Utandawazi na watandawazi wameshamvuruga akili,,nafsi,,na roho,,,wameshamwaminisha maisha ni mepesi sana na walivyo na roho mbaya unaweza kuta wameshamtafutia na Mlamba Asali,,,Halafu ukifatilia zaidi wanao mshawishi ni rafiki zake ambao unaweza kuta hawana mbele wala nyuma,,,wao wameshaharibu sasa wanamwonea wivu wa kwako,,,wanataka nae aharibikiwe kindezi kama wao!!!Hapo unahitaji ufanye uamuzi Wa Kiume uliojaa Hekima ,, Busara na maono Kama Mwanaume,,,Kama Baba,,Kama mlinzi wa Kizazi chako na usiogope kukaa nae chini umweleze ukweli tuu kwa huu ulimwengu wa sasa ya kwamba maigizo ni mengi kuliko uhalisia wa mambo yalivyo!!!Wakina Paula kajala wanawavuruga sana hawa watoto wa kike wa sasa wanafikiri **** ni mtaji!!!Mfungulie mradi wowote achakarike nao kwa sasa na hakikisha unamsimamia haswa ili aendelee kukomaa zaidi kimaisha na kiuchumi!!!