Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Kumbe bado haijafika mahakamani duu ila ni funzo kwa wengine wanaoendekeza mapenzi, ona sasa shule amesitisha, mzazi alipewa 3m kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Shule ipi? Uliwahi kuona mtu ameachishwa chuo kisa mimba, amelawitiwa au cases kama hizo? Huyo ameamua mwnyw kuacha chuo
 
Ila Watanzania ni watu wa ajabu sana! Hivi NEWANDA ni mtu wa kupata wateteaji kweli?? Hata kama huyo mtoto ni Malaya lkn alichokifanya huyo muhuni ni ujinga wa Hali ya juu sana na ni kinyume na maadili ya nchi yetu, hata Sheria zetu zimekataza.

Kwanza inavyoonekana jamaa ana matatizo ya akili, pia hiyo ndio tabia yake kuharibu watoto wa wenzie kwa kuwashawishia kibunda.
Watu kama NEWANDA sio wa kuwapa mtoto wakulelee.
Vibinti vya chuo nao hawakomi

Ova
 
wanaume tuweni makini ndugu zangu, imagine, kabinti kama haka, kanamwita RC "NAMWANDA", pamojana phd yake, na cheo chake, na walinzi wake, kila kitu, binti anamwona wa kawaida tu kwasababu walishaonana sehemu za siri. tujiheshimu,
hahahaha.wanaume kwani wanakuaga na akili wakiona uchi wa mwanamke? Phd au u profeseli unaweka chini tena uchi wa mnyama.hahahahahaha
 

Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.


Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Maskini mtoto wa watu!
 
huu ni ukatili wa kijinsia pole sana Binti kupitia wewe mabinti wengine watajifunza tabia ya kuwa na mahusiano na watu wenye umri kama wa baba yao ambao inapelekea kufanyiwa vitendo vya ukatili kama huu
Mzee mmoja alikubaliana na Binti mmoja hapa Dodoma kabla ya Mchezo,Mzee akamwambia Binti huko mbele sitotumia maana vijana wamepitia sana......Binti akamblock Mzee.
 
Back
Top Bottom