kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Pisi nyingi zilizopanga zinachelewa kuolewa balaaKwa sababu wana Uhuru uliopitiliza. Wakiwa na Uhuru sana thamani zao zinashuka. Hakuna mwanaume anakubali kuoa mwanamke wa thamani ya chini . That is it.