[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahbinti kampata yahaya akafukuliwe mtaro kisawasawa bila bughudha, ila atarudi nyumbani akilia ujiandae kumpokea baada ya kupigwa tukio otherwise piga stop kama baba
Muwaache wanachuo wafaidi uhuru wa maisha, boom tamu bhana.Mruhusu akapigwe miti kwa uhuru,nilienda UDOM,nikakuta hostel zinatosha,lakini wadada baadhi yao hawataki kukaa hostel,wanapanga mtaani,yaani ni shows how,mtu anaolewa miaka mitatu au zaidi,anakuja kuachana na mwanachuo mwenzake wakimaliza masomo.Mpe uhuru apigwe kwelikweli,tena msisitize asipange chumba ambacho hakina ceiling board,atakua kero kwa wapangaji.
Mpe uhuru,japo ukimsihi kua awe making,atakujibu kua,anajitambua.
Mruhusuuuu...... dadeki.
Utakuwa umelelewa vizuri, njoo inbox nikuoe🤣Nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti
na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.
Shida siyo boom,shida ni kwamba baadhi yao wanafanyana sana,wanazalishwa sana.Muwaache wanachuo wafaidi uhuru wa maisha, boom tamu bhana.
Ana umri gani binti yako...?Habari wadau,
Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Je anafanya kazi?Habari wadau,
Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
HajibuAna umri gani?
Kipato anacho cha kutosha?
Mostly likely kapata bwana ndo anaenda kumpangia huko...
Aged enough, tumekuuliza anafanya kazi hujajibu, kama anafanya kazi na ana miaka 24, kazi yenye kipato kizuri mruhusuAnayo 24
Ndo acha wafanyane na kuzalishwa sana, muda wao ndo huo.Shida siyo boom,shida ni kwamba baadhi yao wanafanyana sana,wanazalishwa sana.
Hakuna vinonoUnampa mahitaji yote?
Kuna vitu anahitaji kwako anavikosa
😂Hakuna vinono