Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Rebecca AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUJINYONGA hadi KUPOTEZA MAISHA.
Huko shuleni huwa mnaenda kusomea ujinga?
Angeweza kujinyonga na asipoteze maisha/fariki...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rebecca AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUJINYONGA hadi KUPOTEZA MAISHA.
Huko shuleni huwa mnaenda kusomea ujinga?
Umeongea ukweli Sana. ukute alikuwa anasimangwa kila saa.... Jamii za ki Africa zifike mahali ziache kupima thamani na utu wa mtu kwa kugezo cha ndoa..Wazazi tujifundishe kuwakaribisha watoto wetu nyumbani baada ya divorce.
A divorced daughter is better than a dead daughter.
Jamii zetu za kiafrika zina shida sana mwanamke anapoachika sasa mabinti wanaweza kujikuta wanaingia kwenye ndoa ilmradi tu waonekane wameolewa.
Jamii Ina msukumo hasi kwenye hili.. Na alikuwa mdogo kuweza kupambana na misukosuko ya duniaKwamba ilishindikana kabisa kuishi pasipo kuwa na ndoa...
Na kwa nini binti usiolewe?Wazazi tujifundishe kuwakaribisha watoto wetu nyumbani baada ya divorce.
A divorced daughter is better than a dead daughter.
Jamii zetu za kiafrika zina shida sana mwanamke anapoachika sasa mabinti wanaweza kujikuta wanaingia kwenye ndoa ilmradi tu waonekane wameolewa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah miaka 17 yupo siriazi na mapenzi kiasi icho
papuchi sijui iko katika hali gani
bado bado kwanza.Na kwa nini binti usiolewe?
Hivi umeelewa kweli?? Yeye kajinyonga kisa kuachika sio kisa kukimbia ndoa....kwamaana iyo alikuwa akiingia kwenye ndoa mambo yanakuwa ndivyo sivyo wanatengana anabaki anaumia....wanawake mlio kwenye ndoa tulieni kwenye ndoa zenu, hii ni hatari kubwa sana.
ila mademu bwana mimi miaka hiyo nilikua nawaza kupiga na kusepa sio kuoaKamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema Rebecca Benjamini Mkazi wa Kata ya Izunya Wilaya ya Nyang'hwale mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia kwa kujinyonga kutokana na msongo wa mawazo baada ya kuwa anaachwa kila anapoolewa "Ameachika mara tatu kwenye ndoa"
Mwaibambe amesema hayo alipokutana na Kamati ya Amani na Maadili ya Mkoa wa Geita, ambapo amesema chanzo cha kifo cha Rebecca ni msongo wa mawazo ambao ulikuwa ukisababishwa na yeye kuolewa na kuachika mara kwa mara.
"Rebecca amefariki dunia baada ya kujinyonga hadi kupoteza maisha kwa kutumia kamba iliyosukwa kwa chandarua kwenye kenchi ya nyumba yake, chanzo alikuwa akilalamika kwamba kwanini kila akiolewa anaachika na tayari alikuwa ameshaachika mara tatu"
Baadhi ya Viongozi wa Dini aliokutana nao leo kutoka katika Madhehebu mbalimbali ili kutokomeza matukio ya Watu kuua na kujiua, wamesema Wananchi wanatakiwa kuwa na hofu ya Mungu.
Millard
Miaka 17 bado ni mtoto sana.Kwamba ilishindikana kabisa kuishi pasipo kuwa na ndoa...
Jamii Ina msukumo hasi kwenye hili.. Na alikuwa mdogo kuweza kupambana na misukosuko ya dunia
mshitakiwa namba moja hapo ni wazazi wa huyo binti mtamuozeshaje mtoto wa miaka kumi na saba hata viungo havijakomaa ataweza kuhimilki mwanaume kweli?ndiyo maanajamaa walikuwa wakiona hajiwezi wanamuachaKamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema Rebecca Benjamini Mkazi wa Kata ya Izunya Wilaya ya Nyang'hwale mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia kwa kujinyonga kutokana na msongo wa mawazo baada ya kuwa anaachwa kila anapoolewa "Ameachika mara tatu kwenye ndoa"
Mwaibambe amesema hayo alipokutana na Kamati ya Amani na Maadili ya Mkoa wa Geita, ambapo amesema chanzo cha kifo cha Rebecca ni msongo wa mawazo ambao ulikuwa ukisababishwa na yeye kuolewa na kuachika mara kwa mara.
"Rebecca amefariki dunia baada ya kujinyonga hadi kupoteza maisha kwa kutumia kamba iliyosukwa kwa chandarua kwenye kenchi ya nyumba yake, chanzo alikuwa akilalamika kwamba kwanini kila akiolewa anaachika na tayari alikuwa ameshaachika mara tatu"
Baadhi ya Viongozi wa Dini aliokutana nao leo kutoka katika Madhehebu mbalimbali ili kutokomeza matukio ya Watu kuua na kujiua, wamesema Wananchi wanatakiwa kuwa na hofu ya Mungu.
Millard
Hata mi nashangaa. Msiwe mnawang'ang'ania wanawake mwisho wa siku mnajiua mwanamke anabaki akila marahaLeo tu hapa mtaani kuna brother kajinyonga kisa mapenzi. Mpaka muda huu naandika hii comment bado ananinginia juu ya mti polisi hawajafika kumtoa.
#Inasikitisha sana kujiua kisa mwanamke wakati wanawake wamejaa hadi wanamwagika🚶🚶🚶
Umesema jambo la msingi sana.Jamii yetu inapasa kubadilika.Wazazi tujifundishe kuwakaribisha watoto wetu nyumbani baada ya divorce.
A divorced daughter is better than a dead daughter.
Jamii zetu za kiafrika zina shida sana mwanamke anapoachika sasa mabinti wanaweza kujikuta wanaingia kwenye ndoa ilmradi tu waonekane wameolewa.