Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni

Hili jambo TFF/bodi ya ligi walijichanganya sana kuahirisha mechi bora wangesikilizia tu then wakatoa adhabu kwa timu iliyoonekana kukiuka kanuni saivi sijui watakuja na jibu gani. Yanga wamekataa mechi mpaka viongozi fulani wajiengue au kuenguliwa
 
Leo crown kuna kiongozi wa TFF amekanusha kuwa hawajapokea barua yeyote ya Yanga na wala wao hawajajibu chochote.

Lakini kuna muda tena akasema wao kila siku wanafanya mawasiliano na vilabu kwa njia ya barua.

Kiukweli wanachanganya sana.
 
Madai ya Yanga kwenye hili suala hayafanyiki kisomi kama anavyosema Komeo la chuma

Sababu zipo nyingi. Moja wapo ni kwamba viongozi wa Yanga wanawakana makomandoo wao lakini Bado wanawahitaji.

Watu makini siku ile ile wangewakana wale makomandoo na kuomba radhi kwa kadhia iliyotokea. Hapo zigo lingehamishiwa kwa Simba.
 
Leo crown kuna kiongozi wa TFF amekanusha kuwa hawajapokea barua yeyote ya Yanga na wala wao hawajajibu chochote.

Lakini kuna muda tena akasema wao kila siku wanafanya mawasiliano na vilabu kwa njia ya barua.

Kiukweli wanachanganya sana.
Hawajapokea barua wala hawajajibu kama hujapokea barua unajibu nini
 
Si wababe nyie?
Tuachieni na SINEMA ZETU na UTOTO WETU.
Busara gani itakayoweza kumaliza tatizo ambalo mediator amesha onyesha upande dhahiri shahiri.
Mnataka baba yake Rais, bodi ijiuzulu Uto walipwe gharama zao(baada ya kuwasilisha vithibitisho vya gharama).Iundwe bodi mpya wapange tarehe ya mtanange. Dai la kudai alama tatu halitakua na uzito tena.
 
Na iwapo CAS hawataridhika na ushahidi watakao utoa yanga,itawalazimu yanga kulipa 350M Kwa kuisumbua CAS
 
Hamtafanikiwa maana hakuna protokali ya mchezo iliyofuatwa.

Mechi iliahirishwa kwa mamlaka iliyopewa bodi ya ligi kama ilivyopewa mamlaka ya kupanga ratiba vile vile ina mamlaka ya kupangua ratiba.

Idara ya sheria ya klabu ina shida sio bure.
Tangu ujue neno protocol kila sentence lazima utaje protocol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…