Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

Tatizo wanawake wanadanganyana sana, wanafikiri kuwa na mwanamme ndiyo kutoka kimaisha.......wakishachezewa na kuwa expired wanaanza kuchukia kila mwanamme wakati makosa ni yao wenyewe. Mwanamme gani anataka kuchezewa?
Naamini ipo siku na wao wataelewa kuwa mahusiano ni investment ya watu wawili. Hata kama sio kipesa bhasi kihisia, kiakili na kiroho ila hii ya kuona nikoshakuwa na kiungo nimemaliza. Ni biashara na ujinga wa hali ya juu
 
Dah!! Uko vizuri sana kwenye elimu ya umalaya.
 
Naamini ipo siku na wao wataelewa kuwa mahusiano ni investment ya watu wawili. Hata kama sio kipesa bhasi kihisia, kiakili na kiroho ila hii ya kuona nikoshakuwa na kiungo nimemaliza. Ni biashara na ujinga wa hali ya juu
Wanawake wa kibongo itawachukua muda sana kulijua hili, kwa kweli wanasikitisha mno.
 
Tatizo lenu mnadanganyana sana kuishi kwa kupretend, hamtendi mnayosema/kufundisha wenzenu.

Ushauri wa mwanamke kwa mwanamke mwenzie sio wa kuutilia maanani kabisa hasa hayo mambo ya mahusiano.

NB. Tafuta pesa binti, usitume uke kama kitega uchumi.
SASA BOSS MBONA UNALIA?
AU VYA BURE VINAISHA?
WAJE NIWAPE DARASA WHATSAPP WATAKAA VIZURI HAWAJACHELEWA
 
me nathan umepaniki kwasababu wanajifunza ukweli ambao uko mtaani na watu nanaishi hivyo
mwanamke kama haujielewi zitakazoumia ni sehemu zako za siri
nyie endeleeni kuwatumia ovyo ila wakishajua thamani zao hamtawaona tena
 
Nyege Zina taarifa sasa?Kuna mmoja alibana wee siku nime mhag tu kashaa lowa!Kumuuliza si ukisema Hadi mwaka uishe eti nyege zimenizidia!
sio kubana
huyo wako hajui thamani yake
mlete darasa langu la feminine atakaa sana
 
WOYOOOOOOOOOOOOOOO
 
hao hawajielewi wala kujitambua
hakuna mwanamke anaejitambua na kujua thamani yake akajiuza
hakuna
 
MTASUBIRI SANA MPAKA ILIWE NA NYENYERE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…