Ndugu zangu watanzania!
Ni dhahiri kabisa kama mtoto mdogo wa umri huu anafanyiwa hivi, nchi hii si salama tena kuishi! tatizo kubwa la nchi hii ni idara ya usalama wa taifa..mkuu wa mkoa wa mwanza bado anabaki kufanya nini hapo kwenye hiyo nafasi? hana sifa tena hata moja kuendelea kuwa mkuu wa mkoa!
Huyu mtoto inaonekana imani yake ndio inamponza..kwa nini Rais hachukui hatua dhidi ya wahalifu wa jambo hili akiwemo mkuu wa mkoa wa mwanza?
Halafu nyinyi wanawake wa nchi hii, MNAJITAMBUA KWELI???? mtoto wa kike ananyanyaswa mmekaa kimya??? mnaweza kumtetea nani mkipewa dhamana za uongozi kama huyu mtoto mdogo hamuwezi kumtetea???? Nchi inaangizwa kwenye laana sababu ya wapumbavu wachache! Hivi dini ya Nawanda na Mtanda zinaruhusu ulawiti!!! kwanini hawatoki mbele kulaani kitendo hiki???