Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba.

Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa Yanga, Andre Mtine, CEO wa Yanga na GSM kama mfadhili mkuu wa Yanga, Huku Simba iliwakilishwa na Mangungu ambaye ndo alikuwa kiongozi pekee

CEO wa Simba Bi Zubeda anasema hajui kilichokuwa kinaendelea

Bodi ya Simba inasema hayo maamuzi ya hao watu haiutambui nasimamo wao ni ule ule kama derby sio tarehe 15 June wao hawatacheza

Bodi ya Simba inasema wai hawakujua kama Mwenyekiti wao Mangungu yupo Dodoma kutafuta suluhu ya derby, walishangaa kumwona Mangungu Ikulu wala Mangungu hakuwapa taarifa

Bodi ya Simba wanashinikiza Mangungu ajiuzulu
Screenshot_20250614-094151.png
 
Back
Top Bottom