Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

sio yeye alete ushahidi wa kufinyiwa hivo vitendo?
Ni kweli mkuu wangu. Mimi binafsi nilikuwa bado sijaitizama clip yake.

Nilichangia mwanzoni kutokana na taarifa zilizokuwepo za maandishi.

Hata hivyo baada ya kusikiliza, kuna mambo ambayo yamenifanya nijiulize maswali.

Kwanza ni binti kuamuwa kuficha baadhi ya taarifa. Mfano alishituka sana alipoulizwa kama na yeye alipewa pesa tofauti na alizopewa mama yake. Ambapo alisema ni “pesa kidogo sana” alizopewa mama yake.

Kwamba mkuu wa mkoa alienda na cash 5m, hakuzichukuwa, lakini akamwekea huyo mama 3m kwenye account ya bank.

Hata hivyo kumbe na yeye alikuwa ameshapewa 10m. Kwa ninavyoona, kuna uwezekano jamaa aliweka 3m badala ya 5m maana binti na yeye alikuwa keshapewa 10m

Swali ni kwanini aliposema “walimpa mama 3m ili afute kesi, kwanini hakusema ni 13m?

Kuficha baadhi ya taarifa inaleta ukakasi sana. Maana unajiuliza ni mambo gani mengine ambayo ameyaficha?

Pia kuna upande mmoja unataka nimuamini, lakini upande mwingine nahisi kama vile alikuwa “coached”
 
Huyo mama naye mjinga.labda kama aliambiwa ni mahari.yani mwanao aningiliwe kinyume na maumbile then nakubari milio tatu tu? labda angalau 100 million
Haya mawazo yako nadhani ndo kama ya huyo binti.

Ela imekuwa ndogo? Ila angesema pia kuwa na yeye alipewa milioni 10. Kwanini alificha akataja tu milioni 3 za mama?
 
Wanaume hatupaswi kushangilia hii kadhia, inatengeneza precedence ya mabinti kukulengesha mtaroni kisha wanakuja public au wanenda polisi kukushtaki kwa liwati!
 
Huyo mama naye mjinga.labda kama aliambiwa ni mahari.yani mwanao aningiliwe kinyume na maumbile then nakubari milio tatu tu? labda angalau 100 million
Mimi ni maskini wa kutupwa lakini mwanangu afanyiwe hivyo ahata mil 100 sipokei.
 
Ni kweli mkuu wangu. Mimi binafsi nilikuwa bado sijaitizamq clip yake. Nilichangia mwanzoni kutokana na taarifa nilizokuwepo za maandishi.

Hata hivyo baada ya kusikiliza, kuna mambo ambayo yamenifanya nijiulize maswali.

Kwanza ni binti kuamuwa kuficha baadhi ya taarifa. Mfano alishituka sana alipoulizwa kama na yeye alipewa pesa tofauti na alizopewa mama yake. Ambapo alisema ni “pesa kidogo sana” alizopewa mama yake.

Kwamba mkuu wa mkoa alienda na cash 5m, hakuzichukuwa, lakini akamwekea huyo mama 3m kwenye account ya bank.

Hata hivyo kumbe na yeye alikuwa ameshapewa 10m. Kwa ninavyoona, kuna uwezekano jamaa aliweka 3m badala ya 5m maana binti na yeye alikuwa keshapewa 10m

Swali ni kwanini aliposema “walimpa mama 3m ili afute kesi, kwanini hakusema ni 13m?

Kuficha baadhi ya taarifa inaleta ukakasi sana. Maana unajiuliza ni mambo gani mengine ambayo ameyaficha?

Pia kuna upande mmoja unataka nimuamini, lakini upande mwingine nahisi kama vile alikuwa “coached”

Mkuu ogopa sana Malaya anaweza fanya lolote afanikiwe analolitaka, hawana noma wala aibu. huyu binti ni wazi kuwa ni malaya, mwanmke mwenye staha zake hawezi kujotokeza kwenye hadhara akajitangazia kuwa amelawatiwa.
kawasaoti wauuzi kama hawa ni kutojielewa, hasa kwa wanaume.
 
..wote wanapaswa kuja na ushahidi.

..kwanini RC amekaa kimya mpaka sasa hivi?

..hivi wewe ukituhumiwa jambo la kukuchafua kiasi hiki utakaa kimya?

huyo binti ni malaya aliekubuhu, malaya aliyekubuhu huwa hana noma wala aibu, utamlinganishaje na mtu anajaribu kuishi kwa kujaribu kuonekanwa ana heshima?
 
Ni kweli mkuu wangu. Mimi binafsi nilikuwa bado sijaitizamq clip yake. Nilichangia mwanzoni kutokana na taarifa nilizokuwepo za maandishi.

Hata hivyo baada ya kusikiliza, kuna mambo ambayo yamenifanya nijiulize maswali.

Kwanza ni binti kuamuwa kuficha baadhi ya taarifa. Mfano alishituka sana alipoulizwa kama na yeye alipewa pesa tofauti na alizopewa mama yake. Ambapo alisema ni “pesa kidogo sana” alizopewa mama yake.

Kwamba mkuu wa mkoa alienda na cash 5m, hakuzichukuwa, lakini akamwekea huyo mama 3m kwenye account ya bank.

Hata hivyo kumbe na yeye alikuwa ameshapewa 10m. Kwa ninavyoona, kuna uwezekano jamaa aliweka 3m badala ya 5m maana binti na yeye alikuwa keshapewa 10m

Swali ni kwanini aliposema “walimpa mama 3m ili afute kesi, kwanini hakusema ni 13m?

Kuficha baadhi ya taarifa inaleta ukakasi sana. Maana unajiuliza ni mambo gani mengine ambayo ameyaficha?

Pia kuna upande mmoja unataka nimuamini, lakini upande mwingine nahisi kama vile alikuwa “coached”
ni jambo la kawaida kwa layman kushtuka kama alipewa pesa au la, kwasababu ya hofu asije kushtukiwa kuwa alipewa rushwa. cha msingi ni kwamba hiyo 10m alipewa, RC aulizwe, kama hukuwa na kesi na huyu binti, ilikuwaje ukatoa 10m? kwenye swali la pili kwamba kwanini hakusema 13m ukijumlisha na aliyopewa maza, ni hivyohivyo, hakupenda kutaja aliyopewa yeye kwa kuogopa ataonekana alihongwa, na ni msomi anajua kuhongwa ni rushwa, jinai, kama mwanadamu lazima awe na kigugumizi.

hata kama angekuwa coached, utasema alikuwa coached kumsingizia RC KWELI? mtu wa cheo hicho uamke tu umsingizie, halafu RAIS amsimamishe, samia ana TISS ana POLISI na kila kitu lazima aliuliza kama kicho icho cha kweli au la wakamwambia ni cha kweli ndio akamfuta kazi. kweli umsingizie RC kitu cha uongo halafu vyombo vya serikali visijue na kukushitaki? kweli? na kwanini anatapatapa sana kuhongahonga na kutuma watu kwa marafiki wa binti na kwa mama kuomba radhi kama hakutenda icho kitu.
 
huyo binti ni malaya aliekubuhu, malaya aliyekubuhu huwa hana noma wala aibu, utamlinganishaje na mtu anajaribu kuishi kwa kujaribu kuonekanwa ana heshima?
of course, ni malaya, anaonekana, ila hata kulawiti malaya ni kosa la jinai. tunashangaa kwanini RC alilawiti malaya.
 
ni jambo la kawaida kwa layman kushtuka kama alipewa pesa au la, kwasababu ya hofu asije kushtukiwa kuwa alipewa rushwa. cha msingi ni kwamba hiyo 10m alipewa, RC aulizwe, kama hukuwa na kesi na huyu binti, ilikuwaje ukatoa 10m? kwenye swali la pili kwamba kwanini hakusema 13m ukijumlisha na aliyopewa maza, ni hivyohivyo, hakupenda kutaja aliyopewa yeye kwa kuogopa ataonekana alihongwa, na ni msomi anajua kuhongwa ni rushwa, jinai, kama mwanadamu lazima awe na kigugumizi.

hata kama angekuwa coached, utasema alikuwa coached kumsingizia RC KWELI? mtu wa cheo hicho uamke tu umsingizie, halafu RAIS amsimamishe, samia ana TISS ana POLISI na kila kitu lazima aliuliza kama kicho icho cha kweli au la wakamwambia ni cha kweli ndio akamfuta kazi. kweli umsingizie RC kitu cha uongo halafu vyombo vya serikali visijue na kukushitaki? kweli? na kwanini anatapatapa sana kuhongahonga na kutuma watu kwa marafiki wa binti na kwa mama kuomba radhi kama hakutenda icho kitu.
Kuacha ku “disclose” baadhi ya taarifa inaleta ukakasi. Hata hiyo sababu yako kuwa “aliogopa kuonekana amehongwa”, inaongeza maswali zaidi.

Je anaweza kuficha taarifa nyingine kwasababu ataonekana ametumika na wahasimu wa kisiasa?

Kuhusu RC kukubali kutoa hizo pesa, bado haiwezi kuwa sababu pekee ya kum “convict”

Maana ni watu waliokuwa kwenye mahusiano na hadi sasa ni upande mmoja tumesikia.
 
ukakasi wake unaondoa hoja kwamba RC alilawiti? yaani wewe ukilawitiwa hapo mtu akaja kukupatia mil.100 ukachuna kimya ila baadaye ukaona inauma kwamba utakuwa umeuza utu wako, ukaenda polisi au kwenye vyombo. waandishi wakakuuliza kwamba ulipewa 100m ukakubali kuwa ndio, je? itabidi tukupongeze kwamba haujaamua kuficha jambo umeamua kusema ukweli, au tukulaumu kwanini haukutoa hoja iyo awali? hakutoa awali kwasababu alijua alihongwa ila akakaa akajifikiria baadaye akaona hapana, hawezi kuuza utu wake kwa hela. na amesema hela hizo bado zipo, na RC hajakanusha hilo, hajaweka press conference yeyote kupinga allegations zote. kinachomfanya asiweke press ni nini wakati yeye sio kiongozi wa serikali tena ni raia tu mtaani? ukipewa tukio usipolipinga kwa ushahidi kinzani itabidi tuamini ule ulioletwa dhidi yako.
 
huyo binti ni malaya aliekubuhu, malaya aliyekubuhu huwa hana noma wala aibu, utamlinganishaje na mtu anajaribu kuishi kwa kujaribu kuonekanwa ana heshima?

..Na RC ilikuwaje mpaka wakajuana na huyo anayedai ni " malaya aliyekubuhu " ?

..ndio maana nasisitiza RC ajitokeze na kueleza ukweli kuhusu nini kilitokea kati yake na huyo msichana.
 
just step into the shoes, umesingiziwa kitu cha ajabu kama icho, wewe ni Mwenyekiti wa ulinzi na usalama Mkoa mzima, RPC na Mapolisi wote wa kwako, RSO na TISS yote MKoa ya kwako, na wengine wote, wewe ni mteuliwa wa Rais. kweli usingiziwe kitu kikubwa kama icho halafu usichachamae, utulie kimya tu, uanze kupigia simu marafiki wa binti waombe msamaha, umeenda hadi chuo kutafuta rafiki zake, umeenda kwa mamake unatoa hadi 3m, unatoa 10m kwa binti. kwa deni gani? kwa kitu gani ambacho hukufanya hadi uhangaike namna hii? kweli angekuwa ametungiwa Polisi wangemkamata, Rais angemtumbua? kwamba Rais huwa anatumbua bila informations sahihi toka vyanzo vyake? just think.

Huyu jama kafanya, ndio maana anahaha kuhonga na kunyamazisha, una deni gani hadi uhonge na kuhangaika kama ulikuwa unadaiwa na icho kibinti cha chuo mwaka wa kwanza?binti wa 21 years ndio jamaa ahangaike hadi kuhonga?

Haya sasa RC atuambie, kama siku ya tukio hakuwa rock city, atoe ushahidi alikuwa wapi? alikuwa Geita au alikuwa Mwanza? analindwa na mapolisi, unafikiri mapolisi wakiulizwa na RPC waseme ukweli watasema uwongo? ndio maana huwa nawaambia hawa viongozi wanaolindwa na mapolisi, wale sio walinzi wako ni wachunguzi wako, wataeleza siku hiyo wapi ulienda, ulifanya nini na waliona nini na uliporudi kwenye gari ulikuwa unasemasema nini ulichotoka kufanya huko, wao wanaamini wale walinzi ni watunza siri wao. subutu.

yaani ninyi wateuliwa, ukiona umepewa mapolisi wanakulinda jua tukio likitokea hao walinzi wako ni wakwanza kuulizwa, wataulizwa siku hiyo ulienda wapi, waliona nini? waliona binti ameingia kwenye gari yako au la, na kama ni walinzi wako haiwezekani binti au yeyote aingie kwenye gari yako na walinzi wasikuone. nadhani hata Rais anachukua tu information toka kwa hao bordguards wako, wananyoosha maelezo. hata ukikutwa umekufa ujue hao walinzi ndio wakuulizwa. vivyo hivyo hata ukifanya jambo la ajabu, wataulizwa na watasema ukweli. mnaringa na vitambi ati mnalindwa kumbe mmejilisha kwenye mdomo wa mamba mjulikane zaidi. kalaga baho.
 
..Na RC ilikuwaje mpaka wakajuana na huyo anayedai ni " malaya aliyekubuhu " ?

..ndio maana nasisitiza RC ajitokeze na kueleza ukweli kuhusu nini kilitokea kati yake na huyo msichana.

ni ngumu RC kujitokeza mana mzigo kaula kweli, ila sasa binti ametumia weakness ya RC kuji promo na kutafiti kiki. Kwa uhakika kabisa ana watu nyuma yake wanao mremote
 
ukakasi wake unaondoa hoja kwamba RC alilawiti? yaani wewe ukilawitiwa hapo mtu akaja kukupatia mil.100 ukachuna kimya ila baadaye ukaona inauma kwamba utakuwa umeuza utu wako, ukaenda polisi au kwenye vyombo. waandishi wakakuuliza kwamba ulipewa 100m ukakubali kuwa ndio, je? itabidi tukupongeze kwamba haujaamua kuficha jambo umeamua kusema ukweli, au tukulaumu kwanini haukutoa hoja iyo awali? hakutoa awali kwasababu alijua alihongwa ila akakaa akajifikiria baadaye akaona hapana, hawezi kuuza utu wake kwa hela. na amesema hela hizo bado zipo, na RC hajakanusha hilo, hajaweka press conference yeyote kupinga allegations zote. kinachomfanya asiweke press ni nini wakati yeye sio kiongozi wa serikali tena ni raia tu mtaani? ukipewa tukio usipolipinga kwa ushahidi kinzani itabidi tuamini ule ulioletwa dhidi yako.
Alipopimwa,daktari alikuta mtoto kulawitiwa ni kawaida yake,si suala la Jana Wala juzi,utaihakikishia vipi mahakama pasi na shaka kwamba binti alilawitiwa na mtuhumiwa!?
 
Back
Top Bottom