahiyo hata binti zako watalawitiwa vilevile. pole.
Binti akishakuwa huwezi kumlinda Kila siku au kwenda nae chuo ili uwe unamwangalia...your yanaweza kutokea hata Kwa Binti Yako ww pia..tv ni mtu mkubwa na ni ndoto za hao mabinti wa chuo kupata madanga kama hayo lkn ndo hivyo sio kila king'aacho ni dhahabu hata hizi Hela za hao matajiri kuzipata ni hadi uzitolee jasho la kinyume na maumbile.. waheshimiwa bwana ukute ni maagano ndo sharti alipewa na mganga hiyo tarehe afanye hivo siasa bwana
 
Jamaa kajitetea baada ya kusemwa mitandaoni 😁😁👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C9Fc_KktNY0/?igsh=eGVhcTVpMGoyOGt1
 
Kuwa na sijida sio tatizo. wakati wa Mtume kuna watu walikuwa na karibu nao sana. wao ndio kuingia msikitini na kukaa karibu na Mtume. Kumbe walikuwa wanafiq wakubwa. wanayachukua ya waislam wanaypanga wanapelekea makafiri MTUME hakujua, baada ya kuwajua akawatenga. Kwa hivyo kuwa na sijda kwa muislam kufanya hayo usishangae. huyo anakuwa hajui kwanini ameumbwa. Ingalikuwa Tz ni nchi ya kiislam mtu kama huyo angaliltwa uwanja wa ccm kirumba akachezea mawe mpaka AFE.
kwa sababu tunafata sheria za KIKIRISISTO ndio maana unaona haya
 
Kuna mtu alichanachana picha ya Rais, siku tatu hukumu tayari..huku kuna mtoto wa mtu mwamba kalawiti - kesi haiheleweki.
Sema polisi wamejitahidi kuwa professional kwenye hii case..bila wao nafikiri ingeisha juu kwa juu..walitamani iwe public ili raia wasaidie..

Huyo sijui Chawanda nae bana...yaani unalazimisha kufukua mtaro kabisa...si angeenda akatafuta watu wako tayari kabisa ..akafukunyua anavyotaka...pesa yake tu..
Huyu binti bado mdogo sana..inaonesha hata hiyo experience hakua nayo. Angejipigia zake tu kawaida..then huo upumbavu angetafuta magumegume.
Dhambi zipo na tunafanya lkn kuna wana wanazingua sana..
 
Huyo binti ni malaya toka zamani.Huko mpanda kuna mtu kafungwa miaka mitano kisa huyo binti.Ni kamalaya malaya toka zamani.Nendeni mpanda Girl's alikosoma mtazipata taarifa zake...

Sasa hivi kamejificha Dar es Salaam,lakini pia huyo binti hana Baba ana mama yake tu...Mama yake ni muuza Cake.
Hata wenzake aliosoma nao wanasema ni Malaya toka zamani.Na hata hicho kilichotokea kwake inawezekana sio mara ya kwanza.Anavuna umalaya wa zamani.
Huyo binti ni malaya tu.Pole kwa familia ya Nawanda na wengineo wote.Tuwe na uchaguzi wa watu wa kutembea nao.Hawa watoto wa 2000 sio.Na nyie watu wazima mnaotoa hela kwa hao watoto acheni waishi kwa kuwategemea wazazi wao...

Changamoto ya nchi hii haya mambo yakitokea mwanamke analindwa ilhali ana makosa.
 
Wewe tetea ujinga tu kwa sababu za kijingakijinga - Subiri waje walawiti kitoto chako tena cha kiume ndo utaelewa watu wanaongelea nini??
Au kama na wewe ni timu moja ya kulawiti watu - unasafisha mitaro play safe..

Yaani mkuu wa mkoa ashtakiwe au asingiziwe na awe kimya tu??? AU sio??Hivi unajua nguvu ya mkuu wa mkoa na network aliyonayo...
Acha ujinga bana
 
Wewe uliambiwa malaya wanalawitiwa tu ovyoovyo et??Achana na hiyo hivi unafikiri hata hao malaya unaenda tu unapanda bila ridhaa yake sio??
KIngine umesema mama yake anauze keki..kuna shida kuuza keki?Kuna uhusiano gani kwa mama kuuza keki na mtoto kulawitiwa??
Tutafika tumechoka sana
 
Mtume gani huyo? Naomba aya kwenye quran Mungu akiongea na Muddy pia Mungu akimpa muddy utume. 😀😃😄😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…