Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mwambie aje aichukulie gheto , kama kweli yupo serious.[emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mwambie aje aichukulie gheto , kama kweli yupo serious.[emoji14]
Hapo atapigwa mtu, bora ampe 20 af nyengine amwambie aifate geto baadae😅 anampiga mkojo kisha anampa 30 tu kesi inaishia hapo.Sana mkuu, jamaa asipokuwa makini soon ataleta uzi mwingine wa kulialia.
Kitachofuata hapo ni kutolipwa hiyo 100k halafu binti akishaona kumbe jamaa hana mkono mfupi atafanya jaribio la kombora lingine akishafanikiwa ndo bas tena na kumla ni probability
Yah hatakiwi kumuonea aibu, amuambie wazi wazi aje waunganishe vikojoleo.. kama yeye ambavyo hajaona aibu kuomba hela.Hapo atapigwa mtu, bora ampe 20 af nyengine amwambie aifate geto baadae[emoji28] anampiga mkojo kisha anampa 30 tu kesi inaishia hapo.
Mzee unataka kucheza KEUSI na KEKUNDU hapo,unaweza usulipwe na usipate ile HUDUMA yetu piaWakuu habari za muda huu,
Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.
Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.
Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.
Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Yani wanawake bana wajanja sana 😅 hapo anakupiga mzinga sababu hajakupenda. Anajua kabisa unaweza ukakataa au ukataka sifa ukampa hio hela.Kama hujagundua siku hizi wamekuja na mbinu mpya ya kukupa za uso nayo kukupiga kizinga heavy wakijua kabisa ndiyo tiketi yako ya kusema bye bye
Amchane makavu tu au sio?Yah hatakiwi kumuonea aibu, amuambie wazi wazi aje waunganishe vikojoleo.. kama yeye ambavyo hajaona aibu kuomba hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu km dem anakula mitungi na una gar mpe hiyo...!!! Huyo ataliwa kwa budget ya laki 2/1.5 kwa vgezo vilivyoainishwa hapo juu... mpe hyo hela then ucmuulize chchte kuhusu hiyo hela baada ya hapo ofa ndogo km mbili zczozd elfu 20 unaweza ukamto lunch tu then tafuta cku ambayo yupo free muombe akusindikize sehem au km anapenda ofa mwambie maomba nikupeleke sehem ila ucmwambie wap mchukue then hakikisha unampeleka mbali sana nje ya mji ambako itamlazimu wkt wa kurud kivyovyote ategemee usafiri wako mkuu shughili itakuwa imeisha maana mpini utakuwa ndio umeshika mpini.Wakuu habari za muda huu,
Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.
Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.
Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.
Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Mkuu atoe KODI YA MEZA kabla ya huduma?[emoji28]Kama Ela unayo, na hicho kiasi Kiko ndani ya uwezo wako, Wewe mpe tuu,
Ila kwasababu ushamtongoza usiwe na mategemeo Sana ya kurudishiwa iyo pesa[emoji4]
Mwambie akaazime kwa baba yakeWakuu habari za muda huu,
Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi.
Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana na huyo mrembo niakaaza kumtongoza kwa sababu tayari nilishachukua namba yake licha ya yeye kuto toa jibu la kunikubalia.
Leo kanitumia meseji ya kuniomba shilingi 100,000 kwa masharti ya kumuazima na atarudisha baadae ya wiki 2 Mara baada ya kupokea mshahara kwa kuwa ni mfanyakazi.
Binafsi sijamjibu na sijajua mpaka sasa namjibu nini, nimeamua kuandika hapa ili kuomba ushauri kwamba pisi unayoitokea inapokuomba uiazime pesa itaweza kurejesha kweli? Lakini pia kama ikitokea nikamwazima hiyo pesa ataweka uzito wa kuirejesha kweli?
Ushauri huu ni wakuzingatia zaidHuyo Anataka Kukuuzia kwa Laki, tengeneza Mazingira Ya Kumpelekea moto....then Mpe 100,000 yake ubaya ubaya tuu.
Ukimpa hiv iv anaweza kukuona Mzembe...Hana nia na wew Huyo Malaya ndoo Maana Hakuonei Haya kuomba hela wakat anajua unamtaka.
Wala haogopi kua ataonekana ana tamaa
Wanawake wamekuwa wajanja sana..Ukitoa hizo atajua unazo...halafu kamchezo kakuomba pesa ndio kataanza rasmi ....
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Juzi nilienda kwake ,alikataa nisiingie ndani kwa kuwa kwenye hiyo nyumba ataihama ndani ya siku hizi mbili, pia anadai nimpe pesa amalize mambo yake halafu ndio tuongee vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili kichwani[emoji119][emoji23]Wanawake wa siku hizi wanna akili saana kuliko wa zamani
Zamani binti kama hakutaki alikuwa hataki hata kukutana na wewe
Hawa awamu hii wakakaa kikao wakajadili kwamba kumwambia mtu mzima mwenzio kwamba sikutaki siyo ustarabu
Wengi wao wakaona iwe fursa yaani ukiona mtu hujamwelewa lakini yeye kang'ang'ana wewe shusha nyavu zako vua kadri ya uwezo wako
Vijana wengi mmejikuta mko njia panda kwa kukosa maarifa
"MWANAMKE MWENYE NIA NZURI HAKUOMBI HELA"
Labda awe amebanwa kwelikweli
100000 kwa hapa uswahilini kwetu ni kodi ya miezi 5
Hivi kwa nini mnaomba pesa kabla ya kuliwa?Yaan mkiombwa pesa kidogo tu mnachanganyikiwaga hiviiii kumbe!
Today's world [emoji119]
Waulize wao wenyewe wanaoomba mkuu
Hahahaaa, Naona unawatetea sana.Waulize wao wenyewe wanaoomba mkuu
[emoji3][emoji3]