Biti la Trump limefanya kazi huko Gaza

Acha upumbavu, Hakuna mahali Hamas wamemuhofia Trump wala nani, makubaliano waliyoafikia zaidi waliotaka na kushadidia ni Biden mwenyewe baada yakumlazimisha baradhuli mwenzao netanyahu lazima wafikie makubaliano na Hamas kabla ya yeye kuondoka madarakani ili isije ikaonekana utawala wa Biden ulishindwa kusimamisha vita Middle East, na ipo kisiasa zaidi, Sharti kubwa la Hamas ambalo huko nyuma hakukua na maelewano ni Israel aondoe majeshi yake Gaza na Wapaletina warudi kwenye ardhi yao, netanyahu alikuwa hataki sasa amekubali kwa idhini ya bwana wake Biden. Usituletee porojo lako kichwani hapa.
 

Blinken kasema HAMAS ina pool kubwa ya kurecruit watu wapya. Kasema HAMAS haina uhaba wa wapiganaji.

Israel kaharibu majengo ya juu, HAMAS wako chini underground.
 

Ulichosema ni dhahiri.

Gaza imeua/ingeua legacy ya Biden mazima, naona mzee kaamua kusalvage kaheshima kadogo kalikobaki.

Pili genocide ingeendelea, ingekivuruga chama cha democrat mazima. Kingepotezwa uungwaji mkono kwa miaka mingi sana
 
Nadhani hujui wala sio mfuatiliaji wa habari za kimataifa
Alyokuwa hataki ceasefire ni netanyahu sio hamas ,na netanyahu alikuwa anapata shinikizo kutoka kwa right wing leaders smotrich na begvir ambao ndio wanaofanya aweze kuendelea kuongoza , walimwambia akikubali ceasefire wao wanajitoa kwa maana hiyo serikali inavunjika
Ila trump kapiga biti la kibabe ,ilibidi netanyahu akae nao right wing kuwaambia its end of the road ,lazima ceasefire deal isainiwe now, huna unachojua zaidi ya story za vijiweni
 
Harakat - Mukawama - Islamia (Hamas)

Either We Die or Win.

Wabishi sana hao majamaa..
 
Toka mwanzo lengo la Hamas ni kubadilishana Mateka Israel wakakataa, sasa hivi Israel wamekubali kubadilishana Mateka, why utafsiri ni Biti ya Trump kwa Hamas?

Sio siri kila mtu anajua Trump na Netanyahu haziivi, Trump kamtukana Netanyahu hadharani na anapost Video zinazowakashifu Israel, amekaa Meza moja na Hamas.

Sisemi Trump anawapenda Hamas ila ni ujinga Kufikiri Israel kulazimishwa kuachia Mateka ni ushindi kwa Israel, hii vita kila upande umepata casualties kubwa mno.
 
Mleta mada unateseka sana mpaka umeamua kupiga ngoma na kukata mauno wewe mwenyewe!
Ila kama unapata faraja kujiaminisha hivyo,sio mbaya sana kwa amani ya nafsi yako,Yahudi katema tango coz mfadhili anaenda kuangalia raia wake zaidi na sio kumwaga mapesa hovyo nje.
 
Mara kibao IDF wameua raia wao Gaza, Mahaba yatakuua. Kama wangekuwa wanajua walipo why wanawaua?
 

Na Blinken kasema, HAMAS cannot be defeated militarily. Sasa sijui walikuwa wanaipa Israel silaha ifanyeje wakati wanajua kuwa huwezi kuishinda HAMAS kijeshi.
 
Gaza wenyewe wamekesha wanashangilia ceasefire, lakini wale mashabiki wao waliopo Bongo and tge rest of Afrika wapo kupanga maandamano kupinga jambo hilo
 
Sharti la Hamas ni kubadilishana mateka, Israel Akakataa, akaanzisha vita, uwanja wa Vita hajafanikiwa lolote vs Hamas, sasa hivi Israel Kakubali, nani aliekubali Sharti la mwenzake?
 
Sharti la Hamas ni kubadilishana mateka, Israel Akakataa, akaanzisha vita, uwanja wa Vita hajafanikiwa lolote vs Hamas, sasa hivi Israel Kakubali, nani aliekubali Sharti la mwenzake?
Achana na hiyo Pimbi,inaendeshwa na mahaba ya kijinga,utapoteza muda wako bure tu wala hatakubali kukuelewa.
 
Gaza wenyewe wamekesha wanashangilia ceasefire, lakini wale mashabiki wao waliopo Bongo and tge rest of Afrika wapo kupanga maandamano kupinga jambo hilo
Wanashangilia ceasefire kwa makubaliano yao, sio ceasefire tupu tu bali Wapalestina ambao wapo Jela za wa Israel waachiwe huru.
 
Kufa kijinga ni ufala.

Wasingelianzisha hiyo Oct. 7 si ajabu leo hii wangekuwepo.

Ila kwa vile ni ma zuzu, sasa hivi wanaoza na kugeuka funza huko waliko.

Natamani waliobaki walianzishe tena 🤣.
Acha utoto...
Taifa teule... Linajua kila kitu, lina mbinu zote za kukomboa mateka ( kumbuka entebe).
 
Na Blinken kasema, HAMAS cannot be defeated militarily. Sasa sijui walikuwa wanaipa Israel silaha ifanyeje wakati wanajua kuwa huwezi kuishinda HAMAS kijeshi.
Kwa hiyo Hamas kashinda vita?

Pea-sized brains on steroids.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…