Binti ninayemtongoza anataka nimuazime Tsh. 100,000/-

Huyo kaamua vita mapema, mwambie aje lodge flani na taja namba ya chumba ila mwambie una 50k. Hiyo 50k nyingine unalipia chumba.

Kama yeye hajakuonea aibu kukuomba hela, hutakiwi na wewe umuonee aibu. Kwa wakongwe tunajua huyo ni muuzaji
 
Hapo atapigwa mtu, bora ampe 20 af nyengine amwambie aifate geto baadae😅 anampiga mkojo kisha anampa 30 tu kesi inaishia hapo.
 
Mzee unataka kucheza KEUSI na KEKUNDU hapo,unaweza usulipwe na usipate ile HUDUMA yetu pia
 
Kama hujagundua siku hizi wamekuja na mbinu mpya ya kukupa za uso nayo kukupiga kizinga heavy wakijua kabisa ndiyo tiketi yako ya kusema bye bye
Yani wanawake bana wajanja sana 😅 hapo anakupiga mzinga sababu hajakupenda. Anajua kabisa unaweza ukakataa au ukataka sifa ukampa hio hela.

Ukimpa kweli unakuwa umempa faida. Atakuingiza kwenye list yake ya zile ng’ombe za kumpaga hela kila akipata shida. Ukimkatalia pia utakuwa umemfaidisha kwa kumuondolea kero sababu ungekuwa huna msaada wa kipesa kwake.

Ukimpa hela kama ni muungwana chances za kukupa mbunye ni 70% ila atakupa baada ya kula kula hela zako. Kisha ndio atakuwa amekufanya ATM rasmi.
 
Mkuu km dem anakula mitungi na una gar mpe hiyo...!!! Huyo ataliwa kwa budget ya laki 2/1.5 kwa vgezo vilivyoainishwa hapo juu... mpe hyo hela then ucmuulize chchte kuhusu hiyo hela baada ya hapo ofa ndogo km mbili zczozd elfu 20 unaweza ukamto lunch tu then tafuta cku ambayo yupo free muombe akusindikize sehem au km anapenda ofa mwambie maomba nikupeleke sehem ila ucmwambie wap mchukue then hakikisha unampeleka mbali sana nje ya mji ambako itamlazimu wkt wa kurud kivyovyote ategemee usafiri wako mkuu shughili itakuwa imeisha maana mpini utakuwa ndio umeshika mpini.

Nb: hakikisha n pini kali km co pini kali pga chini
 
Kama Ela unayo, na hicho kiasi Kiko ndani ya uwezo wako, Wewe mpe tuu,
Ila kwasababu ushamtongoza usiwe na mategemeo Sana ya kurudishiwa iyo pesa[emoji4]
Mkuu atoe KODI YA MEZA kabla ya huduma?[emoji28]
 
Mwambie akaazime kwa baba yake
 
Ushauri huu ni wakuzingatia zaid
 
Ukitoa hizo atajua unazo...halafu kamchezo kakuomba pesa ndio kataanza rasmi ....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanawake wamekuwa wajanja sana..

Hapo asipompa hiyo laki demu atampotezea kwa kumuona choka mbaya tu au bahili..na akimpa demu ataona amepata danga jipya la kulinyonya damu na shughuli ya vizinga/virungu itaanza rasmi.
 
Akili kichwani[emoji119][emoji23]

Sent from my T702 using JamiiForums mobile app
 


Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana Ndugu Zangu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…