Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni

Busara isipotumika, Yanga itashushwa daraja kwa kukaidi uamuzi wa Bodi wa kuahirisha mechi na badala yake kuamua kupeleka timu uwanjani.
 
Haki ipatikane. Hatuhitaji busara na hekima za kinafiki.
 
hv huko CAS kuna kesi yanga ameshawahi kushinda?maana kesi zote za huko wanaishia kupgwa faini tu na kufungiwa kusajili
As long as kuna posho mambo ya kushindwa na kushinda yatajulikana baadae.
 
akili hamna humo ndo maana tunataka wajiuzulu
 
We jamaa upo Dunia ipi!!!! chukua hiiii CAS kesi Yanga wanapeleka mashaidi akiwemo Meneja w uwanja w B. Mkapa !!! baada ya Yanga kukataa kuwazuiya Simba !!! Shaidi mkuu Meneja anamaliza msumali wake kuwa nimmi ndio nimeizuiya Simba Sababu awakufuata Talatibu za kuomba uwanja¿¿

Yanga anapewa zake p 3 +g 3 muache ujinga sikunyingine wadada wanawashinda uvumilivu wa kufugwa mbona maisha yanaendelea!!!! Yanga tulimpiga 5 + O akaja kula 4 + 1 mbona awajawai kukimbia mechi viongozi w simba na TFF mukapimwe mkojo uko CAS. Aibu kubwa sasa.
 
Ofisi moja maelezo tofauti na bado mnataka tuwaamini? Jana niliuliza aliyeona barua yao hawa Wazee Wahuni aiweke lakini Hakuna aliyejaribu. Jana Msemaji Boimanda akasema hawana cha kuwajibu Yanga hivyo hawajajibu chochote. Leo Mwenyekiti Mguto anasema walishawajibu Yanga. Hii yote ni kuonyesha Bodi ya ligi ni chanzo cha madhaifu mengi katika ligi ya Nchi hii. Bodi inayoamini Kila siku busara itaizika sheria Kwa manufaa yao ili waonekane wanafanya kazi nzuri.
Nani ataamini watu àmbao wanatoka ofisi moja na ndimi mbili?
 
 

Attachments

  • Screenshot_2025-03-19-16-00-05-033_com.twitter.android.jpg
    284.1 KB · Views: 23
  • Screenshot_2025-03-19-15-58-44-936_com.twitter.android.jpg
    254.5 KB · Views: 25
Pumbavu, maamuzi ya mwisho anasema hayajatolewa na amesahau alishasema Yanga hakuna point 3 watapata, wanapeleka kesi unasema kwanini wameenda bado hatujafika mwisho
 
Busara na hekima!?, kanuni waliweka za nini hawa wapuuzi, kwa timu nyingine kanuni zifuatwe lakini kwa simba ni busara?
 
Hatuna board hapo hawo jamaa wako kama mabua, (figure heads), ama sanamu, kumbe wao Ndiyo wanaigiza wako kwenye jumba la sanaa, muigizaji mkuu TFF, (steering), muigizaji mkuu povu limemtoka wadau wamemjia juu
 
Ndio unaona kua KARIA YY NI COST UNION.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…