Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa
Hiyo train pekee inakomba umeme kiasi gani? Kadri mnavyo zalisha umeme ndio matamanio ya kuanzisha mitambo mikubwa yanakuwa makubwa. Serikali ijipange kuongeza vyanzo vingine vya nishayi ikiwemo uranium
 
Japokuwa Spika Dr Tulia amesema kuwaandamanisha Watu kilimita 16 kwa Miguu ni kuwachosha bila sababu mimi Naamini Naibu Waziri mkuu baada ya kukutana na yale Maandamano Roho Mtakatifu wa Mungu alimpa Hekima yake

Wote tunajua bungeni Wizara ya Nishati ilipewa hadi June kumaliza Mgao lakini ghafla Mgao umeisha

Tuyakatae Maandamano ya Shari yenye kuleta vurugu lakini haya ya amani yanamsaidia hata Rais wa JMT kupata Taarifa ambazo Wasaidizi wake wangependa asizijue tuyaunge mkono

Mimpongeze mbunge wa Arusha Mjini kwa kuyakaribisha Maandamano ya Chadema jimboni kwake kwani yatamsaidia hata yeye Wapiga kura wake wapate Sugar

Siasa ni Sayansi 😂
kwahiyo serikali sikivu imeskiza kilio cha wana Mbeya na sasa umeme ni wa uhakika hakuna mgao tena 🐒
Hilo ni Jambo la maana na ndio tabia ya serikali ya DR SSH...

Serikali inakwenda kutega skio vizur kuwaskiza wa akina Lema Arusha stay tuned 🐒
 
Kabisa Kabisa 😂
 
Sifa kwa wote JPM na Samia! Ila bado haiondoi uhalisia kuwa JPM ndo Kinara wa hilo!
Kinara kivipi wakati mpaka anakufa alikua amejenga bwawa kwa 40% pekee ika Samia kajenga kwa 60%, kalijaza maji, kawasha mitambo!! Sasa why sifa kwa JPM? acheni chuki na wivu hauwasaidii kitu. Kubalini tu mama kawaprove wrong kwenye hili
 
Wewe upo mkoa gani ? watu Jana tarehe 24 na 25/2 baadhi ya mikoa watu wame experience mgao wa umeme wewe ufanye conclusion kwamba Leo siku ya tatu hamna mgao no research no right to speak .
 
you have come to expect less and less of your government. siku tatu bila mgao unaishukuru serikali??? kweli tunastahili serikali tulio nayo
 
Yaani hii ni kama mchawi anakula watoto wako wawili alafu unamshukuru kwa kukubakizia mmoja...

Unless na wewe ni part ya hawa corrupt, under-performing greedy, non-patriotic Bwanyenye's utakuwa haujui stahiki yako kama mlipa Kodi
 
Kinara kivipi wakati mpaka anakufa alikua amejenga bwawa kwa 40% pekee ika Samia kajenga kwa 60%, kalijaza maji, kawasha mitambo!! Sasa why sifa kwa JPM? acheni chuki na wivu hauwasaidii kitu. Kubalini tu mama kawaprove wrong kwenye hili
Ulitaka Samia asijenge? Mafanikio ya Magufuli ndo mafanikio ya Samia!
 
..sasa BEI ya umeme ISHUKE maana tuliambiwa UMEME unaozalishwa kutokana na nguvu ya MAJI una gharama ndogo ktk uzalishaji kulinganisha na vyanzo vingine.
 
watanzania walio wanyonge wamendelea kulipuka kwa furaha iliyoje kwa matunda ya umeme bwawa la nyerere hali inazidi kua nzuri haijawahi kutokea
 
Kama bwawa la Nyerere limeshaanza kuzalisha umeme. Mama samia ametisha kwa kuendeleza magufuli alipoishia

..bei ya umeme nayo ishushwe.

..umeme unaozalishwa na nguvu ya maji ni wa gharama nafuu.
 
Wewe upo mkoa gani ? watu Jana tarehe 24 na 25/2 baadhi ya mikoa watu wame experience mgao wa umeme wewe ufanye conclusion kwamba Leo siku ya tatu hamna mgao no research no right to speak .
Nimefanya research nyumbani kwangu, umeme upo, hata sasa!
 
Ila Bukoba, Missenyi na maeneo mengine ya huko hawajawahi kuona mgao wa umeme, Tanesco wazenguaji sana kwenye maeneo mengine
 
Back
Top Bottom