MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Kuna character za mtu unaweza msikiliza anachohitaji na Kuna wengine you can't hata iweje.Kwanini,wanaume tunaogopaga wanawake waliopanga wenyewe
Kwa kweli kwa binti ambaye hana kazi halali ya kumuingizia kipato hilo jibu ni sahihi kabisa!nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti
na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba kila anachotaka unampa!!!!!!!!
Basi sawa.
kuna mengi kwa huyu mtoto wa huyu mtoa mada
i. anaonea wivu wenzie maisha wanayoyaishi, anayatamani.
ii.ana kijibwana kinamchanganya anaona kutoka kwao kua naye nyumban hamna hio nafasi
dah, karibu, hakikisha tu unakua naye karibu kuliko mtu mwengine yoyote yule mimi hayo ndio malezi mzazi wa kiume alikua akinilea kabla hajafikwa na umaut na kwetu mimie ndio wa kike wa pekeeAsante Dada kwa hizi hints, maana nso huyo huyo ninaye, sina mwingine, have to play well my cards.
watoto wa kike wana mbinu sana, anaweza akakuletea bwana humohumo ndani na nyie mmelala n kua naye makiniJama jamaa ha play fair, hiyo ni changamoto, lazima ampe uhuru wa aina fulani
nilikua nafanya kazi nzur tu ubaya haikua mkoa mwengine n huohuo tuliopo sasa naenda kupanga kufanya nnKwa kweli kwa binti ambaye hana kazi halali ya kumuingizia kipato hilo jibu ni sahihi kabisa!
NaamYws, kuna heshima ya kumchukua mtoto kwa wazazi wake
Kumbe humu ndani ukiwa na adabu unaweza kupata mke,natamani wazazi wangu wangenisaidia kwenye zoezi la kuoa juhudi zangu binafsi zimeshindwa kuzaa matunda.Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Umejuaje ?Kabisa,ngumu waoaji kuoa Dem kapanga
Kumbe humu ndani ukiwa na adabu unaweza kupata mke,natamani wazazi wangu wangenisaidia kwenye zoezi la kuoa juhudi zangu binafsi zimeshindwa kuzaa matunda.
Mpe uhuru aende anakotaka ili mradi anarudi nyumbani, tushaanza mtolea macho naye anataka aburudike kibaiologiaAnayo 24
Wale ambao wazazi wao wapo mbali wao wamepanga mkoa mwingine vipi?Usimruhusu kama ni mchumba atakuja hapo hapo nyumbani binafsi hata mimi sioi mwanamke aliyepanga chumba mana sijui analipa Nan Kodi anannua Nan umeme wanawake Wana Siri nyingi sana. Ila akiwa kwao nakuwa na amani sana
😆upo tayar apelekewe moto apo kwako?maana age ya 24 wenzake wako na 2 children
Uhuru huwa wanautaka wakipata matatizo huko wanataka kuyarudisha nyumbani hiyo hapana uhuru wa kipumbavu NOUnambana sana uyo binti. Acha akapange ili awe huru hata kutoka out na kupigwa pipe