Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni

Kanuni kwanza, busara baadae. Huwezi kupuuza kanuni kwa kisingizio cha busara!
 
Maana yake ni Kwamba,
1. Wanakubali kwamba walifanya makosa kuahirisha mchezo.
2. Hizo sababu wanazotaja za usalama na rushwa ni Danganya toto.
3.Walivunja kanuni kwa makusudi kuinusuru 5imba
4.Waliandika barua kuahirisha mchezo ili kuinusuru 5imba kushuka daraja.
 
Ngoma bado mbichi hiii[emoji23][emoji23]
 
Kuinusuru Simba kwa kitu gani
 
Mimi napendekeza busara isitumike sababu yatatokea tena makosa kama haya na itatumika busara kwa ajili ya kuyatatua.

Kama busara ina nguvu kuliko kanuni basi hizo kanuni zivunjwe tuwe tunatumia kamati za kiholela ili kuendesha mpira.

Katika hili sheria/kanuni/miongozo zifanye kazi zake ipasavyo kwa maslahi mapana ya kesho bora ya soka letu.
 
Bongo tunabebana sana
 
Unajipa kazi ya unajimu mkuu.
What if Yanga ingefungwa?

Mm naamini Simba hakuogopa kufungwa kama ingekuwa ni woga ingekuwa mechi ya kwanza ya Kayoko ambapo team ilikuwa siyo bora ukifananisha na hii.

Nadhani waligomea kutokana na vile walivyofanyiwa na Yanga kupitia mabaunsa wao dhamira ni kuepuka muendelezo wa tabia kama zile na kuepuka unyonge.
 
Mimi mwenyewe nashangaa hizo habari za CAS. Utaendaje CAS wakati hukumu ya ndani bado haijatoka? Kitu cha kwanza watakuuliza nakala ya hukumu ya ndani iko wapi, Yanga watawapa nini, mahojiano ya redio?

Yanga na vibaraka wake wanataka tu kuipa presha TFF na Bodi ila hawana hata hela ya kwenda huko CAS. Wanasumbua tu mahakama wakijua wao ndiyo wahalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…