Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

mimi nachoshindwa kuelewa kumuanika waziwazi si ndio kumchoresha kwa raia. maana sasa jamii yote inajua kua kalawitiwa. ingefika wakati afichwe asijulikane kwa jina wala kuonyeshwa sura kama hivi.
 
Mara zote nimekuwa nikisema, mtu anayelawiti watu na anayelawitiwa, ukiwaangalia tu hata sura zao na muonekano wao huwa unaonesha kwamba wanaweza kufanya

Usiniulize suala la mfilaji kuea na pesa nyingi!

Pesa hazinaga uchaguzi wa sura! Popote huwa zinaenda, ila ufilaji na ufilwaji, sura hujionesha
😂😂😂😂😂😂 hii kaliii, khaaah
 
Ila kama Wazazi tujitahidi sana malezi ya watoto wetu.

Ni hatari Kwa Binti wa miaka 21 kupoteza Bikra zote mbili at per

Hii inaonesha, miaka ijayo Ndoa zitakuwa na matatizo makubwa kuliko ilivyo sasa.

Huwezi Kuoa Mke asiye na Bikra hata Moja halafu Ukute umetajiwa mahari zaidi ya milioni 3🙌
 
kama alilawitiwa kweli mbona inasemekana alikuwa anaikatikia viuno kabisa naniliu ya rc ikiwa inachanja mbuga sirini?
hiyo kusemekana, nani alimuona mwanachuo wakati anakatika, anahitajika awe shahidi mahakamani
 

Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.


Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Kuna kabinti nako kalimnyima kijana mmoja daraja la upadre kisa ana mimba yake. Badala ya kumuacha apate daraja ili waponde maisha, sasa wapo wote mtaani wanasota. Ujinga wa kabinti.
 
Kuwa na urafiki ndio amlawiti kweli?
Hili shetani linatakiwa na lenyewe liinamishwe na lipigwe mande na kama mtu 5 ndio ufahamu utamrudi!
 
Back
Top Bottom