BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
hata akojozwe na kibendi chini ni yeye kwa maana kama ni kuwakojoza wanawake tu wengi sana nishafanya hivyo huenda hata dada yako na ndugu zako wengine wananielewa fresh tu.Unaongea kwa dhihaka subiri wako aje kukojozwa na kibendi juu utajua hujui
😀😀😀😀naolewa soonDuh... Sasa usipo olewa itakuwaje
Kutoka na dadangu sio tatizo kwasababu siwezi kutoka naye mimi.hata akojozwe na kibendi chini ni yeye kwa maana kama ni kuwakojoza wanawake tu wengi sana nishafanya hivyo huenda hata dada yako na ndugu zako wengine wananielewa fresh tu.
Wazi kashaingia kwenye mfumo.. jamaa ana dictate tempo tu hapoDaah sisi mabishoo kwa kuwadnganya wadada daah bint kashaingia miziki ya msela kapotean daah...
NB
Wanawake wengi sikuizi hawataki kuolewa
Lazima akupe sababu zankufanya hivyo na aking'ang'ana mpe masheriti kwamba aende ila asije akarudi kwako na tatizo lolote lile litokanalo na uzembe wake mwenyewe kama mimba au kushindwa kulipa kodiAnayo 24
Kwaio akifa na mbususu nzima....huko mbinguni anamlingishia nani?Usimruhusu usimruhusu usimruhusu, mtoto wa kike akishaanza kupanga tu ni tatizo ndio hao wanaishi na mwanaume kinyumba pika pakua si unaona vyuoni? Mtoto wa kike akae nyumbani mpaka aolewe, labda awe amepata kazi nje ya mkoa mnaiishi hapo sawa, lingine mwanamke akijipangia anakuwa chakula cha wote, tofauti na akiwa kwako angalau anakuwa cha wageni
Kuna huduma huwezi kumpa wewe.Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Sio hivyo Sir. Zamani binti wa miaka 24 tayari angeweza kuwa hata na kijukuu maana angekabidhiwa mume mara alipovunja ungo. Makabila mengine hata kabla ya hapo. Haya mambo ya mwanamke wa miaka 24 kuonekana bado mtoto anayetakiwa kuongozwa na mzazi wake ni ya siku hizi na ni ya kwetu tu. Mwanamke wa miaka 24 ni mtu mzima na ana haki ya kujifanyia maamuzi yake ( hata makosa) bila kuingiliwa na mwengine.Dunia imechange, binti wa 24 anaonekana mtu mzima,
Bado anahitaji muongozo wa wazazi wake
Aliyekuambia mbinguni mbususu Zina kazi tena ni nani? Matumizi ya mbususu yanaishia hapa hapa, Sasa ukizitumia vibaya hizo hizo zinakupeleka motoni na sio mbinguni tenaKwaio akifa na mbususu nzima....huko mbinguni anamlingishia nani?
Hiki ndicho nilichomaanisha hata kwa mtoto huwezi kutembea naye even if umkataze kujitegemea mapema but kumegwa atamegwa tu hata kama uishi naye miaka yote hapo nyumbani.Kutoka na dadangu sio tatizo kwasababu siwezi kutoka naye mimi.
Wakulungwa huwa tunaita "CHAWOTE" au "CHAMA LA WANA" yani Binti anaweza kuingiza Me hata watatu kwa siku 1 na wote wakatafuna tu K.Usimruhusu usimruhusu usimruhusu, mtoto wa kike akishaanza kupanga tu ni tatizo ndio hao wanaishi na mwanaume kinyumba pika pakua si unaona vyuoni? Mtoto wa kike akae nyumbani mpaka aolewe, labda awe amepata kazi nje ya mkoa mnaiishi hapo sawa, lingine mwanamke akijipangia anakuwa chakula cha wote, tofauti na akiwa kwako angalau anakuwa cha wageni
Huyo amepata Bwana! Na pengine ni mume wa Mtu! Kaa nae mpe ushauri kwani akisema akakae mwenyewe sio rahisi kupata Mume- ataleta maswali mengi sana kwenye jamii inayomzunguka. Mwambie kuwa kama ana mtu anaetaka Muoa amlete nyumbani ila kwenda kupanga NO big NO- akikaidi hilo Mwambie kuwa una Radhi nae kama ataondoka bila ridhaa yako.Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Cha wote tena wengine wanaliwa bila hata kutongozwa unaenda kwake mnajifajya mnapiga stori ukiemdw kimkakati unapiga stori za mapenz ni rahisi sana kumlaWakulungwa huwa tunaita "CHAWOTE" au "CHAMA LA WANA" yani Binti anaweza kuingiza Me hata watatu kwa siku 1 na wote wakatafuna tu K.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Anza kuandaa Pampers na ARV's zisiwe mbali nae kwa Matumizi ya Maandalizi ya Maamuzi aliyoyachukua.Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Mtoto wa kike ni tofauti na wakiume. Wakike inabidi abaki home mpaka the day anaolewaMbona ni mtu mzima au mpaka afikishe 35
Hakuna sababu ya msingi hapo zaidi ya pipe mkuuAnayo sababu yoyote ya msingi?